TAKWIMU ZA MUDA WOTE ZA KOMBE LA DUNIA LA FIFA: TIMU, MECHI, KADI NA MAGOLI 1930-2022

TIMU, MECHI & IDADI YA MAGOLI

1. Mwaka 1930 jumla ya timu 13 zilicheza jumla ya mechi 18 na yalipatikana jumla ya magoli 70 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.9 katika kila mechi.

2. Mwaka 1934 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 17 na yalipatikana jumla ya magoli 70 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.9 katika kila mechi.

3. Mwaka 1938 jumla ya timu 15 zilicheza jumla ya mechi 18 na yalipatikana jumla ya magoli 84 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.7 katika kila mechi.

4. Mwaka 1950 jumla ya timu 13 zilicheza jumla ya mechi 22 na yalipatikana jumla ya magoli 88 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.0 katika kila mechi.


5. Mwaka 1954 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 26 na yalipatikana jumla ya magoli 140 hii ikiwa ni wastani wa magoli 5.4 katika kila mechi.

6. Mwaka 1958 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 35 na yalipatikana jumla ya magoli 126 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.6 katika kila mechi.


7. Mwaka 1962 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 32 na yalipatikana jumla ya magoli 89 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.8 katika kila mechi.

8. Mwaka 1966 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 32 na yalipatikana jumla ya magoli 89 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.8 katika kila mechi.

9. Mwaka 1970 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 32 na yalipatikana jumla ya magoli 95 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.0 katika kila mechi.

10. Mwaka 1974 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 38 na yalipatikana jumla ya magoli 97 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.6 katika kila mechi.

11. Mwaka 1978 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 38 na yalipatikana jumla ya magoli 102 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.

12. Mwaka 1982 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 146 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.8 katika kila mechi.

13. Mwaka 1986 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 132 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.5 katika kila mechi.

14. Mwaka 1990 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 115 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.2 katika kila mechi.

15. Mwaka 1994 jumla ya timu 24 zilicheza jumla ya mechi 52 na yalipatikana jumla ya magoli 141 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.


16. Mwaka 1998 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 171 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.

17. Mwaka 2002 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 161 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.5 katika kila mechi.

18. Mwaka 2006 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 147 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.3 katika kila mechi.

19. Mwaka 2010 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 145 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.3 katika kila mechi.

20. Mwaka 2014 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 171 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.

21. Mwaka 2018 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 169 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.6 katika kila mechi.

22. Mwaka 2022 jumla ya timu 32 zilicheza jumla ya mechi 64 na yalipatikana jumla ya magoli 172 hii ikiwa ni wastani wa magoli 2.7 katika kila mechi.

23. Mwaka 2026 jumla ya timu 48 zitashiriki michuano hii na kuweka rekodi ya kuwa michuano ya kwanza ya kuwa na timu 48.


TIMU ZILIZOSHIRIKI MARA NYINGI (HADI MARA 10)

1. Brazil inashikilia rekodi ya kucheza michuano yote 22 tangu kuanzishwa kwake (1930, 1934, 1938, 1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

2. Ujerumani imeshiriki mara 20 kati ya michuano yote 20 tangu kuanzishwa kwake (1934, 1938, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

3. Ajentina imeshiriki mara 18 (1930, 1934, 1958, 1962, 1966, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

4. Italia pia inafuatia kwa kucheza michuano 18 kati ya yote 22 (1934, 1938, 1950, 1954, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)

5. Mexico imeshiriki mara 17 (1930, 1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1978, 1986, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

6. Uingereza imeshiriki mara 16 (1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1982, 1986, 1990, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

7. Ufaransa imeshiriki mara 16 (1930, 1934, 1938, 1954, 1958, 1966, 1978, 1982, 1986, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

8. Hispania imeshiriki mara 16 (1934, 1950, 1962, 1966, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

9. Ubeligiji imeshiriki mara 14 (1930, 1934, 1938, 1954, 1970, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2014, 2018, 2022)

10. Urugwai imeshiriki mara 14 (1930, 1950, 1954, 1962, 1966, 1970, 1974, 1986, 1990, 2002, 2010, 2014, 2018, 2022)

11. Swideni imeshiriki mara 11 (1934, 1938, 1950, 1958, 1970, 1974, 1978, 1990, 1994, 2002, 2006, 2018)

12. Serbia imeshiriki mara 13 (1930, 1950, 1954, 1958, 1962, 1974, 1982, 1990, 1998, 2006, 2010, 2018, 2022)

13. Uholanzi imeshiriki mara 11 (1934, 1938, 1974, 1978, 1990, 1994, 1998, 2006, 2010, 2014, 2022)

14. Urusi imeshiriki mara 10 (1958, 1962, 1966, 1970, 1982, 1986, 1990, 1994, 2002, 2014)

15. Uswisi imeshiriki mara 12 (1934, 1938, 1950, 1954, 1962, 1966, 1994, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

 16. Marekani imeshiriki mara 12 (1930, 1934, 1950, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

17. Jamhuri ya Korea ya Kusini imeshiriki mara 11 (1954, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014, 2018, 2022)

TIMU 10 ZILIZOCHEZA MECHI NYINGI ZAIDI

Kikosi cha Ujerumani dhidi ya Hungaria mwaka 1954
1. Brazil inashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi zaidi katika michuano hii. Imecheza mechi 114 ikishinda mechi 79 imesuluhu mechi 19 na kufungwa mechi 19.

2.Ujerumani inafuatia katika orodha.  Imecheza mechi 112 ambapo imeshinda mechi 60 imesare mechi 21 na kufungwa mechi 23.
3. Ajentina imecheza mechi 88 ikishinda mechi 47 imesuluhu mechi 17 na kufungwa mechi 24.

4. Italia imecheza mechi 83 ikishinda mechi 45 imesuluhu mechi 21 na kufungwa mechi 17.

5. Uingereza imecheza mechi 74 imeshinda mechi 32 imesuluhu mechi 22 na kupoteza mechi 20.
6. Ufaransa imecheza mechi 73 ikishinda mechi 39 imesuluhu mechi 14 na kufungwa mechi 20.

7. Hispania imecheza mechi 67 imecheza mechi 31 imesuluhu mechi 17 na kufungwa mechi 19.
8. Mexico imecheza mechi 60 imecheza mechi 17vimesuluhu mechi 15 na kufungwa mechi 28.

9. Urugwai imecheza mechi 59 imecheza mechi 25 imesuluhu mechi 13 na kufungwa mechi 21.
10. Uholanzi imecheza mechi 55 imecheza mechi 30 imesuluhu mechi 14 na kufungwa mechi 11.

TIMU 5 ZINAZOONGOZA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU

Nahodha wa Ajentina, Daniel Passarella akionesha kombe la dunia la Jules Rimet baadaya kuichapa Uholanzi 3-1 katika fainali ya mwaka 1978.
1. Ajentina inashikiria rekodi ya kua timu iliyopewa kadi nyingi zaidi katika michuano hii. Ina jumla ya kadi 120; njano 111 ambazo ni nyingi sana katika michuano yote, njao ya pili 1 na nyekundu 8 katika mechi 77 (1930, 1934, 1958, 1962, 1966, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)

2. Ujerumani inafuatia kwa kadi 117; njano 110, njano ya pili 2 na nyekundu 5 katika mechi 106 (1934, 1938, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)

3. Brazili ina kadi 108; njano 97, njano ya pili 1 na nyekundu 10 ambazo zinaifanya timu hii kuwa idadi nyingi ya kadi nyekundu katika michuano hii kuliko timu nyingine. Kadi hizi zote za aina tatu zimepatikana katika mechi 104 (1930, 1934, 1938, 1950, 1954, 1958, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)

4. Italia ina kadi 98; njano 97, njano ya pili 1 ns nyekundu 7 katika mechi 83 (1934, 1938, 1950, 1954, 1962, 1966, 1970, 1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006, 2010, 2014)

5. Uholanzi ina kadi 97; njano 90, njano ya pili 4 na nyekundu 3 katika mechi 50 (1934, 1938, 1974, 1978, 1990, 1994, 1998, 2006, 2010, 2014)



Makala hii imeandaliwa kwa hisani ya mtandao wa FIFA pamoja na takwimu zote.
Kama una maoni yoyote usisite kuandika chini ya andiko hili ama niandikie kupitia barua pepe yangu; venancegilbert@gmail.com. Simu ni 0753400208.

KARIBU TENA VENANCE BLOG KWA MENGI ZAIDI.

MOTIVATIONAL QUOTES OF THE DAY MAY 21, 2018




Hello, how are you? Today I have gathered 25 motivational quotes of the day for you. These few quotes can make you change from one step to another. Trust me, they will motivate you in one way or another, if not all, few of them will make you feel someone from today. Invite you now to take time to read and if you want to recommend other topics you want to read from this Blog write to me through the contacts after these quotes, enjoy:

  • Only I can change my life. No one can do it for me. ~Carol Burnett.
  • Good, better, best. Never let it rest. 'Til your good is better and your better is best. ~St. Jerome.
  • Optimism is the faith that leads to achievement. Nothing can be done without hope and confidence. ~Helen Keller.
  • With the new day comes new strength and new thoughts. ~Eleanor Roosevelt.
  • Life is 10% what happens to you and 90% how you react to it. ~Charles R. Swindoll.
  • Failure will never overtake me if my determination to succeed is strong enough. ~Og Mandino.
  • It does not matter how slowly you go as long as you do not stop. ~Confucius.
  • Change your life today. Don't gamble on the future, act now, without delay. ~Simone de Beauvoir.
  • It always seems impossible until it's done. ~Nelson Mandela.
  • You can't cross the sea merely by standing and staring at the water. ~Rabindranath Tagore.
  • A creative man is motivated by the desire to achieve, not by the desire to beat others. ~Ayn Rand.
  • Your talent is God's gift to you. What you do with it is your gift back to God. ~Leo Buscaglia.
  • Believe in yourself! Have faith in your abilities! Without a humble but reasonable confidence in your own powers you cannot be successful or happy. ~Norman Vincent Peale.
  • Set your goals high, and don't stop till you get there. ~Bo Jackson.
  • Problems are not stop signs, they are guidelines. ~Robert H. Schuller.
  • Accept the challenges so that you can feel the exhilaration of victory. ~George S. Patton.
  • Setting goals is the first step in turning the invisible into the visible. ~Tony Robbins.
  • Without hard work, nothing grows but weeds. ~Gordon B. Hinckley.
  • We may encounter many defeats but we must not be defeated. ~Maya Angelou.
  • Our greatest weakness lies in giving up. The most certain way to succeed is always to try just one more time. ~Thomas A. Edison.
  • If you want to conquer fear, don't sit home and think about it. Go out and get busy. ~Dale Carnegie.
  • Look up at the stars and not down at your feet. Try to make sense of what you see, and wonder about what makes the universe exist. Be curious. ~Stephen Hawking.
  • Do the difficult things while they are easy and do the great things while they are small. A journey of a thousand miles must begin with a single step. ~Lao Tzu.
  • Consult not your fears but your hopes and your dreams. Think not about your frustrations, but about your unfulfilled potential. Concern yourself not with what you tried and failed in, but with what it is still possible for you to do. ~Pope John XXIII.
  • There is only one corner of the universe you can be certain of improving, and that's your own self. ~Aldous Huxley.

If you have anything do not hesitate to write to me and I will work on it;
email; venancegilbert@gmail.com
mobile: +255753400208 or +255712586027 (on WhatsApp too)

WELCOME ONCE AGAIN

PICHA ZA NDOA YA KIFALME PRINCE HARRY & MEGHAN MARKLE


Umati wa watu uliofurika kushuhudia harusi hiyo.


Maua yaliyopambwa kwenye kanisa la Kasri ya Windsor katika kanisa la Mt. George.
Usharika wa Mt. George uliokusanyika kanisani hapo.
Princess Eugine, Prince Andrew na Princess Beatrice walipowasili harusini.
Meghan Markle wakiwa kwenye gari kutoka Clevedon kulekea kasri ya Windsor.
Prince Haary akiwa na msaidizi wake harusini jana Duke wa Cambridge.
Prince Harry akipunga mkono kusalimia umati uliohudhuria harusi hiyo.
Jeshi pia lilikuwepo katika harusi hiyo.
Gari la bibi Harusi lilipowasili kanisania kwa ajili ya kufunga ndoa.
Bibi harusi na mama yake wakiwapungia mkono umati ukiokusanyika harusini hapo.
Prince Harry na Prince William wakisalimiana na watu waliofika harusini
Malkia Elizabeti akishuka kwenye gari alipowasili harusini.
Malkia Elizabeti katika vazi lake la kiutamaduni wa Uingereza akielekea kanisani kushuhudia harusi.
Meghan Marke ndani ya shela iliyobuniwa na mwanamitindo Clare Waight Keller.
Kibongo tunasema bibi harusi na bwana harusi mdogo wakiwasili na wazai wao harusini.
Bibi harusi akiingia kanisani huku akisindikizwa na wasaidizi wake.
Muonekano wa karibu wa shela.
Baadhi ya wanafamilia wa familia ya kifalme wakifuatilia tukio hilola harusi.
Malkia Elizabet na Duke wa Edinburgh
Bibi Harusi Meghan ndani ya kanisa.
Ndani ya kanisa.
Princess Charles akimsindikiza Meghan mahala pa kukaa.
Prince Harry na mkewe Meghan wakiwa Altare tayari kwa kufunga ndoa.
Tabasamu la ndoa hili bila shaka.
Prince Harry akimvua shela mkewe.
Maharusi wakifurahi pamoja.
Maharusi wakisikiliza wimbo ulioimbwa na Karen Gibson na kwaya ya The Kingdom. Wimbo unaitwa 'Stand by me' ukimaanisha "Baki na Mimi"
Maharusi wakibadilishana pete.
Tabsamau la Ndoa hili bila shaka.
Askofu akisoma maneno ya kubariki ndoa.
Ndani ya kanisa.
Baada ya kubadilishana pete.
Maharusi wakiondoka kanisani baada ya kufunga ndoa.
Tabasamu wakati wakiondoka kanisani. Baada ya ndoa sasa wanakua ni Duke & Duchess wa Sussex kwa mujibu wa taratibu za Uingereza.
Wakibusiana wakati wakiondoka kanisani.
Princess Meghan mwenyewe.
Nje ya kanisa.
Kenye gari ya kijeshi tayari kwa maandamano ya hsrusi.
Malkia Elizabet na Duke wa Edinburgh.

Prince Harry akiwapungia mkono walioshirki harusi.

Princess Meghan akiwapungia mkono walioshirkik harusi.

Baada ya harusi ikafuatia sherehe na hivi ndivyo walivaa wakenlekea ukumbini.
Prince Harry akimfungulia mkewe Princess Meghan mlango wa gari.
Wkianga sasa kuelekea ukumbini.
Pincess Meghan akiwa amevaa pete ya marehemu mama mkwe wake Princess Wales kwa pamoja wakiwapungia watu mkono wakati wakielekea ukumbini .



NIMEKUANDALIA PICHA HIZI KWA HISANI YA JARIDA LA MITINDO LA UINGEREZA, THE VOGUE.