VIDEO MPYA: AY FT MS TRINITY & LA'MYIA ICHEKI HAPA

Mwanamuziki Ambwene Yesaya a.k.a. A.Y. kutoka hapa hapa Bongo land Tz ameachia video ya wimbo wake uitwao Touch me alowashirikisha Sean Kingston na Ms Trinity. Pata nafasi ya kuangalia video hiyo hapa chini ama fuatisha KIUNGO HIKI kuingalia katika akaunti yake ya Youtube. Video hii hapa chini;





ASANTE KWA KUTAZAMA VIDEO. WASILIANA NAMI KWA NJIA HIZI:

LIKE VENANCE BLOG FACEBOOK


NIFUATE TWITTER


NIFUATE INSTAGRAM



Asante na Karibu tena VENANCE BLOG © 2014

0 comments:

Post a Comment