MOVIE MPYA KATI YA SEPTEMBA 15 HADI 19

Hii ni orodha ya muvi mpya zitakazooneshwa kwenye Cinema kuanzia Septemba 15 hadi Septemba 19 na baadae kuanza kuuzwa na kusambazwa kwingineko duniani. Nimekusogezea movie mpya 9 ambazo kama wewe ni mfuatiliajia, mpenzi na muangaliaji unaweza kununua pindi zitakapotoka.



Hii inatwa BLAIR WITCH itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 15 na baadae kusambazwa duniani. Ndani wapo James Allen McCune,  Callie Hernandez na Corbin Reid.




Hiii inaitwa BRIDGET JONES' BABY. Hii itakuwa tayari kuoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo  Renèe Zellweger, Colin Firth na Patrick Dempsey.






Hii inaitwa SNOWDEN. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani yake kuna Joseph Gordon-Levitt, Shailene Woodley na Merissa Leo.


Hii inaitwa MR. CHURCH. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo Edson Murphy, Britt Robertson na Madison Wolfe.



Hii inaitwa THE GOOD NEIGHBOR. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo James Caan, Logan Miller na Keir Gilrchrist.


Hii inaitwa THE BEATLE: EIGHT DAYS OF WEEK - THE TOURING YEARS. Itakuwa kwenye Cinema Septemba 16. Ndani wapo Paul McCartney, Rigo Starr na John Lennon.


Hii inaitwa  WILD OATS. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 16. Imeigizwa na Jesca Lange, Demi Moore na Shirley MacLane.


Hii inaitwa SISTER CITIES. Itaoneshwa kwenye Cinema Septemba 17. Ndani wapo Troin Bellisario, Stana Katic na Michelle Trachtenberg.


Hii inaitwa MY BLIND BROTHER. Itakuwa kwenye Cinema Septemba 19. Mastaa waliomo ni Jane Slate, Zoe Kazan na Adam Scott.



UNAWEZA KUANGALIA TRELA ZA MUVI ZOTE HIZI KWA KUPAKUWA NA KUSAKINISHA KITUMIZI CHA IMDb KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI AMA KUTEMBELEA TOVOUTI YA IMDb



Chanzo: IMDb

Comments

Popular Posts

CHEKI PICHA HIZI ALIZOWEKA NICKI MINAJ INSTAGRAM

MKUTAO WA G7 KUANGAZIA USALAMA NA MAZINGIRA

ZIFAHAMU NCHI ZINAZOZUNGUMZA KISWAHILI BARANI AFRIKA

WAFAHAMU WAIGIZAJI 10 WA KIKE WA KOREA AMBAO NI WAREMBO KWA MWAKA 2017

WAFAHAMU WAIGIZAJI 10 WA KIUME WENYE MVUTO KOREA 2017

HISTORIA YA KOMBE LA DUNIA TANGU 1930, WAANDAAJI & WASHINDI

WALIOCHAGULIWA CHUO CHA MIPANGO MAJINA HAYA HAPA

BIBI WA MIAKA 85 AKAMATWA KWA KUIBA HERENI

MAMBO YA MUHIMU KUFAHAMU NA KUZINGATIA KABLA YA KUCHAGUA KOZI (TAALUMA) CHUO KIKUU