Posts

Showing posts with the label Movie

ANGALIA TRELA ZA MUVI HIZI (AMERICAN SATAN & RITUAL) ZINAZOTOKA OKTOBA 13

Image
Jina la muvi: American Satan Nchi: Marekani Mahali: Los Angels, California Muongozaji (Director): Ash Avildson Waandishi: Ash Avildson & Matty Beckerman Baadhi ya Waigizaji: Denise Richards, Booboo Stewart, Malcom McDowell, Tori Black, Patrick Muldoon, Mark Boone Junior, John Bradley, Drake Bell, Sebastian Bach, Bill Goldberg, Olivia Culpo, Bill Duke, Casey Deidrick na Jamie Bernadette na wengineo. Trela ya muvi hii hapa chini: Jina la muvi: Ritual Nchi: Uingereza Lugha: Kiingereza Muongozaji: David Bruckner Waandishi: Joe Barton & Adam Nevill Waigizaji: Robert James-Collier, Rafe Spall, Arsher Ali, Sam Troughton, Maria Erwolter, Paul Reid, Kerri McLean, Jacob James Beswick ma Fransesca Mula. Trela ipo hapa chini:

MOVIE MPYA KATI YA SEPTEMBA 15 HADI 19

Image
Hii ni orodha ya muvi mpya zitakazooneshwa kwenye Cinema kuanzia Septemba 15 hadi Septemba 19 na baadae kuanza kuuzwa na kusambazwa kwingineko duniani. Nimekusogezea movie mpya 9 ambazo kama wewe ni mfuatiliajia, mpenzi na muangaliaji unaweza kununua pindi zitakapotoka. Hii inatwa BLAIR WITCH itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 15 na baadae kusambazwa duniani. Ndani wapo James Allen McCune,  Callie Hernandez na Corbin Reid. Hiii inaitwa BRIDGET JONES' BABY. Hii itakuwa tayari kuoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo  Renèe Zellweger, Colin Firth na Patrick Dempsey. Hii inaitwa SNOWDEN. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani yake kuna Joseph Gordon-Levitt, Shailene Woodley na Merissa Leo. Hii inaitwa MR. CHURCH. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo Edson Murphy, Britt Robertson na Madison Wolfe. Hii inaitwa THE GOOD NEIGHBOR. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo James Caan, Logan Miller na Keir Gilrchrist. Hii inaitwa T...

ACTION MUVI MPYA INATOKA AGUST 2, SNIPER: GHOST SHOOTER

Image
Muvi inaitwa Sniper: Ghost Shooter inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 2 Agost mwaka huu (siku chache kutoka leo kama siku 5 mbele). Imechezwa na Chad Michael Collins, Billy Zane, Dennis Haysbert na wengine wengi. STORI KWA UFUPI Masnaipa wenye akili Chad Collins (katika muvi hii ameigiza kama Brandon Beckett) na Billy Zane (katika muvi hii anaitwa Richard Miller) wanapewa jukumu la kulinda bomba la gesi ili lisiharibiwe na magaidi. Wanapokuwa katika mambano na maadui inapelekea masnaipa wenzao wengine kuuawa na adui asiyefahamika alipo lakini yeye akiwa anafahamu wao (Richard na Brandon) walipojificha. Hofu inazidi kutanda hadi kufikia safu ya ulinzi kushutumiwa kushirikiana na maadui. Kuna mmoja kati yao anashirikiana na upande wa maadui? Je, mpango ni mwanzo wa mpango mwingine kumjua msaliti? Je, Kanali atatumia muda mwingi kuamua nini kifanyike? Haya yote utayapata katika muvi hii Sniper: Ghost Shooter kuanzia Agost 2, mwaka huu katika tovuti na application za kupakua muvi...

MOVIE: X-MEN APOCALYPSE RELEASED TODAY

Image
  Release date: May 27, 2016 Director: Bryan Singer Starring: James McAvoy Jennifer Lawrence Oscar Isaac Michael Fassbender Rose Byrne Sophie Turner Synopsis: In this comic-book adventure set in the 1980s, the X-Men are forced to confront an ancient mutant called Apocalypse (Oscar Isaac). After the resurrected beast recruits a super-team to take over the world and destroy hunmanity, Professor X (James McAvoy) and his charges must come to the rescue for the fate of the planet. The film co-stars Michael Fassbender, Jennifer Lawrence and Olivia Munn.

FURAHIA WIKENDI KWA KUANGALIA MUVI HIZI 5 KALI MPYA

Image
JINA LA MUVI: KILL ZONE 2 STAR: TONY JAA (kutoka Ong Bak)  After his true identity is exposed, undercover cop Kit ( Wu Jing ) is sent to a corrupt Thai prison by the gang he infiltrated, while his police unit erases all evidence that he was ever an officer. There, a guard named Chai ( Tony Jaa ) discovers that Kit is a bone-marrow match for his daughter, who desperately needs a transplant. The unlikely partners must find a way to secretly escape from the brutal prison and save Chai's daughter. Pou-Soi Cheang directed this martial-arts action thriller. JINA LA MUVI: LAST DAYS IN THE DESERT This biblical drama follows Jesus Christ (here referred to as " Yeshua " and played by Ewan McGregor ) during the 40 days he spent fasting and wandering in the desert. He is approached by a demon (also McGregor ) during his travels, who challenges him to help a troubled family living in the wilderness. CiarĂ¡n Hinds , Tye Sheridan , and Ayelet Zurer co-star as the mem...

ANGALIA TRELA YA MUVI MPYA 'MINIONS' KUTOKA UNIVERSAL

Image
Movie mpya inayoitwa Minions imetengenezwa na kampuni kongwe kwa utengenezaji wa movie duniani, Universal. Itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye sinema mnamo tarehe 10/07/2015. Imetengenezwa kwa wahusika ambao ni wanyama (Animated). Waongozaji wa movie hiyo ni Kyle Balda & Pierre Coffin ambapo Waandishi ni Ken Daurio & Brian Lynch na stering wa movie ni Chris Renaud, Pierre Coffin & Sandra Bullock. Waongozaji wa movie hii wamewahi kuongoza muvi inayoitwa Despicable Man. Tazama video hapo juu au bofya  HAPA . © VENANCE BLOG 2015.