PICHA ZA NDOA YA KIFALME PRINCE HARRY & MEGHAN MARKLE
Umati wa watu uliofurika kushuhudia harusi hiyo. |
Maua yaliyopambwa kwenye kanisa la Kasri ya Windsor katika kanisa la Mt. George. |
Usharika wa Mt. George uliokusanyika kanisani hapo. |
Princess Eugine, Prince Andrew na Princess Beatrice walipowasili harusini. |
Meghan Markle wakiwa kwenye gari kutoka Clevedon kulekea kasri ya Windsor. |
Prince Haary akiwa na msaidizi wake harusini jana Duke wa Cambridge. |
Prince Harry akipunga mkono kusalimia umati uliohudhuria harusi hiyo. |
Jeshi pia lilikuwepo katika harusi hiyo. |
Gari la bibi Harusi lilipowasili kanisania kwa ajili ya kufunga ndoa. |
Bibi harusi na mama yake wakiwapungia mkono umati ukiokusanyika harusini hapo. |
Prince Harry na Prince William wakisalimiana na watu waliofika harusini |
Malkia Elizabeti akishuka kwenye gari alipowasili harusini. |
Malkia Elizabeti katika vazi lake la kiutamaduni wa Uingereza akielekea kanisani kushuhudia harusi. |
Meghan Marke ndani ya shela iliyobuniwa na mwanamitindo Clare Waight Keller. |
Kibongo tunasema bibi harusi na bwana harusi mdogo wakiwasili na wazai wao harusini. |
Bibi harusi akiingia kanisani huku akisindikizwa na wasaidizi wake. |
Muonekano wa karibu wa shela. |
Baadhi ya wanafamilia wa familia ya kifalme wakifuatilia tukio hilola harusi. |
Malkia Elizabet na Duke wa Edinburgh |
Bibi Harusi Meghan ndani ya kanisa. |
Ndani ya kanisa. |
Princess Charles akimsindikiza Meghan mahala pa kukaa. |
Prince Harry na mkewe Meghan wakiwa Altare tayari kwa kufunga ndoa. |
Tabasamu la ndoa hili bila shaka. |
Prince Harry akimvua shela mkewe. |
Maharusi wakifurahi pamoja. |
Maharusi wakisikiliza wimbo ulioimbwa na Karen Gibson na kwaya ya The Kingdom. Wimbo unaitwa 'Stand by me' ukimaanisha "Baki na Mimi" |
Maharusi wakibadilishana pete. |
Tabsamau la Ndoa hili bila shaka. |
Askofu akisoma maneno ya kubariki ndoa. |
Ndani ya kanisa. |
Baada ya kubadilishana pete. |
Maharusi wakiondoka kanisani baada ya kufunga ndoa. |
Tabasamu wakati wakiondoka kanisani. Baada ya ndoa sasa wanakua ni Duke & Duchess wa Sussex kwa mujibu wa taratibu za Uingereza. |
Wakibusiana wakati wakiondoka kanisani. |
Princess Meghan mwenyewe. |
Nje ya kanisa. |
Kenye gari ya kijeshi tayari kwa maandamano ya hsrusi. |
Malkia Elizabet na Duke wa Edinburgh. |
Prince Harry akiwapungia mkono walioshirki harusi. |
Princess Meghan akiwapungia mkono walioshirkik harusi. |
Baada ya harusi ikafuatia sherehe na hivi ndivyo walivaa wakenlekea ukumbini. |
Prince Harry akimfungulia mkewe Princess Meghan mlango wa gari. |
Wkianga sasa kuelekea ukumbini. |
Pincess Meghan akiwa amevaa pete ya marehemu mama mkwe wake Princess Wales kwa pamoja wakiwapungia watu mkono wakati wakielekea ukumbini . |
NIMEKUANDALIA PICHA HIZI KWA HISANI YA JARIDA LA MITINDO LA UINGEREZA, THE VOGUE.
Comments
Post a Comment