Posts

JENIFER LOPEZ NDANI YA BIKINI

Image
Mwanamuziki Jennifer Lopez Ameshare Picha Kwenye Instagram Profile yake Ambayo Inamuonyesha Akiwa Ndani ya Bikini akiwa na Umri wa Miaka 45 Sasa...

CHINA YATOA DOLA BILIONI 85 KUPAMBANA NA EBOLA KATIKA NCHI TATU ZA AFRIKA

Image
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imetangaza kuwa, kwa mara ya nne katika kipindi kifupi inapeleka msaada wa dawa, vifaa na mahitaji mengine ya tiba yenye thamani ya dola za Marekani milioni 85 kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa nchi tatu za Afrika Magharibi, ambazo zinapambana na ugonjwa huo, ambao mpaka sasa umeua zaidi ya watu 4,000. Aidha, China imetangaza kuwa itajenga kituo kikubwa cha afya na tiba katika nchi ya Liberia, kama sehemu ya kukabiliana na ugonjwa huo. Msaada huo mwingine wa China umetangazwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, XI Jinping katika mazungumzo yake rasmi na Rais Jakaya Kikwete. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika kwenye The Great Hall of the People mjini Beijing, ikiwa ni sehemu ya ziara rasmi ya Rais Kikwete, Rais Jinping alisema: “Hali katika Afrika sasa ni ya utulivu lakini yapo matishio ya mara kwa mara mengine ya ndani ya Afrika na mengine ya nje na mojawapo ya matishio hayo ni ugonjwa wa ebola.” Aliongeza Rais Jinping: “Mpaka sasa, ...

ANCELOTTI: SIPENDEZWI NA UHUSIANO WA MORINHOU KWA RONALDO

Image
The Real Madrid boss insists that he does not know, or care, whether the former Blancos manager and the Portugal international have an off-field friendship or not Real Madrid coach Carlo Ancelotti says he is not interested in Jose Mourinho's relationship with Cristiano Ronaldo. The Portuguese manager, who previously bossed Madrid but is now in charge at Premier League giants Chelsea, revealed on Thursday that he and Ronaldo do not keep in touch following the 51-year-old's departure from the Spanish capital in the summer of 2013. But Ancelotti says the matter is not one that concerns him. "Mourinho is a great coach who can coach anywhere," the 55-year-old said. "I don't know what his relationship with Cristiano is like, nor am I interested. It is a personal relationship and has nothing to do with Real Madrid. "I don't know if Mourinho wants to [ever] come back [to Madrid]," he added. The Italian trainer also discussed criticism o...

VAN GAAL: MADRID HAWATOMUUZA RONALDO

Image
The Dutchman admits he would welcome the arrival of the Portugal international but believes the European champions would not be prepared to sell the player Louis van Gaal admits Manchester United would explore the possibility of signing Cristiano Ronaldo but insists it is unlikely that Real Madrid will sell the forward. Reports have suggested that the Portugal international, who signed a five-year contract extension with Madrid last September, will push for a move back to Old Trafford at the end of the season. But while the United boss maintains his side would be strengthened by the return of Ronaldo, he believes the European champions are not prepared to allow the 29-year-old to leave. “It’s always a discussion in the papers. I don’t think the media shall buy Ronaldo,” said Van Gaal. “When it is possible, it is what I have always said with Falcao, players like Ronaldo give a lot extra to selection, to the team, but I don't think Real Madrid shall sell him....

QUOTES OF THE DAY SEPTEMBER 19, 2014

Image
1. You cannot create experience. You must undergo it. Albert Camus 2. We are not human beings having a spiritual experience. We are spiritual beings having a human experience. Pierre Teilhard de Chardin 3. Human beings, who are almost unique in having the ability to learn from the experience of others, are also remarkable for their apparent disinclination to do so. Douglas Adams 4. Experience is the teacher of all things. Julius Caesar 5. People grow through experience if they meet life honestly and courageously. This is how character is built. Eleanor Roosevelt 6. Man learns through experience, and the spiritual path is full of different kinds of experiences. He will encounter many difficulties and obstacles, and they are the very experiences he needs to encourage and complete the cleansing process. Sai Baba 7. A mind that is stretched by a new experience can never go back to its old dimensions. Oliver Wendell Holmes, Jr. 8. If yo...

SCOTLAND HAITAJITENGA NA UINGEREZA, KURA YA HAPANA YAAMUA

Image
Scotland imefanya uamuzi wa mwisho kuwa itaendelea kubaki sehemu ya Uingereza , raia kwa pamoja wamekataa uhuru wa Scotland kujitenga kuwa taifa huru. Maeneo 31 kati ya 32 wamepiga kura ya HAPANA siku ya Alhamisi na kuongoza kwa kura 1,914,187 dhidi ya  kura 1,539,920. Ushindi huo ni asilimia 55 dhidi ya asilimia 45 waliokuwa wakiunga mkono hatua ya kujitenga. Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni. Chanzo: BBC

QUOTES OF THE DAY SEPTEMBER 16

Image
1. Happiness is like a kiss. You must share it to enjoy it. ~Bernard Meltzer 2. There is only one way to happiness and that is to cease worrying about things which are beyond the power of our will. ~Epictetus 3. Our greatest happiness does not depend on the condition of life in which chance has placed us, but is always the result of a good conscience, good health, occupation, and freedom in all just pursuits. ~Thomas Jefferson 4. Achievement of your happiness is the only moral purpose of your life, and that happiness, not pain or mindless self-indulgence, is the proof of your moral integrity, since it is the proof and the result of your loyalty to the achievement of your values. ~Ayn Rand 5. Try to make at least one person happy every day. If you cannot do a kind deed, speak a kind word. If you cannot speak a kind word, think a kind thought. Count up, if you can, the treasure of happiness that you would dispense in a week, in a year, in a lifetim...

KAMA BADO HUJAIONA VIDEO YA PROFESA J-KIPI SIJASIKIA, ICHEKI HAPA

Image
Imetengenezaewa na Adam Juma Next Level, kuna wasanii kibao humo ndani wa filam pamoja na bongo fleva kama vile Dude, P Funk Majani na wengineo huku Platnumz akifanya vizuri zaidi. Video hii hapa:

VIDEO: KANYE WEST NA HEADLINE YA KUTAKA WALIOHUDHURIA SHOW YAKE WASIMAME (HADI WALEMAVU) KIM KADARSHIAN AMTETEA

Image
Rapper Kanye West ametawala vichwa vingi vya habari weekend iliyopita baada ya tukio alilolifanya kwenye moja ya show za tour yake ya Australia. Katika show hiyo Kanye alisimamisha show na kuwataka watu wote wasimame ndio aendelee na show. “I can’t do this song, I can’t do the rest of the show until everybody stands up, Unless you got a handicap pass and you get special parking,” Kanye alisikika akiwaambia mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa Qantas Credit Union huko Sydney. Baada ya mashabiki wengine kusimama kama walivyoombwa na Kanye, watu wawili waliendelea kukaa na ndipo Kanye alipowaona na kuendelea kuwamtaka nao wasimame, mpaka alipokuja kugundua kuwa ni walemavu ndipo akasema ‘”If he’s in a wheelchair, then it’s fine,” na kisha kuendelea kutumbuiza wimbo mwingine. Kim Kardashian West ameibuka na kumtetea mume wake kwa kuvilaumu vyombo vya habari kuwa vimedanganya. Kim ameongeza kuwa Kanye hakumwambia mtu yeyote aliye kwenye ‘wheel chair’ asimame bali alich...

QUOTES OF THE DAY SEPTEMBER 15, 2014

Image
1. By failing to prepare, you are preparing to fail. ~Benjamin Franklin 2. Optimism is the faith that leads to achievement. Nothing can be done without hope and confidence. ~Helen Keller 3. I don't believe you have to be better than everybody else. I believe you have to be better than you ever thought you could be. ~Ken Venturi ⁴. A creative man is motivated by the desire to achieve, not by the desire to beat others. 5. The will to win, the desire to succeed, the urge to reach your full potential... these are the keys that will unlock the door to personal excellence. ~Confucius 6. One of the most beautiful qualities of true friendship is to understand and to be understood. ~Lucius Annaeus Seneca 7. Problems are not stop signs, they are guidelines. ~Robert H. Schuller 8. In order to succeed, we must first believe that we can. ~Nikos Kazantzakis 9. You have to learn the rules of the game. And then you have to play better tha...

3 IN ONE: PROFESA JAY KUZINDUA VIDEO MBILI NA WEBSITE YAKE KWA SIKU MOJA

Image
Msanii Profesa Jay hapo kesho anataraji kuachia video za nyimbo zake mbili KIPI SIJASIKIA na TATU CHAFU pamoja na uzinduzi wa tovuti yake ambayo kiungo chake ni www.profesajay.com. Ni katika ukumbi wa TEN LOUNGE zamani LETASI LOUNGE BUSINESS PARK VICTORIA jijini DSM ni kw kiingilio cha Tsh. 10,000/= kuanzia saa mbili usiku hapo kesho Jumamosi... Vyanzo: facebook, instagram na twitter accounts za Professor Jay VENANCE BLOG © September 2014

YANGA KUMKOSA COUTINHO KATIKA MCHEZO WA NGAO YA HISANI

Image
Coutinho aliumia katika mechi ya kirafiki kati ya timu yake na Polisi Dar es Salaam mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Loyola, unaotumiwa na Yanga kwa mazoezi TIMU ya Yanga huenda ikakosa huduma ya kiungo wake mshambuliaji wa kimataifa kutoka Brazili Andrew Coutinho,katika mchezo wa Ngao ya Jamii Jumapili wakati timu hiyo itakapokuwa inapambana na Azam FC,kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam Goal inafahamu. Coutinho ameumia kifundo cha mguu na taarifa za madaktari wa Yanga zinasema huenda Mbrazili huyo aliyejiunga Yanga kwa mkataba wa miaka miwili huenda akakaa nje kwa wiki mbili hadi tatu. Daktari wa Yanga Juma Sufiani,ameiambia Goal,bado wanaendelea kuangalia uwezekano wa kumtibu mchezaji huyo ili aweze kuichezea timu yake kwenye mchezo wa Jumapili kutokana na umuhimu wake ndani ya kikosi chao. Kuelekea mchezo huo Azam tayari wametangaza nahodha wake John Bocco,kutocheza mechi hiyo ya Jumapili kutokana na kuumia misuli kwenye mchezo wa robo fainali ya michuno ya Kombe la...

BOB JUNIOR AZUNGUMZIA COLLABO ZAKE NA BEN POL NA CHAMELEONE

Image
Bob Junior azungumzia collabo zake na Ben Pol na Jose ChameleoneBy Bongo5 Editor on September 12, 2014 (1 min ago) Rais wa Masharobaro nchini, Bob Junior amefanya collabo mbili tofauti na Ben Pol pamoja na msanii wa Uganda, Jose Chameleone. Akiongea na Bongo5, Bob Junior ambaye hivi karibuni aliachia kazi yake mpya iitwayo Bolingo, alidai kuwa lengo la kushirikisha wasanii hao ni kuja na muziki mpya ambao watu hawajazoea kutoka kwake. “Kuna project ya mimi na Chameleone ambayo inayoka mwezi wa 10 so bado sijajua kama itatangulia ya Ben Pol na mimi au ntatoa ngoma yangu mimi peke yangu au ya mimi na Chameleone,” alisema. Hivi karibuni muimbaji na mtayarishaji huyo wa muziki alisema kuwa amebadilisha jina la studio yake kutoka Sharobaro Records na kuwa Sharobaro Music na kwamba muziki atakaokuwa anatayarisha utakuwa na ladha tofauti.

VIFAA VYA KUWATAMBUA WENYE UGONJWA WA EBOLA VYAINGIZWA NCHINI

Serikali imeanza kuingiza nchini vifaa vya kuwabaini watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa homa kali ya ebola ambavyo vitawekwa kwenye viwanja vya ndege pamoja na baadhi ya maeneo ya mipakani. Jana Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe alikabidhi mashine nne za kuwapima abiria wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege bila kuwagusa. Vifaa hivyo vinabaini mtu kuwa na dalili za ebola kutokana na joto lake na abiria wanapimwa kwa kumulikwa machoni na kwenye masikio. Kwa kuanzia mashine hizo ambazo ni mfano wa kamera zitapelekwa kwenye viwanja vya ndege vya Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar na Dar es Salaam. Maeneo hayo kwa mujibu wa naibu waziri huyo ndiyo yanapokea wagonjwa wengi kutoka nje ya nchi. Dk Kebwe pia aliagiza shehena ya mashine zingine zitakazoingizwa nchini kuanzia leo zipelekwe kwenye viwanja vingine vya Mtwara, Kigoma na maeneo ya mipakani kuhakikisha kuwa kila abiria anayetoka nje ya nchi anapimwa dalili za ugonjwa huo hatari. Pia aliagiza wanadi...

EXCLUSIVE: JUX ASEMA VANESSA MDEE ANA SIFA ZA KUWA MKE

Jux amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Vanessa Mdee na kudai kuwa Vanessa ni mshikaji wake tu lakini amekiri kuwa muimbaji huyo wa ‘Come Over’ ana kila sifa ya kuwa mke. Jux ambaye hivi karibuni alionekana kuwa karibu na Vanessa amesema Vanessa ni mtu wake wa karibu anayefanya kazi naye. “No ni mshikhaji wangu tu, tunafanya naye kazi, kuna tabia zinaendana, kama ninavyokuwa na rafiki na Stamina, Mo Music ni kawaida, sema unajua ni mwanamke na ni njia toafuti ndio maana imekuwa hivyo,” alisema Jux. Alipoulizwa kama Vanessa anafaa kuwa wife material Jux alijibu Vanessa ana kila sifa ya kuwa mke. “Ni msichana mzuri, mwonekano wake mzuri, she is smart, yeah she is a wife material, yuko vizuri, lakini na mimi tumeendana sana tabia zetu kama washikaji. Sema nipo naye karibu na kwa sababu mimi sionekanagi na wasichana wengi ndio maana imekuwa hivyo. Lakini sijui labda baadaye kwa sasa hivi ni mapema, vyote anapanga Mungu,” alisisitiza Jux. CHANZO: BONGO5