Posts

Showing posts from June, 2013
Image
MY NEW BLOG LOGO  

RAIA WA AFRIKA KUSINI WAKESHA WAKIMUOMBEA RAIS NELSON MANDELA

Raia wa Afrika kusini wamekesha kwa maombi maombi nje ya makaazi ya zamani ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Nelson mtaani Soweto. Rais Jacob Zuma amesema kuwa afya ya shujaa huyo aliyepigana dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo inaendelea kuimarika. Mandela aliye na umri wa miaka 94 amekuwa hospitalini akiuguwa ugonjwa wa maambukizi ya mapafu. Awali mwanawe wa kike, Makaziwe amesema afya ya babaake inaendelea kuwa njema. Aidha Makaziwe amevikashifu vyombo vya habari kwa kukita kambi nje ya hospitali alikolazwa shujaa huyo akisema wanahabariwanapaswa kumheshimu babaake. Rais Jacob Zuma alisema Alhamisi kuwa hali ya Mandela iliimarika lakini bado yuko hali mahututi. "leo angalau yuko sawa kidogo kuliko nilivyomwacha jana usiku,'' alisema Rais Zuma baada ya kuongea na madakatari wanaomtibu Mandela. Bwana Zuma alifutilia mbali safariyake ya Msumbiji ili kumtembeleaMandela hospitalini. Wakati huohuo mwanawe Mandela Makaziwe alisema Mzee 'bado yupo' na kuwa anaweza kuhis

ZIARA YA RAIS OBAMA KATIKA NCHI TATU ZA AFRIKA YAANZA

Image
Rais wa Marekani, Mh. Barack Obama ,jana ameanza ziara yake katika ule mpango wake wa kuzitembelea nchi za bara la Afrika. Nchi zilizopata fursa ya kutembelewa na kiongozi huyo kutoka taifa kubwa ulimwenguni ni 1. Tanzania 2. Senegal 3. Afrika Kusini Katika kuitembelea nchi ya Afrika Kusini ilikuwa Rais Obama aonane na Rais wa kwanza wa nchi hiyo Nelson Mandela ambaye yuko hospitali kwa siku ya 20 lakini sasa atafanya hivyo endapo ataruhusiwa na familia ya Nelson Mandela. Akiwa nchini humu rais Obama atapokelewa na mwenyeji wake Rais Kikwete.  Copyright © 2013

SOMA HAPA JINSI YA KUWEKA USALAMA WA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK

Image
KWA USALAMA WA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK NENDA SEHEMU YA CHINI INAITWA "SETTINGS & PRIVACY" KISHA BOFYA "SECURITY" CHAGUA "SECURITY QUESTION" THEN USOME MASWALI YATAKAYOONESHWA HAPO CHINI CHAGUA SWALI AMBALO UNAONA NI RAHISI KWAKO KISHA LICHAGUESWALI HILO KWA KULIBONYEZA NA KISHA TOA JIBU LA SWALI HILOKWA USAHIHI KISHA WEKA NAMBAZAKO ZA SIRI ZA FACEBOOK (PASSWORD) KISHA HIFADHI (SAVE) KUMBUKA USIMWAMBIE MTU YEYOTE SWALI HILI KWA SABABU LINATUMIKA KURUDISHA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK PINDI UNAPOZUIWA (BLOCKED) AUKUBADILISHWA BAADHI YA TAARIFA (HACKING) HAYA SASA FUATA MLOLONGO HUU KWENYE AKAUNTI YAKO: "SETTINGS & PRIVACY >SECURITY >SECURITY QUESTION" Asante!!!  © 2013 Venance

SOMA KISA CHA KIPOFU HAPA (NI BURUDANI TU HAKUNA UKWELI)

Kipofu alimpiga mtu mmoja hadi akamuua. Akapelekwa mahakamani, Hakimu akamuuliza kwa nini umeua na wakati huoni? Kipofu akajibu, marehemu aliniambia mwenyewe nipige uone, kwa vile mi nilikuwa na hamu kubwa ya kuona nikampiga kwa nguvu zangu zote bahati mbaya akafariki!!... Hakimu akaduwaa!!! "KWA MUJIBU WA MAELEZO YA KIPOFU, KAMA WE UNGEKUWA HAKIMU UNGEAMUA NINI HAPO???!!"

Udaku Specially: SHOW YA MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... WAJITOKEZA ...

Udaku Specially: SHOW YA MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... WAJITOKEZA ... : Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu. FA katia ... Venance Blog

AFARIKI URAMBO TABORA KWA KUNYWA VIROBA 12 VYA KONYAGI KATIKA MASHINDANO

Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 12 Juni 2013 katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa niaba ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani humo Kaimu Kamanda, Edward Lukombe amemtaja marehemu kuwa ni Juvenali Wambura mwenye umri wa miaka 42, inadaiwa kuwa siku ya tukio baadhi ya wanywaji katika glosari moja waliandaa shindano ambalo si rasmi kuwa mnywaji atakayekunywa viroba 12 ataondoka na zawadi ya pesa taslimu ambapo inadaiwa marehemu alijigamba kuwa angekunywa viroba vyote na hivyo kuibuka mshindi inadaiwa kuwa marehemu alianza kunywa viroba hivyo kwa kasi ya ajabu ambapo alipomaliza kunywa kiroba cha mwisho cha 12 aliishiwa nguvu na hivyo wenzake kulazimika kumpeleka katika hospitali ya wilaya ya urambo kwa matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi. Kaimu kamanda huyo amesema kuwa licha ya marehemu kunywa viroba vyote hivyo inaelekea hakuwa amepata lishe ya kutosha siku hiyo. Kaimu kamanda huyo ametahadharisha wanywaji mkoani humo kunywa

MISHE MISHE ZA MWAFRIKA: BREAKING NEWS; MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AL...

MISHE MISHE ZA MWAFRIKA: BREAKING NEWS; MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AL... : Msanii huyo amekamatiliwa kutokana na kufanya utapeli katika show aliyotakiwa kufanya katika ukumbi wa Jambolee uliyopo manispaa ya Son... Venance Blog

SAFARI YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA

Image
Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho ya mwanamuziki Albert Mangwea almaarufu kama Ngwair hapa duniani leo Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amina   Jeneza lililobeba mwili wa Ngwair  BAADHI YA NYIMBO ZILIZOMUWEKA JUU SANA NGWAIR NI: 1. She got a gwan 2. CNN 3. Demu wangu 4.Nipeni dili 5. Mikasi MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMINA!!.. Picha na DJ FETTY WA CLOUDS FM

TAMKO LA BALOZI WA TANZANIA WA AFRICA YA KUSINI KUHUSU KUCHELEWA MWILI WA MAREHEMU NGAIR

AnnaPeter: TAMKO LA BALOZI WA TANZANIA WA AFRICA YA KUSINI KU... : Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya. Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa familia,w...