Posts

JENERALI AUAWA KATIKA MAPIGANO SUDAN KUSINI

Image
Mapigano makali yamezuka nje ya mji mkuu wa Sudan Kusini wa Bor na Jenerali mmoja wa jeshi la Sudan Kusini ameuawa.Mwandishi wa BBC anasema vikosi vya serikali vinazidi kuelekea karibu na mji wa Bor ambapo kumekuwa na mapigano ya kutegeana baina ya majeshi ya serikali na vikosi vya waasi vinavyomtii aliyekuwa makamu wa rais Riek Machar.Mwandishi wa BBC amesema pia ameshuhudia miili ya watu ikiwa chini na vifaru vikiwa vimelipuliwa vibaya pembezoni mwa barabara.Pande pinzani nchini humo zinataraji kuanza mazungumzo ya ana kwa ana mjini Adis Ababa kujaribu kumaliza wiki tatu za mapigano.Kiongozi wa ujumbe wa serikali ya Sudan kusini Nial Deng Nial amesema kuwa ni muhimu kwamba viongozi kuzungumzia kuhusu kusitishwa kwa vita.

P SQUARE-PESRONALLY SONS LYRICS

Image
Personally personal personally Personally personal personally [Verse 1] Personally I rock your body I promise you go home You won’t tell your daddy I’ll give it to you like you’ve never had it Swimming chin chin like speaking Chinese Ehn na wetin be this Baka boom boom na wetin I see Saga! And she no wan greee She talk say no wan leave [Chorus] Eh - I no go lie The things wey dey my mind When I see you dancing, girl you got me high And if you want to try, Gbege go dey tonight Cos I’m in the mood As long as you feeling the groove I go deal with you Personally eh Pers...

MICHAEL JACKSON-THRILLER SONG LYRICS

Image
[Michael Jackson] It's close to midnight and something evil's lurkin' in the dark Under the moonlight you see a sight that almost stops your heart You try to scream but terror takes the sound before you make it You start to freeze as horror looks you right between the eyes, You're paralyzed 'Cause this is thriller, thriller night And no one's gonna save you from the beast about to strike You know it's thriller, thriller night You're fighting for your life inside a killer, thriller tonight Yeah Ooh You hear the door slam and realize there's nowhere left to run You feel the cold hand and wonder if you'll ever see the sun You close your eyes and hope that this is just imagination, girl But all the while you hear a creature creepin' up behind You're outta time 'Cause this is thriller, thriller night There ain't no second chance against the thing with the forty eyes, girl Thriller, ooh, thriller night You're fighting for your life...

LIONEL RICHIE FT. AKON-JUST GO SONG LYRICS

Image
[Verse 1: Lionel Richie] It'd be so nice If you didn't have to feel so lonely It'd be so nice If I could sneak you for a moment I know you like to get away, go away, far away To a place where there's just us two Got a busy day, everyday but not today Cause I'm Here to take that stress from you So you can just chill And clear your head And let me do everything for you cause you deserve it Prepare your meal And make your bed Well lets just switch places with you cause you are so worth it [Akon] I just want us to go (go go) Drop everything and just go (go go) I just want us to go (go go) Drop everything and just go (go go) [Verse 2: Lionel Richie] How would you like to sail away in the Bahamas? (Just you and me girl) So far out in the sea where nobody can find you (Just the end of the world) Cause there is no rush for you to come back and face the rain Cause there is plenty sunshine where I pic...

VIFAHAMU VITABU 20 VYA KWANZA KUANDIKWA KATIKA MFULULIZO WA WAANDISHI AFRIKA

Image
1. Things Fall Apart-Chinua Achebe 2. Burning Grass-Cyprian Ekwensi 3. No Longer at Ease-Chinua Achebe 4. Zambia Shall Be Free-Kenneth Kaunda  5. People of the City-Cyprian Ekwensi  6. Mine Boy-Peter Abrahams  7. Weep Not Child-Ngugi Wa Thiong'o 8. A book of African Verse-kimehaririwa na John Reed & Clive Wake  9. Modern African Prose-kimehaririwa na Richard Rive 10. Equiano's Travels-Olaudah Equiano 11. One Man, One Matchet-T. M. Aluko 12. The African-William Conton 13. Mission to Kala-Mongo Beti 14. Quartel-kimeandikwa na Richard Rive, Alex La Guma, Alf Wannenburgh & James Matthews 15. Origin of East Africa-kimehaririwa na David Cook 16. Arrow of God-Chinua Achebe 17. The River Between-Ngugi Wa Thiong'o 18. The Imprisonment of Obatala-Obotunde Ijimere  19. Lokotown-Cyprian Ekwensi  20. Child of Two World-Mugo Gatheru

KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND

Image
Stori: Shakoor Jongo Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.Habari ‘hoti’ zinadai kuwa Clement anataka Diamond arudishe gharama alizomgharamia Wema ndipo waendeleze mapenzi yao.Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa kigogo huo, Clement anadai kwamba gharama alizotumia kwa Wema ni kubwa mno lakini bidada hakujali chochote na kuukabidhi moyo wake kwa ‘Mtoto wa Tandale’ ambaye ndiye barafu wa moyo wake.“CK (Clement) anaumia sana kuona kuwa ameteketeza fedha nyingi kwa Wema lakini bila hiyana, mrembo huyo akabwaga manyanga kisha akarudisha mpira kwa kipa na kuanza moja huku kaka mkubwa akiachwa kwenye mataa,” alitonya mnyetishaji huyo bila kufafanua kama Clement aliachwa mataa ya eneo gani.Akiendelea kutiririka bila kuweka nukta au ya mkato, mtu huyo alisema kuwa kiasi ambacho kinadaiwa kuteketea kwa Wema kinakaribia Sh. milioni 279.6 ambazo ...

VITAMBULISHO VYA URAIA KUVUKIA MIPAKA KENYA, RWANDA NA UGANDA

Image
Wananchi wa mataifa ya Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kwa mpango wa kutumiwa kwa vitambulisho vya uraia kama cheti cha kuwaruhusu kuvuka mpaka na kuingia moja wapo wa nchi hizo.Mpango huu wa kutumia vitambulisho vya uraia kama hati ya kusafiria katika nchi hizo tatu umeanza kutumiwa rasmi tarahe Mosi Januari 2014, kufuatia makubaliano kati ya viongozi wa mataifa hayo.Mpango wenyewe unatokana na makubaliano kati ya viongozi wa nchi tatu waliofikia wakati wa mkutano uliofanyika nchini Uganda mwezi Juni mwaka jana.Pia mpango huu unalenga kurahisisha usafiri wa watu wa jumuiya katika mataifa wanachama kama awamu ya pili ya ushirikiano kati ya mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki.Hata hivyo siku moja tu baada ya kuanzishwa kwa mpango wa kutumia vitambulisho vya uraia kama hati ya kuwaruhusu raia wa nchini tatu, Uganda, Kenya na Rwanda kuvuka mpaka na kuingia mojawapo ya nchi hizo sasa inaonekana mpango huo huenda ukawanufaisha watu wachache peke yake.Sio ...

MAZUNGUMZO YA AMANI KUHUSU SUDAN KUSINI YAANZA ADDIS ABABA

Image
Mazungumzo ya kupatanisha pande mbili zinazozozana kwenye mgogoro wa Sudan Kusini na kusitisha vita, yameanza mjini Addis Ababa Ethiopia.Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika wizara ya mambo ya nje nchini Ethiopia, wajumbe kutoka kanda ya Afrika Mashariki wananuia kusuluhisha mgogoro huo wa kisiasa ambao umekuwa ukitokota kwa takriban wiki tatu.Hata hivyo mazungumzo ya ana kwa ana yangali kuanza kati ya pende zinazozozana yangali kuanza.Waakilishi kutoka pande zinazozozana wanakutana na wajumbe wa kikanda wanaoendesha mazungumzo hayo ingawa haijulikani ikiwa vingozi wa Sudan Kusini wenyewe watakutana ana kwa ana.Mamia ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameachwa bila makao kufuatia mapigano hayo kati ya majeshi ya Rais Salva Kiir na yale ya hasimu wake ambaye alikuwa makamu wake wa Rais Riek MacharWakati huo huo, ubalozi wa Marekani, katika mji mkuu wa Sudan Kusini,Juba unaendelea na shughuli ya kuwahamisha wafanyakazi wake wote nchini humo kutokana na mzozo unaoendelea.Umoja wa Mataifa um...

MADAGASCAR YAPATA RAIS MPYA

Image
Maafisa nchini Madagascar wanasema kuwa matokeo ya mwanzo mwanzo ya duru ya pili ya uchaguzi wa Rais uliofanyika mwezi Disemba, yanaonyesha mshindi kuwa waziri wa zamani wa fedha Hery Rajaonarimampianina.Tume ya uchaguzi ya nchi hiyo inasema kuwa bwana Hery Rajaonarimampianina alishinda asilimia hamsini na tatu (53%) ya kura zilizopigwa.Mshindani wake, Jean Louis Robinson anasema kuwa uchaguzi ulikumbwa na wizi wa kura na sasa anasema sharti shughuli ya kuhesabu kura irejelewe.Uchaguzi huo ulikuwa mpango wa kurejesha utulivu kwa nchi hiyo baada ya mapinduzi ya kijeshi kufanyika miaka minne iliyopita.Bwana Rajaonarimampianina alikuwa mgombea aliyeungwa mkono na kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi, Rais wa zamani Andry Rajoelina. Chanzo: BBC Swahili

DIAMOND AISIFIA NGOZI YA WEMA ASEMA INA MVUTO NA INANG'ARA KULIKO KITU CHOCHOTE

Image
Kweli hii ni 2014! Diamond aisifia ngozi ya Wema, adai ina mvuto na ina mng’aro kuliko kitu chochote.!“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za kung’arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani alisikiliza ushauri niliompa kabla.”Hiyo ni kauli ya staa aliyetikisa mwaka 2013 bwana Diamond Platnumz aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa akizungumza na gazeti maarufu la michezo nchini hivi karibuni. Diamond amesema Wema ndiye mwanamke anayetamani kuwa naye katika maisha yake, hivyo kauli yake aliyoitoa mwanzo kuhusu kuzaa na Wema ipo mbioni kutimia.“Miezi kadhaa nyuma niliongea kuhusu nia yangu ya kuzaa na Wema, wakati huo nilikuwa bado na Penny, siwezi kukimbia kivuli changu kwani ukweli unabaki palepale nampenda yule binti, japokuwa wapo wanaosema kwamba sijatulia au natafuta ‘kiki’ kupitia warembo hawa, si kweli, Wema nilikuwa naye kabla ya Penny na vigezo vyangu ni mchumba anayeja...

ACHINJWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

Image
MKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari alisema mauaji hayo yalifanyika Desemba 29 , mwaka jana saa 2:30.Alikutwa nyumbani kwake mwili ukiwa na majeraha makubwa sikioni na kichwani. Mwanamke huyo inadaiwa alikuwa mganga wa kienyeji na mfinyanzi maarufu wa vyungu.Kwa mujibu wa Kamanda, siku moja kabla ya tukio, akiwa kwenye shughuli hizo, jirani na nyumbani kwake, walifika vijana wawili waliotajwa ni Shigela Majinja (25) na Mhoja Shilinde (18). Inadaiwa vijana hao ambao ni wakazi wa kijijini hapo.Walifika kwa kwa mama huyo wakijifanya kuwa ni wateja wake, ambapo walikuwa wakiulizia bei ya vyungu. Pia, walimwomba awasaidie kuwapatia tiba ya kienyeji .“Ndipo vijana hao walipoanza kumhoji juu ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutaka kujua mahali , alikokuwa akiishi na chumba alichokuwa akilala na alikuwa akilala na na...

EYMAEL: NIPENI YANGA NIIUE AL-AHLY

Image
KOCHA Luc Eymael ambaye tayari ameshafanya mazungumzo ya awali na viongozi wa Yanga, ameuambia uongozi wa klabu hiyo kuwa anaijua vizuri Klabu ya Al-Ahly ya Misri na endapo watampatia kibarua hicho, atawasaidia kuwang’oa katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Akizungumza na Mwanaspoti kwa njia ya mtandao, Eymael ambaye ni raia wa Ubelgiji, alisema amefanya mazungumzo ya awali na mmoja wa viongozi wa Yanga kupitia barua pepe, ambapo alisema kama klabu hiyo itampatia ajira hiyo hana wasiwasi na uwezo wake katika kuwang’oa Al-Ahly ambao Yanga inatarajia kukutana nao raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga itaanza michuano hiyo dhidi ya timu ya Comoronize ya Visiwa vya Comoro inayotajwa kuwa ni dhaifu na baada ya hapo itakuwa na kibarua kizito dhidi ya wababe hao wa Misri. Eymael aliyezaliwa miaka 54 iliyopita katika mji mdogo wa Tongeren, Ubelgiji alisema hajajua Yanga inaundwa na nyota wenye uwezo kiasi gani lakini anachoweza kuwaambia viongozi wa klabu hiyo ni k...

SIMBA YAPATA VIKOSI VIWILI TISHIO

Image
SIMBA ipo Zanzibar katika Kombe la Mapinduzi, lakini kocha msaidizi wa timu hiyo, Seleman Matola mapema wiki hii alionyesha sura ya vikosi viwili vya ushindi katika michuano hiyo. Katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo Uwanja wa Kinesi, Dar es Salaam.  Matola alipanga vikosi viwili na kuwachezesha kwa ushindani kwa muda usiopungua dakika 50. Kikosi cha kwanza ambacho kinaonekana ndicho kitakachotumika katika Kombe la Mapinduzi kiliundwa na Ivo Mapunda, Nassor Said ‘Chollo’, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’, Joseph Owino, Donald Mosoti, Jonas Mkude, Ramadhan Singano ‘Messi’, Ramadhan Chombo ‘Redondo’, Amissi Tambwe, Awadh Juma na Haruna Chanongo.Kikosi cha pili kiliwajumuisha, Yaw Berko, William Lucian ‘Gallas’, Salum Omar, Hassan Khatib, Gilbert Kaze, Abdulhalim Humud, Uhuru Seleman, Amri Kiemba, Betram Mombeki, Said Ndemla na Edward Christopher. Wakati mazoezi hayo yakiendelea Berko alitoka baada ya kuumia na nafasi yake ikachukuliwa na Abdul Hashim, pia Redondo alipelekwa kikos...

ABIRIA 52 WALIOKWAMA KATIKA MELI HUKO ANTAKTIKA WAOKOLEWA

Image
Waokoaji kutoka Australia wamefanikiwa kuwaokoa abiria 52 waliokuwa wamekwama katika meli ya Akademic Shokalskiy huko barani Antaktika toka tarehe 24 Desemba mwaka jana 2013 na helkopta inayomilikiwa na raia wa China aitwaye Xu Long. Meli hiyo ilikwama kutokana mlundikano wa barafu katika injini zake. Barafu hiyo ilisafirishwa na upepo mkali umbali wa netiko maili 1,500 kutoka katika mji wa Hobart jimbo la Australia. Kazi ya kuokoa abiria hao ilichukua dakika 45 kwa kila Wafanyakazi wa meli hiyo wanataraji kubaki katika meli hiyo kwa muda wa wiki moja mpaka pale barafu itakapoyeyuka. Aidha abiria hao waliokuwa wakisafiri kuelekea Tasmania hawatasafiri tena mpaka pale hali itakapokuwa shwari katikati ya mwezi huu. Jinsi barafu ilivyokuwa imeganga Jinsi barafu ilivyokuwa imeganga

IRAQ SECURITY FORCES FIGHT MILITANTS IN ANBAR PROVINCE

Image
Special forces in Iraq are fighting Jihadist militants who have reportedly taken over swathes of two cities.The clashes with fighters from the Al Qaeda linked Islamic State of Iraq and the Levant (ISIS) are taking place in Fallujah and Ramadi. Both cities are in the province of Anbar where Sunni militant activity has been on the rise.On Monday the security forces broke up a long-running Sunni anti-government protest camp in Ramadi. A senior police officer was quoted as saying ISIS fighters had seized at least 10 police stations and had freed a number of prisoners. ISIS fighters have posted videos of themselves burning government vehicles, setting up checkpoints and issuing challenges to the authority of the Shia Prime Minister, Nouri Maliki. Sunni tribal fighters have also taken to the streets, with reports that some are fighting on the government side. As well as the breaking up of the protest camp, the arrest of a Sunni MP at the weekend also raised tensions. Sunni Arabs i...