ICHEKI KWA MARA YA KWANZA VIDEO YA ALI KIBA - "MWANA"
Video iliyosubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wa Ali Kiba ‘Mwana’ imeachiwa leo hii Ijumaa ya 19 Decemba 2014.
Ali Kiba
Alithibitisha kuwa video imekamilika na kusema Video imetayarishwa na
muongozaji kutoka Afrika Kusini na imefanyika maeneo ya mjii wa Cape
Town.
Vituo vitakavyo rusha hii video
Cameroon, Ethiopia, Angola, U.S. & U.K. itachezwa kwenye vituo vya 1Musicnetworks.
Nigeria na Ghana itachezwa kwenye kituo cha SOUNDCITYtv.
Uganda itachezwa kwenye kituo cha NTVUganda.
Kenya itachezwa kwenye kituo cha Citizen Tv kwenye kipindi cha Mseto.
Tanzania itachezwa kwenye kituo cha CloudsTV.

Hii ndio Video Halisi ya Mwana itazame.
Comments
Post a Comment