MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014-MWAKALELI HIGH SCHOOL

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

ACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS

S0417 MWAKALELI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 3 DIV-II = 50 DIV-III = 52 DIV-IV = 0 DIV-0 = 0


CNO
SEX
AGGT
DIV
DETAILED SUBJECTS
S0417/0501
F
7
I
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B+'
S0417/0502
F
8
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0503
F
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0504
F
8
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0505
F
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0506
F
9
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0507
F
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'C'
S0417/0508
F
12
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'D'
S0417/0509
F
11
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'D' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0510
F
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'C'
S0417/0511
M
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0512
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0513
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0514
M
11
III
G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'C'
S0417/0515
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0516
M
12
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'D'
S0417/0517
M
8
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0518
M
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'C'
S0417/0519
M
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0520
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0521
M
12
III
G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'D'
S0417/0522
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0523
M
6
I
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B+' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B+'
S0417/0524
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0525
M
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0526
M
9
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0527
M
11
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'C'
S0417/0528
M
8
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' KISWAHILI - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0529
F
11
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0530
F
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0531
F
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0532
F
12
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'D' ENGLISH - 'B'
S0417/0533
F
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0534
F
10
III
G/STUDIES - 'B' HISTORY - 'C' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0535
F
12
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'D'
S0417/0536
F
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0537
F
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0538
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0539
M
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0540
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0541
M
9
II
G/STUDIES - 'B' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0542
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B+' ENGLISH - 'B'
S0417/0543
M
12
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'C'
S0417/0544
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0545
M
12
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'D' ENGLISH - 'B'
S0417/0546
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0547
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0548
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0549
M
12
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'C'
S0417/0550
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0551
M
*E
*E
---
S0417/0552
M
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0553
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0554
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0555
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0556
M
9
II
G/STUDIES - 'B' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B+'
S0417/0557
M
12
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'C'
S0417/0558
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0559
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0560
M
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0561
M
7
I
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B+' ENGLISH - 'B+'
S0417/0562
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0563
M
11
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'C'
S0417/0564
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0565
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' ENGLISH - 'B'
S0417/0566
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B'
S0417/0567
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' ENGLISH - 'B+'
S0417/0568
F
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0569
F
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0570
F
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0571
F
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0572
F
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0573
F
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0574
F
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0575
F
11
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0576
F
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B'
S0417/0577
F
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B'
S0417/0578
F
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0579
F
12
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'C'
S0417/0580
F
10
III
G/STUDIES - 'B' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B'
S0417/0581
F
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0582
F
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'B' ECONOMICS - 'C'
S0417/0583
F
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0584
F
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0585
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0586
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'B' ECONOMICS - 'B'
S0417/0587
M
10
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0588
M
8
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0589
M
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0590
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0591
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0592
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B'
S0417/0593
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0594
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0595
M
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B'
S0417/0596
M
8
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0597
M
11
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B'
S0417/0598
M
10
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0599
M
9
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0600
M
12
III
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'C'
S0417/0601
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0602
M
9
II
G/STUDIES - 'D' HISTORY - 'B' GEOGR - 'C' BAM - 'C' ECONOMICS - 'B+'
S0417/0603
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'
S0417/0604
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0605
M
9
II
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'B' GEOGR - 'B' BAM - 'D' ECONOMICS - 'B'
S0417/0606
M
11
III
G/STUDIES - 'C' HISTORY - 'C' GEOGR - 'C' BAM - 'E' ECONOMICS - 'B'


EXAMINATION CENTRE RANKING
EXAMINATION CENTRE REGION
MBEYA
TOTAL PASSED CANDIDATES
105
EXAMINATION CENTRE GPA
2.8657
CENTRE CATEGORY
CENTRE WITH 30 CANDIDATES OR MORE
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)
14/25
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)
113/268
EXAMINATION CENTRE DIVISIONS PERFORMANCE
REGIST
ABSENT
SAT
WITHHELD
NO-CA
CLEAN
DIV I
DIV II
DIV III
DIV IV
DIV 0
106
0
106
1
0
105
3
50
52
0
0
EXAMINATION CENTRE SUBJECTS PERFORMANCE
CODE
SUBJECT NAME
REG
SAT
NO-CA
W/HD
CLEAN
PASS
GPA
REG/RANK
NAT/RANK
111
GENERAL STUDIES
106
106
0
1
105
103
4.2952
16/41
152/448
112
HISTORY
106
106
0
1
105
105
3.4095
39/39
385/406
113
GEOGRAPHY
78
78
0
1
77
77
3.5065
27/39
190/431
121
KISWAHILI
28
28
0
0
28
28
2.5000
30/34
250/337
122
ENGLISH LANGUAGE
67
67
0
1
66
66
3.0909
26/38
207/380
141
BASIC APPLIED MATHEMATICS
39
39
0
0
39
26
4.9744
17/24
194/300
151
ECONOMICS
39
39
0
0
39
39
2.7949
10/20
99/221

SHAIRI KUHUSU KUPATA KATIBA MPYA



Name if the poem: THE NEW PAPERS
Name of the poet: Venance Gilbert
Date of composition: July 3, 2014
First published on the blog: July 15, 2014


In progress was set in 1977 
Set by the earlier youths 
The present-day seniors others gone
But gigantic starring role was played by them.

We need them
The Fresh structure
That put down the base of our population
The land that giant comrades breathe the last for free will
To culminate the regal iniquities
And set our particular direction.

Almost man age now moved out
More than thirty ages
Fresh structure fresh fate
We need them 
To be sure we need them
The Fresh Documents.


Let’s link and bond our fingers
To struggle for the Fresh Documents
But not transgressing our kingdoms tie
Organized, we can brand it.

Those who in authority
Plainly scrutinize and serenely talk over 
Take the worthy leave the unfortunate 
Put away your dogmatic gatherings
We of the equivalent land
Common linguistic, history and culture
Go share your exceptional sights
No make flawed stories
No claim to unbond the link
To write the Fresh Documents.

No take in venality
Virtuous outlooks spoiled through it
When one won over not talking
What on thy bonce.

The Fresh Documents are desired prior to approaching G.E.
Prevailing wrangles needs talk
And pacific them resolved
Single realm, solitary history
Common end point
Through the Fresh Documents.

Thee residents
Shall correspondingly have a chamber
To poll for them talked over
You backing solitary supremacy structure?
You poll for it
In need of dual rule scheme?
Your praiseworthy poll shall sound
Them backing up triple-decker supremacy structure
Also will cast them accountable ballot
But all in need is Fresh Documents.

Honourable participants of the House
Pacifically and restlessly talk over
Where antagonism rise up, do thaw
The House was put up of sweats
Similarly the Fresh Documents.



ALL RIGHTS RESERVED.
Venance Gilbert © July 2014.


IF YOU HAVE ANYTHING TO COMMENT, PLEASE DON'T HESITATE TO CONTACT ME THROUGH: 
Facebook: VENANCE BLOG 
Twittter: @Venancetz 
Instagram: venancegilbert
Mobile: +255753400208 
Email: venancegilbert@gmail.com

QUOTES OF THE DAY JUNE 11, 2014

1. Once you replace negative thoughts with positive ones, you'll start having positive results. ~Willie Nelson 

 2. No matter what you're going through, there's a light at the end of the tunnel and it may seem hard to get to it but you can do it and just keep working towards it and you'll find the positive side of things. ~Demi Lovato 

3. Positive anything is better than negative nothing. ~Elbert Hubbard 

 4. I do believe we're all connected. I do believe in positive energy. I do believe in the power of prayer. I do believe in putting good out into the world. And I believe in taking care of each other. ~Harvey Fierstein 

5. Positive thinking will let you do everything better than negative thinking will. `Zig Ziglar

QUOTES OF THE DAY JUNE 10, 2014

1. I think that anybody that smiles automatically looks better. - Diane Lane

 2. A smile is the universal welcome. - Max Eastman

3. Remember even though the outside world might be raining, if you keep on smiling the sun will soon show its face and smile back at you. - Anna Lee

4. After every storm the sun will smile; for every problem there is a solution, and the soul's indefeasible duty is to be of good cheer. - William R. Alger

5. A smile is happiness you'll find right under your nose. - Tom Wilson

6. The real man smiles in trouble, gathers strength from distress, and grows brave by reflection. - Thomas Paine

7. Let my soul smile through my heart and my heart smile through my eyes, that I may scatter rich smiles in sad hearts. - Paramahansa Yogananda

8. A smile is the light in your window that tells others that there is a caring, sharing person inside. - Denis Waitley

9. A smile is a curve that sets everything straight. - Phyllis Diller

10. Too often we underestimate the power of a touch, a smile, a kind word, a listening ear, an honest compliment, or the smallest act of caring, all of which have the potential to turn a life around. - Leo Buscaglia 1

1. A warm smile is the universal language of kindness. - William Arthur Ward

12. Don't cry because it's over. Smile because it happened. - Dr. Seuss

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA: UFARANSA YAICHAPA 8-0 JAMAICA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI

Mshambulizi wa Arsenal Olivier Giroud alifunga bao na kuiongoza ''Le Blues'' kuilaza Jamaica mabao 8-0 katika mechi yao ya mwisho ya kujipima nguvu iliyochezwa siku ya Jumapili. Ufaransa ilikuwa ikiongoza kwa mabao 3-0 kufikia muda wa mapumziko, Yohan Cabaye, Blaise Matuidi na Karim Benzema wakimpa kocha Didier Deschamps kila sababu ya kutabasamu kabla ya kudundadunda.

Matuidi na Benzema walifunga tena katika kipindi cha pili, huku bao lake Giroud na mengine mawili kutoka kwa Griezmann yakitamatisha ushindi wao. Ufaransa 8-0 Jamaica Ufaransa itakabiliana na Honduras, Uswisi na Equador katika kundi E.

Kiungo cha kati wa Real Madrid Benzemaa lionyesha mchezo wa kuridhisha huku Ufaransa ikionyesha kwamba inaweza kujikimu bila Franck Ribery ambaye hatahudhuria michezo ya Kombe la Dunia kutoana na jeraha la mgongo. Hugo Lloris anaychezea Tottenham Hotspurs, Patrice Evra wa Manchester United, Mamadou Sakho wa Liverpool na Moussa Sissoko wa Newcastle walicheza mechi hiyo. Hapo baadae, beki wa Asenal na Loic Remy wa Queens Park Rangers waliingia kama wachezaji wa ziada.

QUOTES OF THE DAY JUNE 9, 2014

1. For anything worth having one must pay the price; and the price is always work, patience, love, self-sacrifice - no paper currency, no promises to pay, but the gold of real service. - John Burroughs 2. The key to everything is patience. You get the chicken by hatching the egg, not by smashing it. - Arnold H. Glasow 3. Our real blessings often appear to us in the shape of pains, losses and disappointments; but let us have patience and we soon shall see them in their proper figures. - Joseph Addison 4. Good character is not formed in a week or a month. It is created little by little, day by day. Protracted and patient effort is needed to develop good character. - Heraclitus 5. It is easier to find men who will volunteer to die, than to find those who are willing to endure pain with patience. - Julius Caesar 6. Never cut a tree down in the wintertime. Never make a negative decision in the low time. Never make your most important decisions when you are in your worst moods. Wait. Be patient. The storm will pass. The spring will come. - Robert H. Schuller 7. Even a happy life cannot be without a measure of darkness, and the word happy would lose its meaning if it were not balanced by sadness. It is far better take things as they come along with patience and equanimity. - Carl Jung 8. Be patient and understanding. Life is too short to be vengeful or malicious. - Phillips Brooks 9. Have patience. All things are difficult before they become easy. - Saadi 10. Patience is bitter, but its fruit is sweet. - Jean-Jacques Rousseau

BADO HALI INATATANISHA BRAZIL KUHUSU USAFIRI: MGOMO BADO UNAENDELEA KWA KASI

Wafanyikazi wa usafiri wa mjini Sao Paulo wamepiga kura kuidhinisha mgomo wao uendelee kwa muda usiojulikana licha ya uamuzi wa mahakama ya kazi nchini humo, iliyokuwa imewaamuru wafanyikazi hao kurudi kazini mara moja.

Mahakam ilikuwa imesema wakuu katika vyama vya wafanyikazi hao wa usafiri wa mjini Metro, walikuwa wametumia mamlaka yao vibaya kwa kuanzisha mgomo tangu alhamisi iliyopita.

Maandamano mengi yamekuwa yakulalamikia hali ngumu ya usafiri lakini sasa wafanyikazi wa treni za mijini ziitwazo Metro ndio waliogoma kutaka nyongeza ya mishahara. Huku nusu ya vituo vya usafiri vikiwa tayari vimefungwa, msongamano wa magari umezidi kuizonga Sao Paulo. 

Sasa wasiwasi unaongezeka, wa Je hali ikiendelea hivyo itakuaje hapo alhamisi wakati jiji hilo ndilo linafungua dimba hilo? Wafanyikazi hao wanadai nyongeza ya mshahara ya asilimia 12 ilhali serkali imesema itamudu nyongeza ya takrban asilimia 9.

HATIMAYE CAMEROON WAPANDA NDEGE NE KUELEKEA BRAZIL BAADA YA KUONGEZEWA PESA

Cameroon sasa wameenda Brazil baada ya mzozo kuhusu marupurupu yao kutatuliwa. Wachezaji hao, almaarufu 'Indomitable Lions' walikuwa wamesusia kuingia ndegeni hadi marupurupu yao yaongezwe. Akiwemo nyota wao mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Samuel Eto'o, walikuwa wamegoma kuingia ndegeni hapo Jumapili asubuhi hivyo safari ikachelewa kwa zaidi ya saa 12.

Wachezaji hao walikuwa wakilalamikia fedha £61,000 ambazo walikuwa wamepangiwa kupewa wakisema hazingetosha. Haijabainika vyema ngapi wameongezewa ndio wakakubali safari.

Hata hivyo rais wa shirikisho la soka la Cameroon Bw.Joseph Owona amesema 'baada ya kuweka kila kitu wazi ,mzozo huo umetatuliwa na sasa hamna tatizo'. Tatizo lililopo sasa kwa masimba hao ni kupata mkakati madhubuti wa kukabiliana vilivyo na timu za kundi lao A ambamo wamo miamba ya soka wenyeji Brazil, Croatia na Mexico.

PAPA FRANCIS I AMEWAKUTANISHA MARAIS WA ISRAEL NA PALESTINA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis I amewakaribisha Rais wa Israel, Shimon Peres, na mwenzake kutoka Palestina, Mahmoud Abbas, katika maombi ya aina ya kipekee katika makao makuu ya Kanisa Katoliki la Vatican. Viongozi hao wawili walikutana na Papa nje ya makazi yake kabla ya kuandamana naye, wakiandamana na kiongozi wa Kanisa la Orthodox, Partriarch Artholomew kwa hafla maalumu katika Medani ya Vatican. Akiongea katika hafla hiyo Papa alisema ujasiri na nguvu vinahitjika katika juhudi za kuleta amani. "Kuleta amani kunahitji ujasiri mkubwa kuliko vita. Kunahitaji ujasiri wa kusema ndio kwa mkutano na La kwa vita; ndio kwa mashauriano na La kwa makabiliano; ndio kwa kuheshimu mikataba na La kwa uchokozi; Ndio kwa ukweli na La kwa Uongo; kwa haya yote tunahitaji ujasiri na nguvu moyoni," Papa alisema Na katika hotuba yake Bwana Peres alisema alitakia vizazi vyote vijavyo amani ya kudumu: "Rafiki wapenzi, Nilikuwa mchanga, na sasa nimezeeka. Nilishuhudia vita, Nilionja amani. Sitawahi kusahau familia zilizofiwa, wazazi na watoto waliolipia gharama kubwa kwa vita hivyo. Na maisha yangu yote sitakoma kuitisha amani, kwa niaba ya vizazi vijavyo. Naomba sisi sote tuungane mikono na kufurahi kwa sababu ni wajibu wetu kufanya hivyo kwa niaba ya watoto wetu. Na kwa upande wake Bwana Abbas aliombea amani katika mkutano huo," alisema Peres. Naye kiongozi wa Palestina, Mahmoud Abbas, aliomba kwenye hafula hiyo. "Ee Bwana, tuletee amani ya kudumu na ya haki katika taifa letu na eneo letu, kwa ujumla, ili watu wetu na watu wote wa Mashariki ya Kati na Dunia nzima ifurahie matunda ya amani, utangamano na kuishi kwa pamoja kwa upendo. Baada ya sherehe hiyo, iliyoshirikisha maombi ya Kikristo, Kiyahudi na Kiislamu, waliokuwepo walisalimiana kwa mikono na kupanda Mzaituni katika Medani ya Vatican kama ishara ya amani. Papa ametangaza hadharani kuwa hataki kuingilia moja kwa moja mashauriano ya amani ya Mashariki ya kati, yaliyoporomoka Aprili lakini akasema kuwa anatarajia kwamba mkutano katika Vatican utapunguza uahasama kati ya pande hizo mbili kinzani za Mashariki ya Kati.

ETI LLULU NA NANDO WA BIG BROTHER NI WAPENZII

Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu. Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini. Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili lilimtafuta Nando ambaye mwanzoni alifanya kama utani akidai Lulu ni mwanamke anayefaa kuolewa (wife material) lakini alipoulizwa kwa msisitizo, alikana kuwa na uhusiano na mrembo huyo. “Lulu ni mkali, niko tayari kumuoa lakini sijamwambia, akikubali freshi nitamuoa. Kwa sasa ni mshikaji wangu tu na napenda kazi zake. Huwa ni mtu ambaye napenda kufuatilia ishu zake,” alisema Nando. Kwa upande wake Lulu alishtuka na kudai kuwa aulizwe huyohuyo Nando na si yeye kwani haoni sababu ya yeye kuulizwa. Alifunguka: “Hebu muulizeni Nando kama ni Lulu mimi au mwingine? Yeye akishatoa jibu sina la kusema.” Chanzo: UDAKU SPECIALLY

RAIS MTEULE WA MISRI EL-SISI AAPISHWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA

Abdel-Fattah al-Sisi ameapishwa kuwa rais mpya wa Misri katika seherehe iliyofanywa kwenye mahakama makuu ya katiba mjini Cairo. Baada ya kaapishwa, Rais Sisi alikwenda ikulu kwa ajili ya sherehe iliyohudhuriwa na viongozi kutoka nchi kadha. Kiongozi wa muda, Adly Mansour na Bwana al-Sisi walitia saini waraka wa kukabidhi madaraka kwake rais mpya - kwa mara ya kwanza katika historia ya Misri. Rais mpya alisema hilo ni tukio la kihistoria. Mkuu huyo wa zamani wa jeshi alishinda katika uchaguzi wa mwezi uliopita kwa asili-mia-97, ingawa upinzani ulisusia uchaguzi huo. Wafuasi wa Rais al-Sisi walisherehekea katika medani ya Tahrir mjini Cairo. Mfuasi mmoja wa al-Sisi, Fakhri Gamel Abdul Khaleq, alisema anatumai sherehe za leo ndio zitamaliza matatizo yaliyopita: "nampongeza Bwana rais anapoapishwa leo. Mungu ajaalie uwe mwaka wa furaha kwetu na kwa Wamisri wote. Na tunaomba Mungu atunusuru na yale yaliyotokea kabla, na tutakuwa watu wema. Mungu akipenda, kama alivosema rais, tutakuwa mfano mzuri wa ustaarabu".

QUOTES OF THE DAY JUNE 8, 2014

1. Friendship... is not something you learn in school. But if you haven't learned the meaning of friendship, you really haven't learned anything. - Muhammad Ali 2. Don't walk behind me; I may not lead. Don't walk in front of me; I may not follow. Just walk beside me and be my friend. - Albert Camus 3.Walking with a friend in the dark is better than walking alone in the light. - Helen Keller 4. One of the most beautiful qualities of true friendship is to understand and to be understood. - Lucius Annaeus Seneca 5. A friend is someone who gives you total freedom to be yourself. - Jim Morrison 6. Love is the only force capable of transforming an enemy into friend. - Martin Luther King, Jr. 7. Lots of people want to ride with you in the limo, but what you want is someone who will take the bus with you when the limo breaks down. - Oprah Winfrey 8. Let us be grateful to people who make us happy, they are the charming gardeners who make our souls blossom. - Marcel Proust 9. The greatest gift of life is friendship, and I have received it. - Hubert H. Humphrey 10. A single rose can be my garden... a single friend, my world. - Leo Buscaglia 11. Friendship is unnecessary, like philosophy, like art... It has no survival value; rather it is one of those things that give value to survival. - C. S. Lewis 12. A true friend freely, advises justly, assists readily, adventures boldly, takes all patiently, defends courageously, and continues a friend unchangeably. - William Penn 13. Friendship is a single soul dwelling in two bodies. - Aristotle 14. The friend who can be silent with us in a moment of despair or confusion, who can stay with us in an hour of grief and bereavement, who can tolerate not knowing... not healing, not curing... that is a friend who cares. - Henri Nouwen 15. Friends and good manners will carry you where money won't go. - Margaret Walker

RAIS MTEULE WA MISRI EL SISI ATAAPISHWA LEO HII

Usalama umeimarishwa katika mji mkuu wa Misri ,Cairo kabla ya kufanyika kwa sherehe ya kumuapisha rasmi rais mpya wa taifa hilo Abdel Fatah el Sisi. Rais huyo mteule atakula kiapo chake cha kuchukua mamlaka katika mahakama kuu ya kikatiba mjini Cairo. Alishinda uchaguzi wa urais wa mwezi uliopita kwa wingi wa kura ijapokuwa idadi ya waliojitokeza kushiriki katika shughuli hiyo ilikuwa chini ya asilimia 50. Uchaguzi huo unajiri miezi michache tu baada ya kiongozi huyo kumpindua madarakani aliyekuwa rais wa taifa hilo Mohammed Morsi. Mkuu huyo wa jeshi wa zamani ameanzisha msako dhidi ya wanaompinga mbali na kukipiga marufuku chama cha Morsi cha Muslim Brotherhood. Chanzo: BBC

MSIBA: MZEE SMALL AFARIKI DUNIA



Muigizaji mkongwe hapa nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku wa leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Akithibitisha taarifa ya kifo cha Mzee Small, mwanae aitwae Mahmoud amesema mzee wake amefikwa na mauti hayo majira ya saa nne usiku wakati akiwa hospitalini hapo akiendelea kupatiwa matibabu. Mipango inafanyika nyumbani kwao Tabata na kadri taarifa zitakavyokuwa zikitufikia tutaendelea kujulishana. Ni pigo lingine tena kwenye tasnia ya sanaa baada ya kuondokewa na wasanii na kadhaa majuma yaliyopita.

CHANZO: KAJUNASON BLOG