UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI?


House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama hiki. Akasema ngoja nijaribu kulala angalau kidogo.
 Akavua nguo zote akaziweka chini, akabaki na gagulo tu akawasha AC akajifunika brangeti gubigubi akalala. Kwa bahati mbaya usingizi ukampitia kweli akalala fofofo.
Ghafla Mume wa bosi akarudi na haikuwa kawaida yake kurudi Muda huo. Alipoingia chumbani, akajua hakika huyu ni mke wangu na kwa kuwa jana tulikwaruzana atakuwa amekasirika tu. Akaogopa kumwamsha. Mwanamme akasaula, akabaki na msuli naye akajifunika hilo hilo blanketi kwa taratibu sana kwa hofu ya kumwamsha mke wake. Kwa bahati mbaya naye usingizi ukampitia, akalala fofofo .
Bosi aliporudi, akaingia chumbani, akakuta watu wawili wamelala fofofo. Akafunua blanketi kwa nguvu, akawakuta wote wawili; yaani yule mfanyakazi na mume wake wamelala pamoja. Walipoulizwa kila mtu akaeleza ukweli wake. Je ungekuwa wewe ni bosi, housegirl au huyo mume ungefanya nini????

YALIYOJIRI KATIKA SAFARI YANGU KUOKA TABORA-MBEYA

Basi la kampuni ya SASEBOSSA liliondoka Tabora stand saa 2 asubuhi tukiwa safarini saa sita na dakika 48 mchana basi lilisimama katika kituo cha Rungwa kwa masaa 4 baada ya kupata hitilafu, mafundi walijaribu kulitengeneza na walifanikisha saa kumi na moja na dakika 40 jioni ambapo basi lilianza kuondoka, majira ya saa 6 usiku gari lilipasuka exozi na kusababisha mafuta yote kumwagika chini hapo tulilazimika kusubiri kwa saa zima na nusu kusubiri konda alete mafuta kwa kurudi kituo cha nyuma, mpaka saa 7 na nusu usiku hapo tulikuwa katika mlima wa kuzunguka zunguka a.k.a NYOKA NYOKA kama wanavyouita wenyeji baada ya konda kuleta mafuta tulizunguka mlima huo na hatimaye kuuacha, gari likaendelea mpaka tulipofika Mbeya stand saa kumi usiku. "NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIFANYA NIFIKE SALAMA BINAFSI LICHA YA KUPATA UGUMU WA SAFARI KAMA HIVYO NA ASANTENI WOTE MLIOSHIRIKIANA NA MIMI KWA NAMNA YOYOTE ILE TOKA MWANZO WA SAFARI #UKEREWE HADI #MBEYA KUPITIA #TABORA MUNGU AWABARIKI" © #Venancetz

YALIYOJIRI KATIKA SAFARI YANGU KUOKA TABORA-MBEYA

Basi la kampuni ya SASEBOSSA liliondoka Tabora stand saa 2 asubuhi tukiwa safarini saa sita na dakika 48 mchana basi lilisimama katika kituo cha Rungwa kwa masaa 4 baada ya kupata hitilafu, mafundi walijaribu kulitengeneza na walifanikisha saa kumi na moja na dakika 40 jioni ambapo basi lilianza kuondoka, majira ya saa 6 usiku gari lilipasuka exozi na kusababisha mafuta yote kumwagika chini hapo tulilazimika kusubiri kwa saa zima na nusu kusubiri konda alete mafuta kwa kurudi kituo cha nyuma, mpaka saa 7 na nusu usiku hapo tulikuwa katika mlima wa kuzunguka zunguka a.k.a NYOKA NYOKA kama wanavyouita wenyeji baada ya konda kuleta mafuta tulizunguka mlima huo na hatimaye kuuacha, gari likaendelea mpaka tulipofika Mbeya stand saa kumi usiku. "NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIFANYA NIFIKE SALAMA BINAFSI LICHA YA KUPATA UGUMU WA SAFARI KAMA HIVYO NA ASANTENI WOTE MLIOSHIRIKIANA NA MIMI KWA NAMNA YOYOTE ILE TOKA MWANZO WA SAFARI #UKEREWE HADI #MBEYA KUPITIA #TABORA MUNGU AWABARIKI" © #Venancetz

USA FOR AFRICA - WE ARE THE WORLD SONG LYRICS


There comes a time
When we heed a certain call
When the world must come together as one
There are people dying
Oh, and it's time to lend a hand to life
The greatest gift of all

We can't go on
Pretending day-by-day
That someone, somewhere soon make a change
We're all a part of God's great big family
And the truth, you know, love is all we need

We are the world
We are the children
We are the ones who make a brighter day, so let's start giving
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me

Oh, send them your heart
So they know that someone cares
And their lives will be stronger and free
As God has shown us by turning stones to bread
And so we all must lend a helping hand

We are the world
We are the children
We are the ones who make a brighter day, so let's start giving
Oh, there's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me

When you're down and out, there seems no hope at all
But if you just believe there's no way we can fall
Well, well, well, well let us realize
Oh, that a change can only come
When we stand together as one, yeah, yeah, yeah

We are the world
We are the children
We are the ones who make a brighter day, so let's start giving
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me

We are the world
We are the children
We are the ones who make a brighter day, so let's start giving
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and mee

We are the world (are the world)
We are the children (are the children)
We are the ones who'll make a brighter day, so let's start giving (so let's start giving)
There is a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me

Oh, let me hear you!

We are the world (we are the world)
We are the children (said we are the children)
We are the ones who'll make a brighter day so let start giving (so let's start giving)
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me, come on now, let me hear you

We are the world (we are the world)
We are the children (we are the children)
We are the ones who'll make a brighter day so let's start giving (so let's start giving)
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me, yeah

We are the world (we are the world)
We are the children (we are the children)
We are the ones who'll make a brighter day so let's start giving (so let's start giving)
There's a choice we're making
And we're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me

We are the world (are the world)
We are the children (are the children)
We are the ones who'll make a brighter day so let's start giving (so let's start giving)
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me

We are the world, we are the world (are the world)
We are the children, yes sir (are the children)
We are the ones that make a brighter day so let's start giving (so let's start giving)
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day, just you and me, ooh-hoo!

We are the world (dear God) (are the world)
We are the children (are the children)
We are the ones that make a brighter day so let's start giving (all right, can you hear what I'm saying?)
There's a choice we're making, we're saving our own lives



Watch this version of We are the World song in HD with names of singers embedded 👇🏿


RIHANNA - DIAMONDS SONG LYRICS



Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond

Find light in the beautiful sea, I choose to be happy
You and I, you and I, we're like diamonds in the sky
You're a shooting star I see, a vision of ecstasy
When you hold me, I'm alive, we're like diamonds in the sky

I knew that we'd become one right away
Oh, right away

At first sight I felt the energy of sun rays
I saw the life inside your eyes

So shine bright, tonight, you and I
We're beautiful like diamonds in the sky
Eye to eye, so alive
We're beautiful like diamonds in the sky

Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond (whoa)
Shining bright like a diamond
We're beautiful like diamonds in the sky

Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond (whoa)
Shining bright like a diamond
We're beautiful like diamonds in the sky

Palms rise to the universe as we moonshine and molly
Feel the warmth, we'll never die, we're like diamonds in the sky
You're a shooting star I see, a vision of ecstasy
When you hold me, I'm alive, we're like diamonds in the sky

At first sight I felt the energy of sun rays
I saw the life inside your eyes

So shine bright, tonight, you and I
We're beautiful like diamonds in the sky
Eye to eye, so alive
We're beautiful like diamonds in the sky

Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond (whoa)
Shining bright like a diamond
We're beautiful like diamonds in the sky

Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond (whoa)
Shining bright like a diamond
We're beautiful like diamonds in the sky

Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond
So shine bright, tonight, you and I
We're beautiful like diamonds in the sky
Eye to eye, so alive
We're beautiful like diamonds in the sky

Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond, oh-oh, yeah
Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond (whoa)
Shine bright like a diamond
Shine bright like a diamond


Watch Diamonds Official Music Video 👇🏿


RAIS WA MPITO AAPISHWA NCHINI MISRI

Venance Blog: Jaji mkuu wa mahakama ya juu zaidi ya kikatiba ameapishwa nchini Misri kuwa rais wa muda baada ya jeshi kumng'oa mamlakani rais aliyechaguliwa naraia kwa njia ya kidemokrasia na kushinda kwa wingi wa kura, Mohammed Morsi. Viongozi duniani wamepokea kwa tahadhari matukio yanayojiri huko Misri. Waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani, Guido Westerwelle, amewaambia waandishi kwambaanaangalia kwa umakini hatua iliyochukuliwa na jeshi la Misri. Waziri wa mashauri ya kigeni wa Uingereza , William Hague, amesema Uingereza haiungi mkono uvamizi huo wa kijeshi lakini haina budi kuitambua hatua hiyo na kusogea mbele. Hata hivyo alikataa kulishutumu jeshi kwa kumpindua Morsi akisema ni uvamizi ulioungwa mkono na watu wengi. Mfalme Abdalla wa Saudia ametuma ujumbe wa hongera kwa kaimu rais wa Misri akisema kwamba uteuzi wake unajiri katika wakati muhimu. Mkuu wa jeshi Generali Abdul Fattah al-Sisi alitoa tangaza hilo kupitia televisheini Jumatano jioni, katika kile Morsi, alisema ni mapinduzi ya kijeshi. Generali Sisi alisema kuwa Morsi,ambaye ni rais wa kwanza kuchaguliwa amekosa kutimiza mahitaji ya watu. Hatua hiyo inakuja baada ya siku nyingi ya maandamano, dhidi ya rais Morsi wa chama cha Musolim Brotherhood. Waandamanaji walimtuhumu yeye na chama chake kwa kusukuma ajenda ya kiisilamu kwa taifa hilo na kukosa kusuluhisha matatizo ya kiuchumi yanayokumba taifa hilo. Chama cha Muslim Brotherhood kimesema kuwa bwana Morsi pamoja na washauri wake wako chini ya kifungo cha nyumbani na hawana mawasiliano ya nje. Hapo awali mkuu wa majeshi alisema kuwa katiba ya nchi hiyo imeahirishwa na kwamba jaji mkuu wa taifa hilo atachukuwa mamlaka ya rais. Maelfu ya waandamanaji wanaompinga bwana Morsi mjiniCairo walisherehekea kwa shangwe na vifijo kufuatia taarifa hiyo ya jeshi lakini wale wanaomuunga bwana Morsi wanasemekana kubaki kimya huku wakisubiri matukio yatakayofwata. Rais Obama amesema kuwa ana wasiwasi mkubwa kuhusiana na matukio yaliyopo nchini Misri huku katibu mkuu wa umoja wa mataifa Banki Moon akitaka kuwe na utulivu.

IDADI YA WATU WALIOFARIKI UGANDA YAFIKIA 33

Moto mkubwa uliowaka baada yaajali mbaya ya barabarani iliohusisha lori la mafuta, umewauwa takriban watu 33 mjini kampala Uganda. Watu wengine 30 wanadaiwa kujeruhiwa vibaya kufuatia tukiohilo. Maafisa wa polisi wanasema kuwa kati ya waliofariki ni raia waliokuwa wanakimbilia eneo hilo la mkasa kuteka mafuta yaliokuwa yakivuja kutoka kwa lori hilo. maafisa wa serikali walikuwa katika harakati za kutambua mili ya waliofariki baada ya wengi wao kuchomeka vibaya. Idara ya polisi imesema kuwa waliofariki waliteketea kiasi cha kutotambulika na itabidi watumie utaalamu wa vinasaba au DNA kutambua miili ya waliokufa.

RAIS OBAMA AWASIRI TANZANIA

Rais wa Marekani Mh. Barack Obama amewasili leo hii nchini katika uwanja wa kimataifa Mwalimu Nyerere majira ya saa 8 akitokea katika nchi ya Afrika Kusini. Rais Obama amewasiri yeye pamoja na familia yake huku akiambatana na msafara wa watu 700 kutoka Marekani wakiwemo Wafanyabiashara na Waandishi wa habari. MUNGU IBARIKI TANZANIA!!

KIONGOZI WA AL SHABAAB AJISALIMISHA

Mmoja wa viongozi wakuu wa zamani wa kundi la wapiganaji wa Al-shabaab, Hassa Dahir Aweyes amewasili mjini Mogadishu chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya serikali. Hata hivyo haijulikani iwapo kiongozi huyo amesalimu amri auameamua kujiunga na vikosi hivyo vya serikali. Ijumaa iliopita, umoja wa mataifaulitangaza kuwa Bwana Hassa Dahir alikuwa amejisalimisha kwavikosi vya serikali ya Somali lakinimadai hayo yakapingwa na wazee wa koo za taifa hilo. Kiongozi huyo alikuwa amechukua hifadhi katika mji wa Kazkazini wa Adado baada ya makabiliano makali kuzuka kati ya kambi tofauti za wapiganaji wa Al Shabaab juma lililopita. Kiongozi huyo ametajwa kama gaidi na umoja wa mataifa pamoja na serikali ya marekani. ©2013 Venance

MAANDAMANO DHIDI YA RAIS MORSI WA MISRI YAANZA

Raia wa Misri wamefanya maandamano makubwa kote nchini kumshinikiza rais wa taifa hilo Mohammed Morsi, kujiuzulu wakati wa maadhimisho yake ya kwanza tangu achukue hatamu ya taifa hilo. Ijapokuwa barabara za mji wa Cairo zina utulivu kufikia sasa, maafisa wa polisi wamewekwa katika kila sehemu ili kuzuia ghasia. Wapinzani wa rais huyo wanamkashifu kwa kushindwa kutatua maswala ya kimsingi kama vile uchumi pamoja na usalama na kudai kuwa zaidi ya raia millioni 22 wametia sahihi yakutaka uchaguzi mpya kufanyika mara moja. Aidha wanadai kuwa rais Morsi, ameweka ajenda ya Kiislamu ya chama chake cha Muslim brotherhood mbele kushinda mahitaji ya raia wa taifa hilo. Wafuasi wa rais huyo pia wameapa kufanya mikutano ya hadhara kumuunga mkono kiongozi wao ©2013 Venance
MY NEW BLOG LOGO
 

RAIA WA AFRIKA KUSINI WAKESHA WAKIMUOMBEA RAIS NELSON MANDELA

Raia wa Afrika kusini wamekesha kwa maombi maombi nje ya makaazi ya zamani ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Nelson mtaani Soweto. Rais Jacob Zuma amesema kuwa afya ya shujaa huyo aliyepigana dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo inaendelea kuimarika. Mandela aliye na umri wa miaka 94 amekuwa hospitalini akiuguwa ugonjwa wa maambukizi ya mapafu. Awali mwanawe wa kike, Makaziwe amesema afya ya babaake inaendelea kuwa njema. Aidha Makaziwe amevikashifu vyombo vya habari kwa kukita kambi nje ya hospitali alikolazwa shujaa huyo akisema wanahabariwanapaswa kumheshimu babaake. Rais Jacob Zuma alisema Alhamisi kuwa hali ya Mandela iliimarika lakini bado yuko hali mahututi. "leo angalau yuko sawa kidogo kuliko nilivyomwacha jana usiku,'' alisema Rais Zuma baada ya kuongea na madakatari wanaomtibu Mandela. Bwana Zuma alifutilia mbali safariyake ya Msumbiji ili kumtembeleaMandela hospitalini. Wakati huohuo mwanawe Mandela Makaziwe alisema Mzee 'bado yupo' na kuwa anaweza kuhisi mtu akimgusa.

ZIARA YA RAIS OBAMA KATIKA NCHI TATU ZA AFRIKA YAANZA



Rais wa Marekani, Mh. Barack Obama ,jana ameanza ziara yake katika ule mpango wake wa kuzitembelea nchi za bara la Afrika. Nchi zilizopata fursa ya kutembelewa na kiongozi huyo kutoka taifa kubwa ulimwenguni ni 1. Tanzania 2. Senegal 3. Afrika Kusini Katika kuitembelea nchi ya Afrika Kusini ilikuwa Rais Obama aonane na Rais wa kwanza wa nchi hiyo Nelson Mandela ambaye yuko hospitali kwa siku ya 20 lakini sasa atafanya hivyo endapo ataruhusiwa na familia ya Nelson Mandela. Akiwa nchini humu rais Obama atapokelewa na mwenyeji wake Rais Kikwete.
 Copyright © 2013

SOMA HAPA JINSI YA KUWEKA USALAMA WA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK

KWA USALAMA WA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK NENDA SEHEMU YA CHINI INAITWA "SETTINGS & PRIVACY" KISHA BOFYA "SECURITY" CHAGUA "SECURITY QUESTION" THEN USOME MASWALI YATAKAYOONESHWA HAPO CHINI CHAGUA SWALI AMBALO UNAONA NI RAHISI KWAKO KISHA LICHAGUESWALI HILO KWA KULIBONYEZA NA KISHA TOA JIBU LA SWALI HILOKWA USAHIHI KISHA WEKA NAMBAZAKO ZA SIRI ZA FACEBOOK (PASSWORD) KISHA HIFADHI (SAVE) KUMBUKA USIMWAMBIE MTU YEYOTE SWALI HILI KWA SABABU LINATUMIKA KURUDISHA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK PINDI UNAPOZUIWA (BLOCKED) AUKUBADILISHWA BAADHI YA TAARIFA (HACKING) HAYA SASA FUATA MLOLONGO HUU KWENYE AKAUNTI YAKO: "SETTINGS & PRIVACY >SECURITY >SECURITY QUESTION" Asante!!!




 © 2013 Venance

SOMA KISA CHA KIPOFU HAPA (NI BURUDANI TU HAKUNA UKWELI)

Kipofu alimpiga mtu mmoja hadi akamuua. Akapelekwa mahakamani, Hakimu akamuuliza kwa nini umeua na wakati huoni? Kipofu akajibu, marehemu aliniambia mwenyewe nipige uone, kwa vile mi nilikuwa na hamu kubwa ya kuona nikampiga kwa nguvu zangu zote bahati mbaya akafariki!!... Hakimu akaduwaa!!! "KWA MUJIBU WA MAELEZO YA KIPOFU, KAMA WE UNGEKUWA HAKIMU UNGEAMUA NINI HAPO???!!"