RAIS OBAMA KUTEMBELEA TANZANIA JULAI 1 MWAKA HUU

Kwa mujibu wa kurugenzi ya habari ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Marekani Barack Obama atafanya ziara ya siku moja nchini mnamo tarehe mosi
 Julai ikiwa ni moja ya mipango yake ya kulitembelea bara la Afrika. Nchi nyingine ambazo Rais Obama atazulu ni Senegal na Afrika Kusini. Akiwa nchini Rais Obama atapokelewa na mwenyeji wake Rais Kikwete ambapo ataondoka nchini tarehe 2 Juni baada ya ziara yake nchini. KARIBU TANZANIA RAIS OBAMA. WELCOME TANZANIA PRESIDENT OBAMA.

0 comments:

Post a Comment