About Me
VENANCE BLOG ni blog inayomilikiwa na kuendeshwa na Venance Gilbert. Blog hii inaendeshwa kwa manufaa ya umma wa Watanzania wanaopenda kuhabarika. Taarifa na makala zinazoandikwa katika Blog hii ni rasmi kabisa kwani zinatoka katika vyanzo rasmi, makini na vya kuaminika kabisa katika masuala la Habari.
Venance Gilbert ni muhitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe akiwa na Shahada ya Elimu katika Lugha na Utawala yaani Bachelor of Education in Languages and Management (BED-LM). Amewahi kuwa Mhariri Mkuu katika Kikundi cha Wanahabari Chuo Kikuu Mzumbe yaani Mzumbe Media Group 2017/2018.
Blog hii inashirikiana na Watanzania wote na watu wengineo duniani katika suala la kufikisha habari kokote waliko.
KARIBU SANA VENANCE BLOG
Comments
Post a Comment