Zikiwa zimesalia siku takribani 143 kuelekea michuano ya kombe la Dunia la FIFA nchini Uursi mwezi Juni, FIFA imesema tayari kumekuwa na uhitaji wa tiketi za michuano hiyo kwa mashabiki walioko nchini Urusi na wale walioko nje ya Urusi.
Takribani tiketi 3,141,163
mpaka kufikia tarehe 31 Desemba mwaka jana zilikuwa tayari zimeombwa na msahabiki kwa nia ya mtandao. Mashabiki wote wa mpira wa miguu wenye uhakika wa kuhurhuria michuano hiyo nchini Uurusi, wanaweza kupata tiketi kwa kutembelea tovuti ya FIFA, FIFA.com/tickets.
Mpaka kufikia sasa, mashabiki wa mpira walioweka oda ya tiketi wanatokea nchi za Uursi, Ujerumani, Ajentina, Mexico, Brazil, Peru, Colombia, Marekani, Hisipania, Poland, na China. Nchi hizi nyingine tofauti na Urusi zinatengeneza jumla ya asilimia 38 ya waombaji wa tiketi hizi za FIFA kimataifa huku asilimia iliyosalia 62 ni raia wa nchinI Urusi. Mashabiki wanaweza kununua tiketi kwa mechi zote isipokua mechi ya ufunguzi na finali

Aidha FIFA imesema kuwa kuna tiketi kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa viungo vya mwili na wanaweza kuweka oda ya tiketi hzo kwa kubofya hapa.
Njia za Kufanya Malipo ya Tiketi
Tiketi zinaweza kulipiwa kwa njia ya mtandao kupitia kadi za malipo za Visa ama Visa Checkout. Visa ni mshirika rasmi wa FIFA katika michuano hii ya Kombe la Dunia. Kufahamu namna ya kulipia kwa njia nyingine, bofya hapa.

VITAMBULISHO VYA MASHABIKI
Serikali ya Urusi imeomba mashabiki wawe na kadi maalumu za utambulisho wao wa ushabiki kwa wote watakaohudhuria michuano ya Kombe la Dunia kwa mwaka huu nchini humo. Vitambulisho hivyo vitatolewa bure. Mashabiki wanakumbushwa kuomba vitambulisho hivyo kwa utaratibu utakaotolewa mara baada ya kupokea barua pepe za uthibitisho wa manunuzi ya tiketi. Vitambulisho hivi vitatumika wakati wa kuingia viwanjani pamoja na tiketi za mechi. Matumizi ya kitambulisho hiki yatampa shabiki ofa mbalimbali zitakazotolewa nchini Urusi ikiwemo kusafiri bure kwa usafiri wa umma nchini humo kwa siku za mechi. Kufahamu namna ya kupata kitambulisho hicho bofya www.fan-id.ru.

FIFA inakumbusha kuwa haihusiani na utolewaji na matumizi ya vitambulisho hivi kwa namna yoyote ile.

Ndege waliokuwa wanaimba vizuri zaidi yani sauti zao zinavutia wamekuwa wakikamatwa kwenye misitu huko Indonesia na kuuzwa. Hali hii inahatarisha uwepo wa viumbe hawa. Makala hii iliandikwa na Victoria Gill.
Oktoba 15, 1987 kituo cha hali ya hewa cha nchini Uingereza kupitia BBC kilikanusha taarifa za kuwepo kwa kimbunga hatari cha Hurricane ambacho kingeikumba Uingereza. Usiku ule, nchi ilikumbwa na upepo mkali uliosababisha watu 18 kufariki. Katika kumbukumbu ya miaka 30 ya tukio hilo David Shukman aliangalia ni kwa namna gani teknolojia ingeweza kubadilisha utabiri wa hali ya hewa.
Huwezi kuamini katika fikra zako kwamba kuna viumbe hatari sana ambao bado wanaishi mpaka sasa. Dr. Ronald anasoma kwa karibu tabia za viumbe anaoishi nao hasa wale wenye sumu za hatari kwa maisha ya binadamu. Hii ni makala iliyoandikwa na Jonathan Amos.