YALIYOJIRI KATIKA SAFARI YANGU KUOKA TABORA-MBEYA

Basi la kampuni ya SASEBOSSA liliondoka Tabora stand saa 2 asubuhi tukiwa safarini saa sita na dakika 48 mchana basi lilisimama katika kituo cha Rungwa kwa masaa 4 baada ya kupata hitilafu, mafundi walijaribu kulitengeneza na walifanikisha saa kumi na moja na dakika 40 jioni ambapo basi lilianza kuondoka, majira ya saa 6 usiku gari lilipasuka exozi na kusababisha mafuta yote kumwagika chini hapo tulilazimika kusubiri kwa saa zima na nusu kusubiri konda alete mafuta kwa kurudi kituo cha nyuma, mpaka saa 7 na nusu usiku hapo tulikuwa katika mlima wa kuzunguka zunguka a.k.a NYOKA NYOKA kama wanavyouita wenyeji baada ya konda kuleta mafuta tulizunguka mlima huo na hatimaye kuuacha, gari likaendelea mpaka tulipofika Mbeya stand saa kumi usiku. "NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIFANYA NIFIKE SALAMA BINAFSI LICHA YA KUPATA UGUMU WA SAFARI KAMA HIVYO NA ASANTENI WOTE MLIOSHIRIKIANA NA MIMI KWA NAMNA YOYOTE ILE TOKA MWANZO WA SAFARI #UKEREWE HADI #MBEYA KUPITIA #TABORA MUNGU AWABARIKI" © #Venancetz

Comments

Popular Posts

ZIFAHAMU NCHI ZINAZOZUNGUMZA KISWAHILI BARANI AFRIKA

MKUTAO WA G7 KUANGAZIA USALAMA NA MAZINGIRA

HISTORIA YA KOMBE LA DUNIA TANGU 1930, WAANDAAJI & WASHINDI

CHEKI PICHA HIZI ALIZOWEKA NICKI MINAJ INSTAGRAM

RAIS MTEULE WA MISRI EL SISI ATAAPISHWA LEO HII

MICHAEL JACKSON-HUMAN NATURE SONG LYRICS

SELECTED APPLICANTS TO JOIN MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY (MWECAU) 2018/2019 ROUNDS 1 & 2

IFAHAMU ANDROID NOUGAT VERSION 7

WAFAHAMU WAIGIZAJI 10 WA KIKE WA KOREA AMBAO NI WAREMBO KWA MWAKA 2017