TAKWIMU ZA MUDA WOTE ZA KOMBE LA DUNIA LA FIFA: TIMU, MECHI, KADI NA MAGOLI 1930-2022
TIMU, MECHI & IDADI YA MAGOLI
1. Mwaka 1930 jumla ya timu 13 zilicheza jumla ya mechi 18 na yalipatikana jumla ya magoli 70 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.9 katika kila mechi.
2. Mwaka 1934 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 17 na yalipatikana jumla ya magoli 70 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.9 katika kila mechi.
3. Mwaka 1938 jumla ya timu 15 zilicheza jumla ya mechi 18 na yalipatikana jumla ya magoli 84 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.7 katika kila mechi.
4. Mwaka 1950 jumla ya timu 13 zilicheza jumla ya mechi 22 na yalipatikana jumla ya magoli 88 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.0 katika kila mechi.
5. Mwaka 1954 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 26 na yalipatikana jumla ya magoli 140 hii ikiwa ni wastani wa magoli 5.4 katika kila mechi.
6. Mwaka 1958 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 35 na yalipatikana jumla ya magoli 126 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.6 katika kila mechi.
7. Mwaka 1962 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 32 na yalipatikana jumla ya magoli 89 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.8 katika kila mechi.
8. Mwaka 1966 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 32 na yalipatikana jumla ya magoli 89 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.8 katika kila mechi.
9. Mwaka 1970 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 32 na yalipatikana jumla ya magoli 95 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.0 katika kila mechi.
10. Mwaka 1974 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 38 na yalipatikana jumla ya magoli 97 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.6 katika kila mechi.
11. Mwaka 1978 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 38 na yalipatikana jumla ya magoli 102 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.
12. Mwaka 1982 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 146 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.8 katika kila mechi.
13. Mwaka 1986 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 132 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.5 katika kila mechi.
14. Mwaka 1990 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 115 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.2 katika kila mechi.
15. Mwaka 1994 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 141 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.
16. Mwaka 1998 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 171 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.
17. Mwaka 2002 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 161 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.5 katika kila mechi.
18. Mwaka 2006 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 147 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.3 katika kila mechi.
19. Mwaka 2010 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 145 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.3 katika kila mechi.
20. Mwaka 2014 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 171 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.
21. Mwaka 2018 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 169 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.6 katika kila mechi.
22. Mwaka 2022 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 172 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.
23. Mwaka 2026 jumla ya timu 48 zitashiriki michuano hii na kuweka rekodi ya kuwa michuano ya kwanza ya kuwa na timu 48.
TIMU ZILIZOSHIRIKI MARA NYINGI (HADI MARA 10)
1. Brazil inashikilia rekodi ya kucheza michuano yote 22 tangu kuanzishwa kwake (1930, 1934, 1938, 1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)2. Ujerumani imeshiriki mara 20 kati ya michuano yote 20 tangu kuanzishwa kwake (1934, 1938, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
3. Ajentina imeshiriki mara 18 (1930, 1934, 1958, 1962, 1966, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
4. Italia pia inafuatia kwa kucheza michuano 18 kati ya yote 22 (1934, 1938, 1950, 1954, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)
5. Mexico imeshiriki mara 17 (1930, 1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1978, 1986, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
6. Uingereza imeshiriki mara 16 (1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1982, 1986, 1990, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
7. Ufaransa imeshiriki mara 16 (1930, 1934, 1938, 1954, 1958, 1966, 1978, 1982, 1986, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
8. Hispania imeshiriki mara 16 (1934, 1950, 1962, 1966, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
9. Ubeligiji imeshiriki mara 14 (1930, 1934, 1938, 1954, 1970, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2014, 2018, 2022)
10. Urugwai imeshiriki mara 14 (1930, 1950, 1954, 1962, 1966, 1970, 1974, 1986, 1990, 2002, 2010, 2014, 2018, 2022)
11. Swideni imeshiriki mara 11 (1934, 1938, 1950, 1958, 1970, 1974, 1978, 1990, 1994, 2002, 2006, 2018)
12. Serbia imeshiriki mara 13 (1930, 1950, 1954, 1958, 1962, 1974, 1982, 1990, 1998, 2006, 2010, 2018, 2022)
13. Uholanzi imeshiriki mara 11 (1934, 1938, 1974, 1978, 1990, 1994, 1998, 2006, 2010, 2014, 2022)
14. Urusi imeshiriki mara 10 (1958, 1962, 1966, 1970, 1982, 1986, 1990, 1994, 2002, 2014)
15. Uswisi imeshiriki mara 12 (1934, 1938, 1950, 1954, 1962, 1966, 1994, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
16. Marekani imeshiriki mara 12 (1930, 1934, 1950, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
16. Marekani imeshiriki mara 12 (1930, 1934, 1950, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
17. Jamhuri ya Korea ya Kusini imeshiriki mara 11 (1954, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)
TIMU 10 ZILIZOCHEZA MECHI NYINGI ZAIDI
Kikosi cha Ujerumani dhidi ya Hungaria mwaka 1954 |
2.Ujerumani inafuatia katika orodha. Imecheza mechi 112 ambapo imeshinda mechi 60 imesare mechi 21 na kufungwa mechi 23.
3. Ajentina imecheza mechi 88 ikishinda mechi 47 imesuluhu mechi 17 na kufungwa mechi 24.
4. Italia imecheza mechi 83 ikishinda mechi 45 imesuluhu mechi 21 na kufungwa mechi 17.
5. Uingereza imecheza mechi 74 imeshinda mechi 32 imesuluhu mechi 22 na kupoteza mechi 20.
6. Ufaransa imecheza mechi 73 ikishinda mechi 39 imesuluhu mechi 14 na kufungwa mechi 20.
7. Hispania imecheza mechi 67 imecheza mechi 31 imesuluhu mechi 17 na kufungwa mechi 19.
8. Mexico imecheza mechi 60 imecheza mechi 17vimesuluhu mechi 15 na kufungwa mechi 28.
9. Urugwai imecheza mechi 59 imecheza mechi 25 imesuluhu mechi 13 na kufungwa mechi 21.
TIMU 5 ZINAZOONGOZA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU
Nahodha wa Ajentina, Daniel Passarella akionesha kombe la dunia la Jules Rimet baadaya kuichapa Uholanzi 3-1 katika fainali ya mwaka 1978. |
2. Ujerumani inafuatia kwa kadi 117; njano 110, njano ya pili 2 na nyekundu 5 katika mechi 106 (1934, 1938, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)
3. Brazili ina kadi 108; njano 97, njano ya pili 1 na nyekundu 10 ambazo zinaifanya timu hii kuwa idadi nyingi ya kadi nyekundu katika michuano hii kuliko timu nyingine. Kadi hizi zote za aina tatu zimepatikana katika mechi 104 (1930, 1934, 1938, 1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)
4. Italia ina kadi 98; njano 97, njano ya pili 1 ns nyekundu 7 katika mechi 83 (1934, 1938, 1950, 1954, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)
5. Uholanzi ina kadi 97; njano 90, njano ya pili 4 na nyekundu 3 katika mechi 50 (1934, 1938, 1974, 1978, 1990, 1994, 1998, 2006, 2010, 2014)
Makala hii imeandaliwa kwa hisani ya mtandao wa FIFA pamoja na takwimu zote.
Kama una maoni yoyote usisite kuandika chini ya andiko hili ama niandikie kupitia barua pepe yangu; venancegilbert@gmail.com. Simu ni 0753400208.
Comments
Post a Comment