Skip to main content

Posts

RAIA NCHINI MISRI WAANDAMANA KUPINGA HUKUMU YA MUBARAK

Polisi nchini Misri wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga hatua ya mahakama nchini humo kutupilia mbali kesi ya mauaji dhidi ya Rais aliyeondolewa madarakani Hosni Mubarak. Zaidi ya watu 2000 walikusanyika katika viunga vya Tahrir mahala ambapo ndipo zilipozaliwa harakati za mapinduzi ya nchi hiyo mwaka 2011. Awali Mubarak alihukumiwa kifungo cha maisha jela ambapo kwa sasa anatumikia pia kifungo cha miaka mitatu kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Kwa sasa Hosni Mubarack anashikiliwa katika hospitali ya jeshi ambako pia anapatiwa matibabu. Waziri wake wa zamani wa mambo ya ndani Habib al-Adly na wenzake sita walihukumiwa kifungo cha maisha 2012, inakadiriwa takriban watu 800 waliuawa wakati wa harakati za kumuondoa kiongozi huyo Februari 11.2011. Chanzo: BBC

JENIFER LOPEZ NDANI YA BIKINI

Mwanamuziki Jennifer Lopez Ameshare Picha Kwenye Instagram Profile yake Ambayo Inamuonyesha Akiwa Ndani ya Bikini akiwa na Umri wa Miaka 45 Sasa...

CHINA YATOA DOLA BILIONI 85 KUPAMBANA NA EBOLA KATIKA NCHI TATU ZA AFRIKA

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imetangaza kuwa, kwa mara ya nne katika kipindi kifupi inapeleka msaada wa dawa, vifaa na mahitaji mengine ya tiba yenye thamani ya dola za Marekani milioni 85 kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa nchi tatu za Afrika Magharibi, ambazo zinapambana na ugonjwa huo, ambao mpaka sasa umeua zaidi ya watu 4,000. Aidha, China imetangaza kuwa itajenga kituo kikubwa cha afya na tiba katika nchi ya Liberia, kama sehemu ya kukabiliana na ugonjwa huo. Msaada huo mwingine wa China umetangazwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, XI Jinping katika mazungumzo yake rasmi na Rais Jakaya Kikwete. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika kwenye The Great Hall of the People mjini Beijing, ikiwa ni sehemu ya ziara rasmi ya Rais Kikwete, Rais Jinping alisema: “Hali katika Afrika sasa ni ya utulivu lakini yapo matishio ya mara kwa mara mengine ya ndani ya Afrika na mengine ya nje na mojawapo ya matishio hayo ni ugonjwa wa ebola.” Aliongeza Rais Jinping: “Mpaka sasa, ...

ANCELOTTI: SIPENDEZWI NA UHUSIANO WA MORINHOU KWA RONALDO

The Real Madrid boss insists that he does not know, or care, whether the former Blancos manager and the Portugal international have an off-field friendship or not Real Madrid coach Carlo Ancelotti says he is not interested in Jose Mourinho's relationship with Cristiano Ronaldo. The Portuguese manager, who previously bossed Madrid but is now in charge at Premier League giants Chelsea, revealed on Thursday that he and Ronaldo do not keep in touch following the 51-year-old's departure from the Spanish capital in the summer of 2013. But Ancelotti says the matter is not one that concerns him. "Mourinho is a great coach who can coach anywhere," the 55-year-old said. "I don't know what his relationship with Cristiano is like, nor am I interested. It is a personal relationship and has nothing to do with Real Madrid. "I don't know if Mourinho wants to [ever] come back [to Madrid]," he added. The Italian trainer also discussed criticism o...

VAN GAAL: MADRID HAWATOMUUZA RONALDO

The Dutchman admits he would welcome the arrival of the Portugal international but believes the European champions would not be prepared to sell the player Louis van Gaal admits Manchester United would explore the possibility of signing Cristiano Ronaldo but insists it is unlikely that Real Madrid will sell the forward. Reports have suggested that the Portugal international, who signed a five-year contract extension with Madrid last September, will push for a move back to Old Trafford at the end of the season. But while the United boss maintains his side would be strengthened by the return of Ronaldo, he believes the European champions are not prepared to allow the 29-year-old to leave. “It’s always a discussion in the papers. I don’t think the media shall buy Ronaldo,” said Van Gaal. “When it is possible, it is what I have always said with Falcao, players like Ronaldo give a lot extra to selection, to the team, but I don't think Real Madrid shall sell him....

QUOTES OF THE DAY SEPTEMBER 19, 2014

1. You cannot create experience. You must undergo it. Albert Camus 2. We are not human beings having a spiritual experience. We are spiritual beings having a human experience. Pierre Teilhard de Chardin 3. Human beings, who are almost unique in having the ability to learn from the experience of others, are also remarkable for their apparent disinclination to do so. Douglas Adams 4. Experience is the teacher of all things. Julius Caesar 5. People grow through experience if they meet life honestly and courageously. This is how character is built. Eleanor Roosevelt 6. Man learns through experience, and the spiritual path is full of different kinds of experiences. He will encounter many difficulties and obstacles, and they are the very experiences he needs to encourage and complete the cleansing process. Sai Baba 7. A mind that is stretched by a new experience can never go back to its old dimensions. Oliver Wendell Holmes, Jr. 8. If yo...

SCOTLAND HAITAJITENGA NA UINGEREZA, KURA YA HAPANA YAAMUA

Scotland imefanya uamuzi wa mwisho kuwa itaendelea kubaki sehemu ya Uingereza , raia kwa pamoja wamekataa uhuru wa Scotland kujitenga kuwa taifa huru. Maeneo 31 kati ya 32 wamepiga kura ya HAPANA siku ya Alhamisi na kuongoza kwa kura 1,914,187 dhidi ya  kura 1,539,920. Ushindi huo ni asilimia 55 dhidi ya asilimia 45 waliokuwa wakiunga mkono hatua ya kujitenga. Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni. Chanzo: BBC

QUOTES OF THE DAY SEPTEMBER 16

1. Happiness is like a kiss. You must share it to enjoy it. ~Bernard Meltzer 2. There is only one way to happiness and that is to cease worrying about things which are beyond the power of our will. ~Epictetus 3. Our greatest happiness does not depend on the condition of life in which chance has placed us, but is always the result of a good conscience, good health, occupation, and freedom in all just pursuits. ~Thomas Jefferson 4. Achievement of your happiness is the only moral purpose of your life, and that happiness, not pain or mindless self-indulgence, is the proof of your moral integrity, since it is the proof and the result of your loyalty to the achievement of your values. ~Ayn Rand 5. Try to make at least one person happy every day. If you cannot do a kind deed, speak a kind word. If you cannot speak a kind word, think a kind thought. Count up, if you can, the treasure of happiness that you would dispense in a week, in a year, in a lifetim...

KAMA BADO HUJAIONA VIDEO YA PROFESA J-KIPI SIJASIKIA, ICHEKI HAPA

Imetengenezaewa na Adam Juma Next Level, kuna wasanii kibao humo ndani wa filam pamoja na bongo fleva kama vile Dude, P Funk Majani na wengineo huku Platnumz akifanya vizuri zaidi. Video hii hapa:

VIDEO: KANYE WEST NA HEADLINE YA KUTAKA WALIOHUDHURIA SHOW YAKE WASIMAME (HADI WALEMAVU) KIM KADARSHIAN AMTETEA

Rapper Kanye West ametawala vichwa vingi vya habari weekend iliyopita baada ya tukio alilolifanya kwenye moja ya show za tour yake ya Australia. Katika show hiyo Kanye alisimamisha show na kuwataka watu wote wasimame ndio aendelee na show. “I can’t do this song, I can’t do the rest of the show until everybody stands up, Unless you got a handicap pass and you get special parking,” Kanye alisikika akiwaambia mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa Qantas Credit Union huko Sydney. Baada ya mashabiki wengine kusimama kama walivyoombwa na Kanye, watu wawili waliendelea kukaa na ndipo Kanye alipowaona na kuendelea kuwamtaka nao wasimame, mpaka alipokuja kugundua kuwa ni walemavu ndipo akasema ‘”If he’s in a wheelchair, then it’s fine,” na kisha kuendelea kutumbuiza wimbo mwingine. Kim Kardashian West ameibuka na kumtetea mume wake kwa kuvilaumu vyombo vya habari kuwa vimedanganya. Kim ameongeza kuwa Kanye hakumwambia mtu yeyote aliye kwenye ‘wheel chair’ asimame bali alich...