MY NEW BLOG LOGO
Posts
RAIA WA AFRIKA KUSINI WAKESHA WAKIMUOMBEA RAIS NELSON MANDELA
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Raia wa Afrika kusini wamekesha kwa maombi maombi nje ya makaazi ya zamani ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Nelson mtaani Soweto. Rais Jacob Zuma amesema kuwa afya ya shujaa huyo aliyepigana dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo inaendelea kuimarika. Mandela aliye na umri wa miaka 94 amekuwa hospitalini akiuguwa ugonjwa wa maambukizi ya mapafu. Awali mwanawe wa kike, Makaziwe amesema afya ya babaake inaendelea kuwa njema. Aidha Makaziwe amevikashifu vyombo vya habari kwa kukita kambi nje ya hospitali alikolazwa shujaa huyo akisema wanahabariwanapaswa kumheshimu babaake. Rais Jacob Zuma alisema Alhamisi kuwa hali ya Mandela iliimarika lakini bado yuko hali mahututi. "leo angalau yuko sawa kidogo kuliko nilivyomwacha jana usiku,'' alisema Rais Zuma baada ya kuongea na madakatari wanaomtibu Mandela. Bwana Zuma alifutilia mbali safariyake ya Msumbiji ili kumtembeleaMandela hospitalini. Wakati huohuo mwanawe Mandela Makaziwe alisema Mzee 'bado yupo' na kuwa anaweza kuhis...
ZIARA YA RAIS OBAMA KATIKA NCHI TATU ZA AFRIKA YAANZA
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Rais wa Marekani, Mh. Barack Obama ,jana ameanza ziara yake katika ule mpango wake wa kuzitembelea nchi za bara la Afrika. Nchi zilizopata fursa ya kutembelewa na kiongozi huyo kutoka taifa kubwa ulimwenguni ni 1. Tanzania 2. Senegal 3. Afrika Kusini Katika kuitembelea nchi ya Afrika Kusini ilikuwa Rais Obama aonane na Rais wa kwanza wa nchi hiyo Nelson Mandela ambaye yuko hospitali kwa siku ya 20 lakini sasa atafanya hivyo endapo ataruhusiwa na familia ya Nelson Mandela. Akiwa nchini humu rais Obama atapokelewa na mwenyeji wake Rais Kikwete. Copyright © 2013
SOMA HAPA JINSI YA KUWEKA USALAMA WA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
KWA USALAMA WA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK NENDA SEHEMU YA CHINI INAITWA "SETTINGS & PRIVACY" KISHA BOFYA "SECURITY" CHAGUA "SECURITY QUESTION" THEN USOME MASWALI YATAKAYOONESHWA HAPO CHINI CHAGUA SWALI AMBALO UNAONA NI RAHISI KWAKO KISHA LICHAGUESWALI HILO KWA KULIBONYEZA NA KISHA TOA JIBU LA SWALI HILOKWA USAHIHI KISHA WEKA NAMBAZAKO ZA SIRI ZA FACEBOOK (PASSWORD) KISHA HIFADHI (SAVE) KUMBUKA USIMWAMBIE MTU YEYOTE SWALI HILI KWA SABABU LINATUMIKA KURUDISHA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK PINDI UNAPOZUIWA (BLOCKED) AUKUBADILISHWA BAADHI YA TAARIFA (HACKING) HAYA SASA FUATA MLOLONGO HUU KWENYE AKAUNTI YAKO: "SETTINGS & PRIVACY >SECURITY >SECURITY QUESTION" Asante!!! © 2013 Venance
SOMA KISA CHA KIPOFU HAPA (NI BURUDANI TU HAKUNA UKWELI)
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Kipofu alimpiga mtu mmoja hadi akamuua. Akapelekwa mahakamani, Hakimu akamuuliza kwa nini umeua na wakati huoni? Kipofu akajibu, marehemu aliniambia mwenyewe nipige uone, kwa vile mi nilikuwa na hamu kubwa ya kuona nikampiga kwa nguvu zangu zote bahati mbaya akafariki!!... Hakimu akaduwaa!!! "KWA MUJIBU WA MAELEZO YA KIPOFU, KAMA WE UNGEKUWA HAKIMU UNGEAMUA NINI HAPO???!!"
Udaku Specially: SHOW YA MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... WAJITOKEZA ...
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
AFARIKI URAMBO TABORA KWA KUNYWA VIROBA 12 VYA KONYAGI KATIKA MASHINDANO
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 12 Juni 2013 katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa niaba ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani humo Kaimu Kamanda, Edward Lukombe amemtaja marehemu kuwa ni Juvenali Wambura mwenye umri wa miaka 42, inadaiwa kuwa siku ya tukio baadhi ya wanywaji katika glosari moja waliandaa shindano ambalo si rasmi kuwa mnywaji atakayekunywa viroba 12 ataondoka na zawadi ya pesa taslimu ambapo inadaiwa marehemu alijigamba kuwa angekunywa viroba vyote na hivyo kuibuka mshindi inadaiwa kuwa marehemu alianza kunywa viroba hivyo kwa kasi ya ajabu ambapo alipomaliza kunywa kiroba cha mwisho cha 12 aliishiwa nguvu na hivyo wenzake kulazimika kumpeleka katika hospitali ya wilaya ya urambo kwa matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi. Kaimu kamanda huyo amesema kuwa licha ya marehemu kunywa viroba vyote hivyo inaelekea hakuwa amepata lishe ya kutosha siku hiyo. Kaimu kamanda huyo ametahadharisha wanywaji mkoani humo kunywa ...
MISHE MISHE ZA MWAFRIKA: BREAKING NEWS; MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AL...
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
SAFARI YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho ya mwanamuziki Albert Mangwea almaarufu kama Ngwair hapa duniani leo Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amina Jeneza lililobeba mwili wa Ngwair BAADHI YA NYIMBO ZILIZOMUWEKA JUU SANA NGWAIR NI: 1. She got a gwan 2. CNN 3. Demu wangu 4.Nipeni dili 5. Mikasi MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMINA!!.. Picha na DJ FETTY WA CLOUDS FM
TAMKO LA BALOZI WA TANZANIA WA AFRICA YA KUSINI KUHUSU KUCHELEWA MWILI WA MAREHEMU NGAIR
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA UPYA UFAULU WAONGEZEKA KWA 9%
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru Kawambwa jana ametangaza tena kwa mara ya pili matokeo ya kidato cha nne ambapo amesema ufaulu umeongezeka kwa 9% kutoka 34% mpaka kufikia 43% . Matokeo haya yalifutwa na kupangwa upya baada ya kuwa ule utaratibu uliotumika mwaka jana katika usahihishaji haukutoa taarifa kwa Wanafunzi na Waalimu pamoja na wadau wote wa Elimu, hivyo kufutwa na kupangwa kwa viwango vya mwaka juzi 2011. Matokeo ya shule niliosoma mimi yanapatika kupitia kiungo cha http://196.44.162.33/csee2012/CSEE%202012/s3370.htm NAKOZA SECONDARY SCHOOL iliyopo NANSIO wilayani UKEREWE mkoani MWANZA.
RAIS OBAMA KUTEMBELEA TANZANIA JULAI 1 MWAKA HUU
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
Kwa mujibu wa kurugenzi ya habari ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Marekani Barack Obama atafanya ziara ya siku moja nchini mnamo tarehe mosi Julai ikiwa ni moja ya mipango yake ya kulitembelea bara la Afrika. Nchi nyingine ambazo Rais Obama atazulu ni Senegal na Afrika Kusini. Akiwa nchini Rais Obama atapokelewa na mwenyeji wake Rais Kikwete ambapo ataondoka nchini tarehe 2 Juni baada ya ziara yake nchini. KARIBU TANZANIA RAIS OBAMA. WELCOME TANZANIA PRESIDENT OBAMA.
O-LEVEL HISTORY TOPICS
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-
FORM ONE: 1. Introduction and Sources of History 2. Evolution of Man, Technology and Environment 3. Development of Economic acties and their Impacts 4. Development of Social and Political Systems. FORM TWO: 1. Interactions among the people of Africa 2. Social-Economic Development and Production in Pre-Colonial Africa 3. Africa the External World 4. Transition to Industrial Capitalism. FORM THREE: 1. Establishment of Colonialism 2. Colonial Administrative system 3. Colonial Economy 4. Colonial Social Services. FORM FOUR: 1. Crisis to the Capitalist system 2. Nationalism and Decolonisation in Africa 3. Africa after Independence 4. Africa in International Affairs and Co-operation. © VENANCE BLOG 2013
NIKIPOKEA CHETI KAMA MWANAFUNZI BORA WA ART SIKU YA MAHAFALI SEP 28, 2012
- Get link
- X
- Other Apps
Written by
Venance Gilbert
-