Posts

Showing posts with the label Udaku

PICHA 20 KUTOKA KWA DIAMOND NA ZARI WAKIWA KENYA WALIZOPOST INSTAGRAM

Image
Diamond na Zari wameendelea na starehe zao huko Mombasa Kenya huku team ya WCB ikitia mguu pia mahali hapo; Harmonize na Sallam walihusika pia. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika mapumziko hayo. Hapa Zari aliamua kumtania shemeji yake Harmonize. mkubwa Simba na Zari katika starehe zao Harmonize alipata nafasi ya kusema chochote BClub Katika picha hii Diamond kaandika caption ya kiingereza ambayo Kiwashili chake ni "namwambia Harmonize kwamba wenye chuki wote hawana maana. Tuna uwezo na ni matarijiri" Unamuona Zari anavyozidi kupendeza kama ndo kwanza ana miaka 12 Kila mtu apambane na mahusiano yake tu. Huu mkao sasa Zari alivyomtegea Mond afu anajifanya kama hana habari yuko busy na simu Sallam alihusika pia B Club Wanapendeza hawa wapendanao unamuona Zari? KWA PICHA, MATUKIO, HABARI NA MAELEZO KAMA HAYA NA MENGINE MENGI USISITE KUTEMBELEA VENANCE BLOG: Facebook: VENANCE BLOG Twitter: @Venan...

DIAMOND AWAJIA JUU WANAOMSEMA ZARI KUHUSU MSIBA WA MAMA YAKE

Image
Mwanamuziki wa Tanzania aliyeikamata Afrika na Dunia kwa uimbaji wake wa lugha ya Kiswahili, Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote, Baba Tee, Simba na majina mengineyo usiku wa leo amewajia juu hasa wadada wanaomsema mpenzi wake Zarina Hassan kufuatia kifo cha mama yake kilichotokea majuzi tu. Zari ameonekana na Diamond wakiwa katika starehe za mahusiano yao kitu kilichopelekea wadau na mashabiki wao kuliongelea suala hilo. Kwa tamaduni za kiafrika na jinsi tulivyozoea, mtu anapofiwa hasa na Mama yake mzazi humchukua muda sana kabla ya kurudi katika utaratibu wa kawaida, hii imekuwa tofauti kwa Zari ambaye siku chache tu baada ya msiba ameonekana na Diamond wakiponda raha huku wakijirekodi video na kuzituma katika mtandao wa Instagram hali iliyopelekea mashabiki kuliongelea sana suala hilo. Diamond Platnumz amefunguka baada ya kuonekana kukerwa na maneno ya watu katika mtandao wa Instgram na kuyaandika haya: " Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa misiba ya...

KANYE WEST AMEFUTA AKAUNTI ZAKE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII

Image
Msanii wa muziki wa Rap nchini Marekani Kanye West amefuta akaunti zake za Twitter na zile za Instagram ambazo zilikuwa na makumi ya mamilioni ya wafuasi. Sababu hazijulikani lakini mwezi Novemba mwaka jana alimaliza ziara yake mapema. Alimshtumu mwanamuziki mwenza Jay Z kwa kujaribu kumuua na kuondoka katika jukwaa baada ya kutangaza kwamba atampigia kura rais wa Marekani Donald Trump wakati wa uchaguzi wa taifa hilo. Mkewe nyota wa Raality TV Kim Kardashian amesalia katika mtandao wa Twitter na ana wafuasi milioni 51. Haki miliki ya picha TWITTER Image caption Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati mashabiki walipojaribu kuwasiliana na msanii huyo Amekuwa akijikuza pamoja na kampuni ya kuuza nguo ya mumewe. Muda mfupi baada ya akaunti zake za mitandao kufungwa mkewe alichapisha ujumbe katika mtandao wake wa Twitter kwamba amechora nembo ya kampuni hiyo katika mkono wake. Mashabiki walimsihi Kardashian amwambie mumewe arudi katika mtandao. Haki miliki ya picha TWITTER Image captio...

JACKLINE WOLPER ANASWA LIVE AKITOKA JUMBA LA FREEMASONS

Image
Mshtuko! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameibua maswali kwa mashuhuda walimuona ‘live’ akiingia kwenye hekalu la watu wa Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemasons yenye nguvu duniani inayohusishwa na imani za kishetani. TUJIUNGE MTAA WA SOKOINE Tukio hilo lililoibua kizaazaa kwa mashuhuda waliomuona Wolper, lilijiri juzikati, mishale ya jioni kwenye hekalu hilo lililopo Mtaa wa Sokoine mkabala na Hoteli ya Hyatt Regency, The Kilimanjaro jijini Dar jirani na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). SIMU ZAMIMINIKA Likiwa kwenye majukumu ya kusaka habari kama kawaida yake, gazeti hili lilipokea simu kadhaa kutoka kwa mashuhuda hao wakiwataka wanahabari wetu kuwahi eneo la tukio. Kufuatia umbali waliokuwa mapaparazi wetu, ilibidi kuwaomba mashuhuda hao ‘kumfotoa’ picha ambapo mmoja wao alifanya hivyo na kuziwasilisha kwenye meza ya gazeti hili. ALINASWAJE? Akidadavua mazingira aliyonaswa Wolper, shuhuda huyo alikuwa na haya ya kusema: “Kwanza mwanzoni hatukumjua ...

CHEKI PICHA HIZI ALIZOWEKA NICKI MINAJ INSTAGRAM

Image
Nicki Minaja haishiwi vituko vya kupost picha mtandaoni akiwa uchi kabsa ama nusu uchi. Tazama hiyo picha hapo juu inayoonesha matako yake yakiwa wazi. Picha nyingine hii hapa japo amevaa nguo lakini mmmh!! Kwa wanaume so conducive kabisaaa. Cheki jinsi tako lilivyobinuliwa hapa hivi eti njiani anakopita kwa mavazi haya hawapi wanaume shida!!! Haya yote yanakuja wakati Nicki anajiandaa kuachia Album yake mpya ya Pink Friday Print. Album hiyo inapatikana kwenye iTune pia. Picha hizo ziko katika akaunti yake ya Instagram @nickiminaj.  WASILIANA NAMI:  Facebook: VENANCE BLOG  Twitter: @Venancetz  Instagram: venancegilbert  Asante kwa kutembelea VENANCE BLOG © 2014

JENIFER LOPEZ NDANI YA BIKINI

Image
Mwanamuziki Jennifer Lopez Ameshare Picha Kwenye Instagram Profile yake Ambayo Inamuonyesha Akiwa Ndani ya Bikini akiwa na Umri wa Miaka 45 Sasa...

VIDEO: KANYE WEST NA HEADLINE YA KUTAKA WALIOHUDHURIA SHOW YAKE WASIMAME (HADI WALEMAVU) KIM KADARSHIAN AMTETEA

Image
Rapper Kanye West ametawala vichwa vingi vya habari weekend iliyopita baada ya tukio alilolifanya kwenye moja ya show za tour yake ya Australia. Katika show hiyo Kanye alisimamisha show na kuwataka watu wote wasimame ndio aendelee na show. “I can’t do this song, I can’t do the rest of the show until everybody stands up, Unless you got a handicap pass and you get special parking,” Kanye alisikika akiwaambia mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa Qantas Credit Union huko Sydney. Baada ya mashabiki wengine kusimama kama walivyoombwa na Kanye, watu wawili waliendelea kukaa na ndipo Kanye alipowaona na kuendelea kuwamtaka nao wasimame, mpaka alipokuja kugundua kuwa ni walemavu ndipo akasema ‘”If he’s in a wheelchair, then it’s fine,” na kisha kuendelea kutumbuiza wimbo mwingine. Kim Kardashian West ameibuka na kumtetea mume wake kwa kuvilaumu vyombo vya habari kuwa vimedanganya. Kim ameongeza kuwa Kanye hakumwambia mtu yeyote aliye kwenye ‘wheel chair’ asimame bali alich...

EXCLUSIVE: JUX ASEMA VANESSA MDEE ANA SIFA ZA KUWA MKE

Jux amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Vanessa Mdee na kudai kuwa Vanessa ni mshikaji wake tu lakini amekiri kuwa muimbaji huyo wa ‘Come Over’ ana kila sifa ya kuwa mke. Jux ambaye hivi karibuni alionekana kuwa karibu na Vanessa amesema Vanessa ni mtu wake wa karibu anayefanya kazi naye. “No ni mshikhaji wangu tu, tunafanya naye kazi, kuna tabia zinaendana, kama ninavyokuwa na rafiki na Stamina, Mo Music ni kawaida, sema unajua ni mwanamke na ni njia toafuti ndio maana imekuwa hivyo,” alisema Jux. Alipoulizwa kama Vanessa anafaa kuwa wife material Jux alijibu Vanessa ana kila sifa ya kuwa mke. “Ni msichana mzuri, mwonekano wake mzuri, she is smart, yeah she is a wife material, yuko vizuri, lakini na mimi tumeendana sana tabia zetu kama washikaji. Sema nipo naye karibu na kwa sababu mimi sionekanagi na wasichana wengi ndio maana imekuwa hivyo. Lakini sijui labda baadaye kwa sasa hivi ni mapema, vyote anapanga Mungu,” alisisitiza Jux. CHANZO: BONGO5

BOB JUNIOR AKANUSHA KUHUSU KURUDIANA NA MKEWE

Rais wa Masharobaro, muimbaji na mtayarishaji wa muziki, Bob Junior amekanusha tetesi zilizokuwepo kuwa amerudiana na mke wake. Akiongea na segment ya Inbox ya kipindi cha New Chapter cha Radio Free Africa, Bob Junior amesema mazoea ya kuwa na mke na kumuona mtoto wake kila siku yanamfanya awe na huzuni kubwa kuwa mbali nao. Junior amesema aliachana na mke wake na hajarudiana naye tena na hana mpango wa kuoa hivi karibuni. Hivi karibuni kwenye Instagram Bob Junior alipost picha ya mwanae na kuandika: Namshukuru Mungu kukupata wewe maisha yangu yote nguvu zangu zote Nitapigana hadi kufa ni kwaajili yako my son Rummy Raheem Rummy maisha yako huta jutia kupata baba kama mimi ila amini kilicho tokea……. ukija kukuua ipo siku utajua yote naishi kwenye maumivu mengi juu yako sana na hapa naandika text hii nalia sana kwa kuwa mbali nawewe sikuoni karibu my son ila jua i love u na kama mapenzi kupenda nasema nitakupenda na hata kuja yoyote kuzidi mapenzi yangu kwako mengine sisemi ila jua mwana...

ETI LLULU NA NANDO WA BIG BROTHER NI WAPENZII

Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu. Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini. Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili lilimtafuta Nando ambaye mwanzoni alifanya kama utani akidai Lulu ni mwanamke anayefaa kuolewa (wife material) lakini alipoulizwa kwa msisitizo, alikana kuwa na uhusiano na mrembo huyo. “Lulu ni mkali, niko tayari kumuoa lakini sijamwambia, akikubali freshi nitamuoa. Kwa sasa ni mshikaji wangu tu na napenda kazi zake. Huwa ni mtu ambaye napenda kufuatilia ishu zake,” alisema Nando. Kwa upande wake Lulu alishtuka na kudai kuwa aulizwe huyohuyo Nando na si yeye kwani haoni sababu ya yeye kuulizwa. Alifunguka: “Hebu muulizeni Nando ...

MUME WA FROLA MBASHA ASEMA NI VIGUMU SANA NDOA YAO KUFIKIA MUAFAKA TENA

BAADA ya kudumu kwa zaidi ya miaka 10, imebainika kuwa ndoa ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili Bongo, Flora na mumewe Emmanuel Mbasha ipo chali kwa maana ya kuanguka huku ikidaiwa kuwa, kusimama imara tena inawezekana lakini ni kazi kubwa, Amani limefukunyua mazito Hilo limejitokeza wiki moja baada ya madai ya mwanaume huyo kudaiwa kumbaka shemeji yake na kesi ipo polisi. Imeelezwa Flora na mumewe ambao walifunga ndoa Agosti 22, 2002 wamepita katika migogoro mizito lakini wawili hao walikuwa wakiyamaliza kifamilia hadi kufikia hili la hivi karibuni ndilo lililoziba mataumaini ya wawili hao kuishi kama mume na mke. Chanzo kilicho karibu na wawili hao kimeeleza kuwa, mzizi wa wawili hao kugombana ulichochewa na mwanamke mmoja (jina tunalo) ambaye alikuwa akikinzana na ushauri wa Mbasha mara kwa mara. “Kuna vitu Mbasha alikuwa akimshauri huyo mama lakini walikuwa wakipishana Kiswahili na hapo ndipo tatizo lilipokua hadi kufikia hatua ya kumwagana,” kilisema chanzo. TUJIUNGE NA MBA...

DICAPRIO' JACK WA TITANIC' NA PARIS HILTON WASUSIA KUONEKANA KATIKA KIPINDI CHA KIM KADARSHIAN

Muigizaji maarufu nchini Marekani, Leonard DiCaprio au maarufu kama 'Jack' aliyeigiza katika muvi ya Titanic, amekata kurekodiwa na kipindi cha Kim Kadarshian 'Keeping Up With the Kadarshians' walipokuwa katika pati ya majira ya joto Jumapil mchana. "Leo hakutaka kurekodiwa kwa ajili ya kipindi cha Kim na hakuwasili mpaka pale shughuli za kurekodi zilipokwisha" alisema mpasha habari mmoja. Pia, Paris Hilton ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Kim, naye hakupenda kuonekana katika kipindi hicho ambaye naye ameanzisha fani yake kama DJ.

KIGOGO WA WEMA AMHONGA GARI KAJALA

NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa na Risasi Jumamosi limeifukunyua. Kwa mujibu wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram, Kajala alinunuliwa gari hilo aina ya Toyota Brevis lenye rangi ya bluu iliyoiva wiki mbili zilizopita mara baada ya kutua Bongo akitokea nchini China ambako alikwenda kwa mambo yake binafsi. TAARIFA ZINAVYODAI Wasambaza taarifa hao walidai kuwa, kigogo huyo wa Ikulu ni yule Clement ambaye amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. “Mmeisikia hii? Kajala amenunuliwa gari na Kile (Clement), lina thamani ya shilingi milioni kumi na moja, Wema alie tu nakwambia. We ukisema cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini? “Kwanza mnajua kama bifu la Wema na Kajala lilitokana na Clement? Alipoachana na Wema akatua kwa msichana anaitwa Naima, lakini akaona bado akaenda hadi kwa Kajala. We...

KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND

Image
Stori: Shakoor Jongo Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.Habari ‘hoti’ zinadai kuwa Clement anataka Diamond arudishe gharama alizomgharamia Wema ndipo waendeleze mapenzi yao.Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa kigogo huo, Clement anadai kwamba gharama alizotumia kwa Wema ni kubwa mno lakini bidada hakujali chochote na kuukabidhi moyo wake kwa ‘Mtoto wa Tandale’ ambaye ndiye barafu wa moyo wake.“CK (Clement) anaumia sana kuona kuwa ameteketeza fedha nyingi kwa Wema lakini bila hiyana, mrembo huyo akabwaga manyanga kisha akarudisha mpira kwa kipa na kuanza moja huku kaka mkubwa akiachwa kwenye mataa,” alitonya mnyetishaji huyo bila kufafanua kama Clement aliachwa mataa ya eneo gani.Akiendelea kutiririka bila kuweka nukta au ya mkato, mtu huyo alisema kuwa kiasi ambacho kinadaiwa kuteketea kwa Wema kinakaribia Sh. milioni 279.6 ambazo ...

DIAMOND AISIFIA NGOZI YA WEMA ASEMA INA MVUTO NA INANG'ARA KULIKO KITU CHOCHOTE

Image
Kweli hii ni 2014! Diamond aisifia ngozi ya Wema, adai ina mvuto na ina mng’aro kuliko kitu chochote.!“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za kung’arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani alisikiliza ushauri niliompa kabla.”Hiyo ni kauli ya staa aliyetikisa mwaka 2013 bwana Diamond Platnumz aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa akizungumza na gazeti maarufu la michezo nchini hivi karibuni. Diamond amesema Wema ndiye mwanamke anayetamani kuwa naye katika maisha yake, hivyo kauli yake aliyoitoa mwanzo kuhusu kuzaa na Wema ipo mbioni kutimia.“Miezi kadhaa nyuma niliongea kuhusu nia yangu ya kuzaa na Wema, wakati huo nilikuwa bado na Penny, siwezi kukimbia kivuli changu kwani ukweli unabaki palepale nampenda yule binti, japokuwa wapo wanaosema kwamba sijatulia au natafuta ‘kiki’ kupitia warembo hawa, si kweli, Wema nilikuwa naye kabla ya Penny na vigezo vyangu ni mchumba anayeja...

SHAA AKIRI KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MASTER JAY

Image
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (Master Jay na mama watoto wake), kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda sana Master"

KANYE WEST AZINGUANA NA RAIS OBAMA

Image
Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya Rais Obama kumuita Kanye kuwa ni "Jack Ass" yaani mtu mjinga ama Chizi hivi ...Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza Obama alimwita Kanye Jack Ass baada ya Kanye Kupinga ushindi wa Taylor Swift kushinda tuzo ya Best Female Video MTV ..Kanye West alivamia jukwaa na kupinga uteuzi huo....Juzi Tena katika Mahojiona fulani na TV moja Huko Marekani Obama Aliulizwa Jay Z na Kanye Yupi Unamchagua Ombana Akajibu Jay Z, na Obama akaulizwa kama bado anamchukulia Kanye kama Jack Ass ..na akajibu hivi: “He is a jackass, but he’s talented." alisema Obama.

MAINDA AWACHANA LIVE CHUCHU NA JOHARI

Image
Hapo majuzi kupitia mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Mainda aliamua kuvunja ukimya baadaya kuamua kuwachana live ‘wabaya’ waka Chuchu hans, na Johari kuhusu sakata linaloendelea la wao kumgombania mwigizaji Vicent kigosi ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi wa mrembo huyo. Bila kupoteza muda soma hapo chini alivyofunguka mwanadada huyu… "Hizi salamu zako Johari, ni hivi naomba usinitaje kwenye huo upumbavu wenu, Huyo mwanaume mnae mzungumzia mimi kwangu namuona mtu wa kawaida tu ndio maana nikatupa kule. Nadhani umenipata alafu sitaki kumpandisha mtu jina sawa?. Ni hivi mimi si mpinzani wako, nadhani mpinzani wako unamjua mliopiganana (Sakata la Johari na Chuchu hans kupigana) mkataka kutoana roho kisa shingo ya kuku mlivyokuwa wajinga na malimbukeni wa mapenzi wanaume hapawiganiwi. Nimewakalia kimya naona wewe mwenye kilanga umejitoa kimasomaso ukaenda kiu ukasema Mainda amebip wewe unataka kumpigia, ni hivi usiniweke kwenye upumbavu wenu, mimi huyo mwanaume wenu kwangu ni kuku ...