Posts

MOTIVATIONAL QUOTES OF THE DAY MAY 21, 2018

Image
Hello, how are you? Today I have gathered 25 motivational quotes of the day for you. These few quotes can make you change from one step to another. Trust me, they will motivate you in one way or another, if not all, few of them will make you feel someone from today. Invite you now to take time to read and if you want to recommend other topics you want to read from this Blog write to me through the contacts after these quotes, enjoy: Only I can change my life. No one can do it for me. ~Carol Burnett. Good, better, best. Never let it rest. 'Til your good is better and your better is best. ~St. Jerome. Optimism is the faith that leads to achievement. Nothing can be done without hope and confidence. ~Helen Keller. With the new day comes new strength and new thoughts. ~Eleanor Roosevelt. Life is 10% what happens to you and 90% how you react to it. ~Charles R. Swindoll. Failure will never overtake me if my determination to succeed is strong enough. ~Og Mandino...

PICHA ZA NDOA YA KIFALME PRINCE HARRY & MEGHAN MARKLE

Image
Umati wa watu uliofurika kushuhudia harusi hiyo. Maua yaliyopambwa kwenye kanisa la Kasri ya Windsor katika kanisa la Mt. George. Usharika wa Mt. George uliokusanyika kanisani hapo. Princess Eugine, Prince Andrew na Princess Beatrice walipowasili harusini. Meghan Markle wakiwa kwenye gari kutoka Clevedon kulekea kasri ya Windsor. Prince Haary akiwa na msaidizi wake harusini jana Duke wa Cambridge. Prince Harry akipunga mkono kusalimia umati uliohudhuria harusi hiyo. Jeshi pia lilikuwepo katika harusi hiyo. Gari la bibi Harusi lilipowasili kanisania kwa ajili ya kufunga ndoa. Bibi harusi na mama yake wakiwapungia mkono umati ukiokusanyika harusini hapo. Prince Harry na Prince William wakisalimiana na watu waliofika harusini Malkia Elizabeti akishuka kwenye gari alipowasili harusini. Malkia Elizabeti katika vazi lake la kiutamaduni wa Uingereza akielekea kanisani kushuhudia harusi. Meghan Marke ndani ya shela iliyobuniwa na mwanam...

HISTORIA YA KOMBE LA DUNIA TANGU 1930, WAANDAAJI & WASHINDI

Image
KUANZISHWA KWA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA Mafanikio ya michuano ya mpira wa miguu ya Olimpiki ndiyo yalikua mwanzo wa  FIFA kutamani kuwa na michuano yake ya Kombe la Dunia kwa mchezo wa mpira wa miguu. Ikumbukwe kwamba kipindi hicho mpira wa miguu wa wanaume pekee ndiyo ulikuwepo. Maswali yalitumwa kwa wahisani wa FIFA ili kuona kama wanakubaliana na uanzishwaji wa michuano hiyo na kwa masharti yapi? Kamati maalumu ilichunguza maswali hayo chini ya uongozi wa  Rais wa FIFA wa kipindi hicho Jules Rimet akishirikiana na Katibu wa Shirikisho la Soka nchini Ufaransa kwa wakati ule Henri Delaunay. Rais wa FIFA Jules Rimet aliyeanzisha na kusimamia Kombe la Dunia la kwanza . Kufuatia uwepo wa muswada wa Kamati Tendaji ya FIFA, lilifanyika kongamano la FIFA Mei 28, 1928 jijini Amsterdam nchini Uholanzi likiazimia kuwepo kwa michuano ya mabingwa wa soka duniani ambayo ilipangwa na shirikisho hilo la mpira duniani na sasa nchi waandaji wa michuano hiyo zilitakiwa ...