Posts

ASILILIA 25 YA WALIMU HUFUNDISHA MAMBO YASIYO YA MSINGI

Image
Wakati Serikali ikiahidi kuboresha elimu nchini kwa kuhakikisha inaajiri walimu wa kutosha, imebainika kuwa asilimia 25 ya walimu huwafundisha wanafunzi mambo yasiyo ya msingi. Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco), iliyozinduliwa Dar es Salaam hivi karibuni, imebainisha kuwa wakati wananchi wakilalamika kuwa elimu inayotolewa haimsaidii mwanafunzi kupata ajira nzuri, wanafunzi hawajifunzi mambo ya msingi yatakayowasaidia kupambana na changamoto za maisha. Akizindua ripoti hiyo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa alisema kuwa ripoti hiyo imeweka wazi ukubwa wa tatizo la ufundishaji, akieleza kwamba jumla ya watoto milioni 250, duniani wanakosa mafunzo ya msingi ya kusoma, kuandika na kuhesabu, ingawa wanaingia darasani. “Tanzania kama sehemu ya dunia, haijakwepa tatizo hilo. Baadhi ya watoto wetu wamekuwa wakimaliza shule za misingi bila ya kuwa na ujuzi huo. Hii ni hali ya kushtua, inayohitaji nguvu za pamoja za wadau wo...

JUSTIN BIEBER HATORUDISHWA CANADA

Sorry, America — we’ll have to deal with Justin Bieber a bit longer. The White House on Friday finally officially responded to a petition signed by more than 273,000 people to have Bieber deported to Canada after a string of boozy antics and arrests. “Sorry to disappoint, but we won’t be commenting on this one,” read a statement on petitions.whitehouse.gov. “We’ll leave it to others to comment on Mr. Bieber’s case, but we’re glad you care about immigration issues.” The White House argued immigration reform will shrink our deficits by almost $1 trillion in the next 20 years. Handily, it added, “For those of you counting at home, that’s 12.5 billion concert tickets — or 100 billion copies of Mr. Bieber’s debut album.”

MRISHO MPOTO AELEZEA SABABU ZA KUTOVAA VIATU HATA ANAPOKUWA KATIKA ZIARANI KIMATAIFA

Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto amedai kuwa ajisikii vizuri pindi anapo vaa viatu kutokana kudai kuvaa viatu kuna athiri utendaji wa kazi zake. Mpoto alilionga na bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika. “Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa peku ,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa sababu ya kutafuta energy ,unajua energy ya mimi kuendelea kuishi inapatikana kwenye udongo,yani ngozi yangu inapokutana na ardhi nakuwa so (confident) na nakuwa Mpoto, zaidi na nguvu na nakuwa na akili ,sasa sipendi wakati mwingine kuwa fake,najitaidi sana kuwa wakisasa ila nakuwa nasahau,kwamfano naweza nikanunu kiatu cha gharama alafu nikakisahau kwenye ndege au kwenye basi kwasababu siyo kawaida yangu kuvaa viatu, nisha jaribu lakini nimeshapoteza vingi,kwasababu siyo culture yangu kuvaa viatu ,viatu navaaga kwasababu watu wananisema.kwaiyo nikivaa ninakuwa kama inanisumbua, nikaona kama bora ni...

UGOMVI KATI YA PETER NA PAUL 'P SQUARE' KAKA YAO NA MKE WA PETER WAHUSISHWA

Ni siku chache tu zimepita toka Paul Okoye wa kundi la P-Square afanye harusi ya kimila na mke wake Anita Isama huko Nigeria, lakini baada ya wote wawili (Peter & Paul) kukamilisha majukumu ya ndoa zao, kuna habari ambazo zimesambaa wiki hii kuwa umeibuka ugomvi baina ya mapacha hao wa kundi la P-Square ambao inasemekana sasa hawaelewani vizuri. Mtandao wa Naija Gists umeripoti kuwa kwa mujibu wa chanzo, inadaiwa kuwa kumekuwa na kutoelewana baina ya kaka mkubwa wa mapacha hao Jude Okoye na mke wa mdogo wake Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, kitu kilichopelekea Jude kutohudhuria harusi yao mwaka jana. Kama unakumbuka Jude hakuhudhuria harusi ya Peter na Lola mwaka jana, lakini alihudhuria ya Paul na Anita mwaka huu kitu kinachowafanya watu waamini kuwa kuna tatizo kubwa baina yao. Chanzo hicho kimesema inadaiwa kuwa ugomvi huo unaomhusu Lola umesababisha Peter na Paul kugombana wakati wako kwenye rehearsle Jumatano wiki hii, mpaka walipoachanishwa na dancers wao. ...

NUKUU ZA LEO/QUOTES OF THE DAY 19/04/2014

Image
1. Let us dream of tomorrow where we can truly love from the soul, and know love as the ultimate truth at the heart of all creation. - Michael Jackson 2. Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant. -Robert Louis Stevenson 3. Find a place inside where there's joy, and the joy will burn out the pain. -Joseph Campbell 4. Health is the greatest gift, contentment the greatest wealth, faithfulness the best relationship. - Buddha 5. Even if I knew that tomorrow the world would go to pieces, I would still plant my apple tree. -Martin Luther  6. Hope is a waking dream. - Aristotle  7. Happiness is not something you postpone for the future; it is something you design for the present. - Jim Rohn  8. I hated every minute of training, but I said, 'Don't quit. Suffer now and live the rest of your life as a champion.' -Muhammad Ali 9. Thousands of candles can be lighted from a single candle...

WAKOREA KASKAZINI WAAGIZWA KUNYOA KIDUKU

Wanaume Korea Kaskazini wanakabiliwa na mtihani mpya katika taifa lao; wa kunyoa nywele kwa mtindo ulioamuliwa na rais wao. Watake, wasitake kuanzia sasa kila mwanamume atalazimika kunyoa nywele zake kwa mtindo anaoupenda Rais Kim Jong- un. Kiongozi huyo kijana, aliyerithi wadhifa huo baada ya kifo cha baba yake, hana mzaha hasa kutokana na nia yake ya kujenga mfumo mpya wa utawala ambao matakwa yake tu ndiyo ya kufuatwa. Ni wiki mbili sasa tangu serikali ya nchi hiyo kutoa agizo linalowataka wanaume kunyoa kama rais wao, huku wanawake nao wakielekezwa kutengeneza nywele zao kwa aina 18 tofauti na si zaidi ya hapo. Hilo ni moja ya maagizo yenye utata kuwahi kutolewa chini ya utawala wake, ambapo amekuwa akifanya jitihada za kujijengea mizizi, ikiwamo kuwaondoa na kuwaadhibu wale waliokuwa katika utawala wa baba yake wanaoonekana kutokubaliana na aina yake ya uongozi.

KIGOGO WA WEMA AMHONGA GARI KAJALA

NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa na Risasi Jumamosi limeifukunyua. Kwa mujibu wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram, Kajala alinunuliwa gari hilo aina ya Toyota Brevis lenye rangi ya bluu iliyoiva wiki mbili zilizopita mara baada ya kutua Bongo akitokea nchini China ambako alikwenda kwa mambo yake binafsi. TAARIFA ZINAVYODAI Wasambaza taarifa hao walidai kuwa, kigogo huyo wa Ikulu ni yule Clement ambaye amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. “Mmeisikia hii? Kajala amenunuliwa gari na Kile (Clement), lina thamani ya shilingi milioni kumi na moja, Wema alie tu nakwambia. We ukisema cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini? “Kwanza mnajua kama bifu la Wema na Kajala lilitokana na Clement? Alipoachana na Wema akatua kwa msichana anaitwa Naima, lakini akaona bado akaenda hadi kwa Kajala. We...

UGANDA YATOA TAHADHARI KUHUSU AL SHABAAB

Uganda imetoa tahadhari kwamba kundi la wanamgambo la Al Shabaab linapanga kutumia malori ya mafuta kama mabomu katika mahambulizi yao. Taarifa hii inakuja siku moja baada ya polisi kuwakamata washukiwa wawili wa ugaidi waliokuwa na mabomu wakinuia kutekeleza mashambulizi mjini Mombasa. Mkuu wa polisi wa Uganda,Kale Kayihura, amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kwamba idara ya polisi na ujasusi zina taarifa za kuthibitishwa kuwa kundi la Al-Shabaab linapanga kulipua malori ya mafuta nchini Uganda na kusababisha uharibifu mkubwa. Ameshauri wananchi kuwa waangalifu na waweze kutoa taarifa zozote kwa polisi. Uganda na Kenya ziko na wanajeshi wake nchini Somalia kusaidia wanajeshi wa Somalia na wale wa Muungano wa Afrika kupambana na kundi la Al Shabaab. Wapiganaji hao wamekiri kufanya mashambulizi katika nchi hizo mbili na kutishia mashambulizi zaidi ikiwa Kenya haitaondoa wanajeshi wake kutoka Somalia. Kundi la Al Shabaab liliwaua watu 76 katika mji mkuu wa Uganda Kampala m...

UGANDA YATOA TAHADHARI KUHUSU AL SHABAAB

Uganda imetoa tahadhari kwamba kundi la wanamgambo la Al Shabaab linapanga kutumia malori ya mafuta kama mabomu katika mahambulizi yao. Taarifa hii inakuja siku moja baada ya polisi kuwakamata washukiwa wawili wa ugaidi waliokuwa na mabomu wakinuia kutekeleza mashambulizi mjini Mombasa. Mkuu wa polisi wa Uganda,Kale Kayihura, amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kwamba idara ya polisi na ujasusi zina taarifa za kuthibitishwa kuwa kundi la Al-Shabaab linapanga kulipua malori ya mafuta nchini Uganda na kusababisha uharibifu mkubwa. Ameshauri wananchi kuwa waangalifu na waweze kutoa taarifa zozote kwa polisi. Uganda na Kenya ziko na wanajeshi wake nchini Somalia kusaidia wanajeshi wa Somalia na wale wa Muungano wa Afrika kupambana na kundi la Al Shabaab. Wapiganaji hao wamekiri kufanya mashambulizi katika nchi hizo mbili na kutishia mashambulizi zaidi ikiwa Kenya haitaondoa wanajeshi wake kutoka Somalia. Kundi la Al Shabaab liliwaua watu 76 katika mji mkuu wa Uganda Kampala m...

P SQUARE-TASTE THE MONEY (TESTIMONY) SONG LYRICS

Image
Heh heh heh Now I'm giving my testimony Yo oh oh oh I'm killing the beat And I'm giving them hits oh eh eh eh Now I'm giving them everything oh oh oh oh I'm living my life I don chop e money heh heh heh I don taste money eh eh My guy I'm allergic to poverty (you say wetin) So I'm using my sense to dey gather the property Say (ok now) no time oh Like the statue of Liberty Nobody knows tomorrow So I be holding my destiny eh As e be say na jungle oh Some people they bubble oh eh eh I continue the struggle oh The struggle dey double my hustle eh As e be say na jungle oh Some people they bubble oh eh I continue the struggle oh Dey double my hustle yeah Now I'm giving my testimony Yo oh oh oh I'm killing the beat And I'm giving them hits oh eh eh eh Now I'm giving them everything oh oh oh oh I'm living my life I don chop e money hehehe I don taste money eh I'm a testimony testimony my testimony I don chop I don taste money eh I don taste mo...

EMINEM FT RIHANNA-THE MONSTER SONG LYRICS

Image
I'm friends with the monster that's under my bed Get along with the voices inside of my head You're tryin' to save me, stop holding your breath And you think I'm crazy, yeah, you think I'm crazy (crazy) I   wanted the fame but not the cover of Newsweek Oh well, guess beggars can't be choosey Wanted to receive attention for my music Wanted to be left alone in public, excuse me For wantin' my cake, and eat it too, and wantin' it both ways Fame made me a balloon 'cause my ego inflated When I blew, see, but it was confusing 'Cause all I wanted to do's be the Bruce Lee of loose leaf Abused ink, used it as a tool when I blew steam (ooh) Hit the lottery, ooh-wee But with what I gave up to get, it was bittersweet It was like winnin' a used mink Ironic 'cause I think I'm gettin' so huge I need a shrink I'm beginnin' to lose sleep, one sheep, two sheep Going coo-coo and kooky as Kool Keith But I'm actually weirder than ...

BEYONCÉ FT JAY Z-DRUNK IN LOVE SONG LYRICS

Image
I've been drinking, I've been drinking I get filthy when that liquor get into me I've been thinking, I've been thinking Why can't I keep my fingers off it? Baby, I want you, na-na Why can't I keep my fingers off it? Baby, I want you, na-na Cigars on ice, cigars on ice Feeling like an animal with these cameras all in my grill Flashing lights, flashing lights You got me faded, faded, faded Baby, I want you, na-na Can't keep your eyes off my fatty Daddy, I want you, na-na Drunk in love, I want you We woke up in the kitchen Saying, How the hell did this shit happen? Oh, baby Drunk in love We be all night Last thing I remember is our beautiful bodies grinding up in that club Drunk in love We be all night, love, love We be all night, love, love We be all night, and everything alright No complaints from my body So fluorescent under these lights Boy, I'm drinking, park it in my lot, 7-11 I'm rubbing on it, rub-rubbing If you scared, call that reverend Boy, I...

WESTLIFE-I HAVE A DREAM SONG LYRICS

Image
[Shane] I have a dream, a song to sing  To help me cope with anything  If you see the wonder (wonder) of a fairy tale  You can take the future even if you fail  I believe in angels  Something good in everything I see  I believe in angels  When I know the time is right for me  I'll cross the stream, I have a dream  [Bryan] Oh yeah I have a dream (have a dream), a fantasy (fantasy) To help me through (help me through) reality (reality) And my destination (destination) makes it worth the while  Pushing through the darkness ([Mark] pushing through the darkness baby) Still another mile  [Shane] I believe in angels  Something good in everything I see ([Mark] everything I see yeah) I believe in angels ([Mark] I believe in angels ) When I know the time is right for me ([Mark] time is right for me) I'll cross the stream, I have a dream  I have a dream (oh yeah), a song to sing (song to sing)  To help me cope with anything...

WAHAMIAJI HARAMU 40 WAZAMA YEMEN

Maafisa wa serikali nchini Yemen wamesema kuwa zaidi ya wahamiaji arubaini wa Kiafrika wamezama baharini, baada ya mashua walimokuwa wakisafiria kuzama, katika pwani ya kusini mwa nchi hiyo. Manoari ya jeshi la Yemen ambalo lilikuwa katika eneo hilo, imefanikiwa kuwaokoa wahamiaji wengine wapatao thelathini. Wizara ya ulinzi nchini Yemen imesema kuwa mashua hiyo iliyokuwa ikisafirisha wahamiaji haramu, ilizama katika mkoa wa Kusini wa Shabwa, eneo ambako maelfu ya wahamiaji wa Kiafrika huwasili kila mwaka. Kwa mujibu wa shirika la Kimataifa la Uhamiaji la IOM, wengi wa wakimbizi wanaojaribu kuvuka guba la Eden, wanatoka Somalia na Ethiopia. Shirika hilo limesema kuwa wahamiaji hao hufanya safari ndefu na hatari ili kukwepa umasikini, unyanyazaji au vita katika mataifa yao. Baada ya kuwasili Yemen, wengi wao hutarajia kupata kazi nchini Saudi Arabia na mataifa ya Guba, lakini mamia ya wahamiaji wa Kiafrika hufa kila mwaka wakijaribu kuvuka eneo hilo la Guba wakitafuta maisha bora ka...
Maafisa wa serikali nchini Yemen wamesema kuwa zaidi ya wahamiaji arubaini wa Kiafrika wamezama baharini, baada ya mashua walimokuwa wakisafiria kuzama, katika pwani ya kusini mwa nchi hiyo. Manoari ya jeshi la Yemen ambalo lilikuwa katika eneo hilo, imefanikiwa kuwaokoa wahamiaji wengine wapatao thelathini. Wizara ya ulinzi nchini Yemen imesema kuwa mashua hiyo iliyokuwa ikisafirisha wahamiaji haramu, ilizama katika mkoa wa Kusini wa Shabwa, eneo ambako maelfu ya wahamiaji wa Kiafrika huwasili kila mwaka. Kwa mujibu wa shirika la Kimataifa la Uhamiaji la IOM, wengi wa wakimbizi wanaojaribu kuvuka guba la Eden, wanatoka Somalia na Ethiopia. Shirika hilo limesema kuwa wahamiaji hao hufanya safari ndefu na hatari ili kukwepa umasikini, unyanyazaji au vita katika mataifa yao. Baada ya kuwasili Yemen, wengi wao hutarajia kupata kazi nchini Saudi Arabia na mataifa ya Guba, lakini mamia ya wahamiaji wa Kiafrika hufa kila mwaka wakijaribu kuvuka eneo hilo la Guba wakitafuta maisha bora ka...