Movie mpya inayoitwa Minions imetengenezwa na kampuni kongwe kwa utengenezaji wa movie duniani, Universal. Itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye sinema mnamo tarehe 10/07/2015. Imetengenezwa kwa wahusika ambao ni wanyama (Animated). Waongozaji wa movie hiyo ni Kyle Balda & Pierre Coffin ambapo Waandishi ni Ken Daurio & Brian Lynch na stering wa movie ni Chris Renaud, Pierre Coffin & Sandra Bullock. Waongozaji wa movie hii wamewahi kuongoza muvi inayoitwa Despicable Man. Tazama video hapo juu au bofya HAPA.
© VENANCE BLOG 2015.
Comments
Post a Comment