Posts

LIST OF APPLICANTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF DODOMA: SECOND ROUND 2017/2018

Image
Chuo Kikuu cha Dodoma kimetoa majina ya waliochaguliwa awamu ya pili. Kusoma majina bofya  HAPA

LIST OF APPLICANTS SELECTED TO JOIN DUCE AND MUCE: SECOND ROUND 2017/2018

Image
Herer is list of students selected to join Mkwawa University College of Education (MUCE) and the Dar es Salaam University College of Education (DUCE) For DUCE click  HERE For MUCE click  HERE

LIST OF APPLICANTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM: SECOND ROUND 2017/2018

Image
Here is a list of applicants selected to join the University of Dar es salaam at Julius Kambarage Nyerere Mlimani Campus. To access the names click  HERE

LIST OF APPLICANTS SELECTED TO JOIN MZUMBE UNIVERSITY: SECOND ROUND 2017/2018

Image
Here is a list of applicants selected to join Mzumbe University in the second round. Access the names by clicking  HERE

KUTOKA TCU: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI AWAMU YA TATU

Image
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa Awamu ya Pili ya Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tarehe 10 Oktoba 2017. Kutokana na waombaji wengi kutochaguliwa kwa sababu mbali mbali, Tume inatangaza kuwa itafungua maombi kwa Awamu ya Tatu kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba 2017. Tume inapenda kusisitiza yafuatayo: a) Awamu hii itawahusu waombaji waliokosa nafasi kwenye Awamu ya Kwanza na ya Pili kutokana na ushindani au kukosa sifa katika programu walizoomba; b) Waombaji waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja; wanatakiwa kuamua mara moja kwa kuchagua chuo kimoja tu na hatimaye kukiarifu chuo husika; c) Awamu hii haitawahusu waombaji wapya (ambao hawajawahi kutuma maombi katika awamu mbili zilizopita); d) Waombaji ambao hawatathibitisha uchaguzi wao au kujithibitisha zaidi ya chuo kimoja hawatatambuliwa na Tume katika udahili wa mwaka 2017/18 e) Waombaji ku...

KUTOKA TCU: NAFASI ZA MASOMO (SCHOLARSHIP) NCHINI KOREA 2018-2023

Image
Serikali ya Korea imetoa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Tanzania wenye vigezo. Maelezo zaidi bofya  HAPA

TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 12.10.2017

Image
Viunganis Image caption Phillipe Coutinho Afisa mkuu mtendaji wa klabu ya Bercelona Oscar Grau anasema kuwa klabu hiyo itajaribu tena kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 25, wakati dirisha la uhamisho litakapofunguliwa mwezi Januari. (Guardian) Liverpool itaendelea kukataa kuingia katika makubaliano ya kumuuza Coutinho Barcelona (Independent) Vilevile , Liverpool imekubali kumkubali Coutinho kuelekea Nou Camp mnmao mwezi Januari katika makubaliano yenye thamani ya £98.6m. (Mundo Deportivo via Daily Mail) Image caption Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho Meneja Jose Mourinho yuko tayari kutia saini kandarasi ya miaka mitano na klabu ya Manchester United itakayokuwa na thamani ya £65m (Sun) Mchezaji wa Manchester United Juan Mata, 29, amekataa fursa ya kuhamia katika ligi ya China(Daily Mirror) Kiungo wa kati wa Uingereza Jack Wilshere, 25, anaaminika kutaka kuondoka Arsenal mwezi Januari ili kuimarisha uwezo wake wa kujumuishwa...

ANGALIA TRELA ZA MUVI HIZI (AMERICAN SATAN & RITUAL) ZINAZOTOKA OKTOBA 13

Image
Jina la muvi: American Satan Nchi: Marekani Mahali: Los Angels, California Muongozaji (Director): Ash Avildson Waandishi: Ash Avildson & Matty Beckerman Baadhi ya Waigizaji: Denise Richards, Booboo Stewart, Malcom McDowell, Tori Black, Patrick Muldoon, Mark Boone Junior, John Bradley, Drake Bell, Sebastian Bach, Bill Goldberg, Olivia Culpo, Bill Duke, Casey Deidrick na Jamie Bernadette na wengineo. Trela ya muvi hii hapa chini: Jina la muvi: Ritual Nchi: Uingereza Lugha: Kiingereza Muongozaji: David Bruckner Waandishi: Joe Barton & Adam Nevill Waigizaji: Robert James-Collier, Rafe Spall, Arsher Ali, Sam Troughton, Maria Erwolter, Paul Reid, Kerri McLean, Jacob James Beswick ma Fransesca Mula. Trela ipo hapa chini:

FROM MZUMBE UNIVERSITY: NOTICE TO SECOND ROUND APPLICANTS 2017/2018

Image
Mzumbe University wishes to inform all applicants that the call for second round of application is meant for those who did not apply or complete the application process during the first round. For candidates whose applications were not successful in the first round of selection are  ADVISED  not to make a new application because the University has their details in the MU database. However, they should  REGISTER  their concerns by sending short text message (SMS) to only one of the following numbers:  0767086469 ,  0785164074 ,  0710805711  or  0629130221 . In the SMS, please write your correct names as they appear in your form four certificates, your form Four index number (for all sittings) and express your interest to be considered in the second selection and the readiness to study in any of our campuses (Morogoro or Mbeya) If you have already contacted one of our University admission officials, kindly note that your concern has alrea...

LIST OF APPLICANTS WITH MULTIPLE ADMISSION AND THOSE SELECTED TO JOIN TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) 2017/2018

Image
Here is a list of applicants selected to join the Tanzania Institute of Accountancy for both with multiple admissions and those selected directly. To see the list from the Institute Web click  HERE If you want a PDF click  HERE  and download from Google Drive.

KUTOKA TCU: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI AWAMU YA KWANZA 2017/2018

Image
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI 2017/2018 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia umma kuwa Awamu ya Kwanza ya kudahili wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ilimalizika tarehe 30 Agosti 2017. Katika awamu hiyo, kama ilivyoelezwa katika tangazo la Tume la tarehe 20 Julai 2017 wanafunzi watarajiwa walituma maombi yao moja kwa moja kwenye vyuo hapa nchini. Vyuo vilichakata maombi hayo na hatimaye kuyawasilisha Tume kwa ajili ya uhakiki.Tume inapenda kuuarifu umma kuwa imekamilisha zoezi la uhakiki wa majina ya waombaji wote walioomba kujiunga na Vyuo vya Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo wa 2017/18. Matokeo ya uhakiki ni kama ifuatavyo:a) Jumla ya idadi ya majina yaliyowasilishwa toka vyuoni yalikuwa 180,640 (wanaume 109,399, wanawake 71,241). Hata hivyo majina haya yalikuwa na kasoro kadhaa kama vile kujirudia. Tume iliyahakiki na kubakisha majina 77,...

LIST OF UNDERGRADUATE APPLICANTS WITH MULTIPLE ADMISSION AND THOSE SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF DODOMA 2017/2018

Image
CATEGORY A: SELECTED APPLICANTS WITH MULTIPLE ADMISSIONS Confirm through SMS using the following numbers: 0710-500-836/0710-495-222. The confirmation should indicate your name, programme and f4 index number. Deadline for confirmation is Sunday 8 th October 2017. List of Applicants with multiple admission: CLICK HERE CATEGORY B: SELECTED APPLICANTS WITHOUT MULTIPLE ADMISSIONS Report at the University on 28/10/2017 and participate in a compulsory orientation programme to start on 30 th  Monday 2017. Admission letters and other instructions will be available in the accounts used during the online applications. List of selected applicants:   CLICK HERE

LIST OF UNDERGRADUATE APPLICANTS SELECTED TO JOIN MZUMBE UNIVERSITY 2017/2018

Image
Some applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year at Mzumbe University, but have also been selected by other Universities. The candidates are requested to confirm that they will join Mzumbe University by clicking to Admission Confirmation Form and fill the required information not later than 7th October 2017. Failure to confirm by the stipulated date will lead to cancellation of your admission at Mzumbe University. To access their names,  CLICK HERE This is to inform you that some applicants applied to join Mzumbe University and were recommended for admission into various degree programmes for the 2017/2018 academic year. Due to under listed problems i.e Missing AVN number, Names mismatching with their index  numbers or previously admitted They are required to contact Admission Support Team using the telephone numbers  0767086469, 0785164074, 0629130221 and 0710805711 so that their problems can be resolved. ...

LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN SAUT 2017/2017

Image
St. Augustine University of Tanzania, kindly welcome you to view the list of students selected to join for the academic year 2017/2018 and those with multiple admission. FOR APPLICANTS SELECTED DIRECTLY  CLICK HERE APPLICANTS WITH MULTIPLE ADMISSION  CLICK HERE YOU CAN ALSO ACCESS THE JOINING INSTRUCTION BY  CLICKING HERE

LIST OF APPLICANTS SELECTED TO JOIN THE NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) 2017/2018

Image
The National Institute of Transport has announced the names of students selected for the academic year 2017/2018. Access the names by clicking  HERE