Afisa mkuu mtendaji wa klabu ya Bercelona Oscar Grau anasema kuwa klabu hiyo itajaribu tena kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 25, wakati dirisha la uhamisho litakapofunguliwa mwezi Januari. (Guardian)
Liverpool itaendelea kukataa kuingia katika makubaliano ya kumuuza Coutinho Barcelona (Independent)
Vilevile , Liverpool imekubali kumkubali Coutinho kuelekea Nou Camp mnmao mwezi Januari katika makubaliano yenye thamani ya £98.6m. (Mundo Deportivo via Daily Mail)
Image captionMkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho
Meneja Jose Mourinho yuko tayari kutia saini kandarasi ya miaka mitano na klabu ya Manchester United itakayokuwa na thamani ya £65m (Sun)
Mchezaji wa Manchester United Juan Mata, 29, amekataa fursa ya kuhamia katika ligi ya China(Daily Mirror)
Kiungo wa kati wa Uingereza Jack Wilshere, 25, anaaminika kutaka kuondoka Arsenal mwezi Januari ili kuimarisha uwezo wake wa kujumuishwa katika kikosi cha kombe la dunia cha kocha Gareth Southgate (Mirror)
Image captionBeki wa kulia wa PSG Dani Alves
Beki wa kulia wa Paris St-Germain Dani Alves amesema kuwa itakuwa bora iwapo klabu yake itamsajili mshambuliaji Alexis Sanchez , 28, ambaye kandarasi yake Arsenal inakamilika mwisho wa msimu huu. (Cooperativa - in Spanish)
Mazungumzo ya kuuongeza mkataba wa Mesut Ozil Arsenal yanaendelea kwa njia nzuri kulingana na ajenti wa kiungo huyo wa kati wa Ujerumani. (Independent)
Mkufunzi wa Crystal Palace Roy Hodgson anawalenga wachezaji wa ligi ya Premia wenye uzoefu mwezi Januari huku akijaribu kuinusuru klabu hiyo kushushwa daraja. (Daily Mail)
Image captionTownsend
Palace Itapinga ombi lolote jipya kutoka Leicester kumunua mchezaji mwenye umri wa 26, Andros Townsend. (Independent)
Palace huenda inajiandaa kumuuza mchezaji wa Uingereza Townsend kwa Leicester ili kuisaidia katika ununuzi wa mshambuliaji bora.(Sun)
Bristol City ni miongoni mwa timu nne za Uingereza zinazomsaka winga wa MotherwellAdam Livingstone. (Motherwell Times)
Image captionN'Golo Kante
Chelsea wanahofia kiungo wa kati wa Ufaransa N'Golo Kante, 26, huenda akakosa kushiriki katika mechi zote sita za mwezi Oktoba kutokana na jeraha la nyuma ya goti.(Telegraph)
Burnley, Newcastle United na West Brom wanataka kumsajili beki wa Intermilan Yuto Nagamoto(talksport)
Manchester City inakamilisha kipindi cha msururu na Amazon licha ya pingamizi kutoka kwa ligi ya Uingereza yenye haki (Daily Mail)
Kipa wa zamani wa Liverpool na Wigan Athletic Chris Kirkland amezungumza kuhusu makabiliano yake na ugonjwa wa shinikizo la kiakili akisema kuwa ugonjwa huo ulimshinikiza kustaafu. (Guardian)
Tottenham wanatarajiwa kuvunja rekodi ya miaka 10 kushiriki katika ligi ya Uingereza wakati watakapowakaribisha nyumbani Bournemouth katika uwanja wa Wembley siku ya Jumamosi. (Daily Mail)
Image captionJermain Defoe
Mshambuliaji wa Bournemouth Jermain Defoe anasema kuwa ni ndoto yake kushiriki katika kikosi cha kombe la dunia nchini Urusi mwaka ujao. (Sky Sports)
Mshambuliaji wa Leicester Ahmed Musa amefungua kituo cha kuuza mafuta nchini Nigeria. (Daily Mail)
Waandishi wa Brazil wamezitaja klabu za Arsenal, Manchester City na Chelsea kuwa miongoni mwa klabu zinazotoa chakula kizuri kwa wanahabari katika taifa ambalo chakula chake sio kizuri sana duniani.. (UOL - in Portuguese)
Image captionRadamel falcao
Mshambuliaji wa Colombia Radamel Falcao na kiungo wa kati wa Peru Renato Tapia wamekiri kwamba sare itazisaidia timu zote mbili katika awamu ya mwisho ya mechi za kufuzu kwa kombe la dunia siku ya Jumanne usiku. (Telegraph)
Mshambuliaji wa Nice Mario Balotelli amepakua kanda yake ya video akiwa na rafikiye wakiendesha pikipiki.(Instagram)
Jina la muvi: American Satan
Nchi: Marekani
Mahali: Los Angels, California
Muongozaji (Director): Ash Avildson
Waandishi: Ash Avildson & Matty Beckerman
Baadhi ya Waigizaji: Denise Richards, Booboo Stewart, Malcom McDowell, Tori Black, Patrick Muldoon, Mark Boone Junior, John Bradley, Drake Bell, Sebastian Bach, Bill Goldberg, Olivia Culpo, Bill Duke, Casey Deidrick na Jamie Bernadette na wengineo.
Trela ya muvi hii hapa chini:
Jina la muvi: Ritual
Nchi: Uingereza
Lugha: Kiingereza
Muongozaji: David Bruckner
Waandishi: Joe Barton & Adam Nevill
Waigizaji: Robert James-Collier, Rafe Spall, Arsher Ali, Sam Troughton, Maria Erwolter, Paul Reid, Kerri McLean, Jacob James Beswick ma Fransesca Mula. Trela ipo hapa chini:
Mzumbe University wishes to inform all applicants that the call for second round of application is meant for those who did not apply or complete the application process during the first round. For candidates whose applications were not successful in the first round of selection are ADVISED not to make a new application because the University has their details in the MU database. However, they should REGISTER their concerns by sending short text message (SMS) to only one of the following numbers: 0767086469, 0785164074, 0710805711 or 0629130221. In the SMS, please write your correct names as they appear in your form four certificates, your form Four index number (for all sittings) and express your interest to be considered in the second selection and the readiness to study in any of our campuses (Morogoro or Mbeya)
If you have already contacted one of our University admission officials, kindly note that your concern has already been received and the University is working on it.
The deadline for this exercise is on Tuesday 10th October, 2017.
ISSUED BY THE OFFICE OF DEPUTY VICE CHANCELLOR (ACADEMIC)
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia umma kuwa Awamu ya Kwanza ya kudahili wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ilimalizika tarehe 30 Agosti 2017. Katika awamu hiyo, kama ilivyoelezwa katika tangazo la Tume la tarehe 20 Julai 2017 wanafunzi watarajiwa walituma maombi yao moja kwa moja kwenye vyuo hapa nchini. Vyuo vilichakata maombi hayo na hatimaye kuyawasilisha Tume kwa ajili ya uhakiki.Tume inapenda kuuarifu umma kuwa imekamilisha zoezi la uhakiki wa majina ya waombaji wote walioomba kujiunga na Vyuo vya Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo wa 2017/18. Matokeo ya uhakiki ni kama ifuatavyo:a) Jumla ya idadi ya majina yaliyowasilishwa toka vyuoni yalikuwa 180,640 (wanaume 109,399, wanawake 71,241). Hata hivyo majina haya yalikuwa na kasoro kadhaa kama vile kujirudia. Tume iliyahakiki na kubakisha majina 77,756 (wanaume 47,501 wanawake 30,255) ambayo ni jumla ya maombi yote.b) Jumla ya wanafunzi ambao wamechaguliwa na vyuo (kati ya waombaji 77,756) ni 44,627 (wanaume 27,116 wanawake 17,511).
Hiyo ni sawa na asilimia 57.4 ya waombaji wote. Waombaji 33,129
waliosalia (42.6%) hawakuchakuguliwa na vyuo kutokana na
ushindani au kukosa sifa katika programu walizoomba.
c) Katika waombaji 44,627 ambao wamechaguliwa na vyuo, Tume
imejiridhisha kuwa waombaji 20,247 (45.4%) wanaweza kujiunga na
vyuo walivyoomba moja kwa moja (wanaume 12,396 wanawake
Some applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year at Mzumbe University, but have also been selected by other Universities. The candidates are requested to confirm that they will join Mzumbe University by clicking to Admission Confirmation Form and fill the required information not later than 7th October 2017. Failure to confirm by the stipulated date will lead to cancellation of your admission at Mzumbe University.
This is to inform you that some applicants applied to join Mzumbe University and were recommended for admission into various degree programmes for the 2017/2018 academic year. Due to under listed problems i.e Missing AVN number, Names mismatching with their index numbers or previously admitted
They are required to contact Admission Support Team using the telephone numbers 0767086469, 0785164074, 0629130221 and 0710805711 so that their problems can be resolved.
If your admission is named mismatch, kindly send your full names as they appear in form four certificate and the correct form four index number (SXXX/XXX/YEAR) to any of the numbers 0767086469,0785164074,0629130221 or
If your admission status is “Currently continuing student” Kindly send the evidence of discontinuation or deregistration from the university which you were previously admitted to admission@mzumbe.ac.tz. Kindly mention your index number in the stipulated format in the email.
If you are a diploma applicant kindly check the correctness of AVN number and send the same in the given email address
The candidates list attached below have been selected to join various undergraduate programmes at Mzumbe University (MU) in the academic year 2017/2018. Selected candidates are required to download an admission letter and invoice at http://aris.mzumbe.ac.tz:8080 by logging-in using the Form Four index number (Sxxx/xxx/year) as Username and your surname in small letters as Password. After logging-in, candidates will be able to download and print invoice for payments, admission letters and joining instructions and various forms necessary for registration.
St. Augustine University of Tanzania, kindly welcome you to view the list of students selected to join for the academic year 2017/2018 and those with multiple admission.