DICAPRIO' JACK WA TITANIC' NA PARIS HILTON WASUSIA KUONEKANA KATIKA KIPINDI CHA KIM KADARSHIAN
Muigizaji maarufu nchini Marekani, Leonard DiCaprio au maarufu kama 'Jack' aliyeigiza katika muvi ya Titanic, amekata kurekodiwa na kipindi cha Kim Kadarshian 'Keeping Up With the Kadarshians' walipokuwa katika pati ya majira ya joto Jumapil mchana.
"Leo hakutaka kurekodiwa kwa ajili ya kipindi cha Kim na hakuwasili mpaka pale shughuli za kurekodi zilipokwisha" alisema mpasha habari mmoja.
Pia, Paris Hilton ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Kim, naye hakupenda kuonekana katika kipindi hicho ambaye naye ameanzisha fani yake kama DJ.
Comments
Post a Comment