Diamond na Zari wameendelea na starehe zao huko Mombasa Kenya huku team ya WCB ikitia mguu pia mahali hapo; Harmonize na Sallam walihusika pia. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika mapumziko hayo.
 |
Hapa Zari aliamua kumtania shemeji yake Harmonize. |
 |
mkubwa Simba na Zari katika starehe zao |
 |
Harmonize alipata nafasi ya kusema chochote BClub |
 |
Katika picha hii Diamond kaandika caption ya kiingereza ambayo Kiwashili chake ni "namwambia Harmonize kwamba wenye chuki wote hawana maana. Tuna uwezo na ni matarijiri" |
 |
Unamuona Zari anavyozidi kupendeza kama ndo kwanza ana miaka 12 |
 |
Kila mtu apambane na mahusiano yake tu. |
 |
Huu mkao sasa Zari alivyomtegea Mond afu anajifanya kama hana habari yuko busy na simu |
 |
Sallam alihusika pia B Club |
 |
Wanapendeza hawa wapendanao |
 |
unamuona Zari? |
KWA PICHA, MATUKIO, HABARI NA MAELEZO KAMA HAYA NA MENGINE MENGI USISITE KUTEMBELEA VENANCE BLOG:
Facebook: VENANCE BLOG
Twitter: @Venancetz
Instagram: @venanceblog
email: venancegilbert@gmail.com
0 comments:
Post a Comment