Posts

Showing posts from October, 2016

MAJINA YA MKOPO MZUMBE MWAKA WA KWANZA 2016/2017 HAYA HAPA

Image
Chuo Kikuu Mzumbe kimetoa majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza walionufaika na Mkopo wa Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017.  Ili kuona majina haya kwa simu hakikisha una Office App kwenye simu yako (WPS Office, OfficeSuite ama Polaris Office n.k.) 👉BOFYA HAPA KUONA MAJINA NA KUDOWNLOAD👈

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA MZUMBE AWAMU YA TATU HAYA HAPA (BATCH/ROUND 3)

Image
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Chuo Kikuu Mzumbe, imetoa majina ya waliochaguliwa chuoni hapo kwa awamu ya tatu (Third Batch/Round) Tumia mojawapo kati ya Browser hizi kuangalia selection hizo; UC Browser, Mozilla Firefox, Google Chrome au Dolphin Browser, Opera Mini haitaonesha baadhi ya vipengele katika kudownload majina haya. Link itakupeleka moja kwa moja juu kabisa kutakuwa na mshale wa kupakua majina hayo, bofya hapo na majina yatashuka moja kwa moja. 👉BOFYA HAPA KUONA NA KUDOWNLOAD MAJINA👈

HAYA HAPA MAJINA YA HOSTEL MZUMBE MWAKA WA KWANZA (JINA LA HOSTELI NA NAMBA YA CHUMBA)

Image
Haya hapa majina ya Hosteli mwaka wa kwanza Mzumbe (Jina la Hosteli pamoja na namba ya Chumba unachotakiwa kuishi)  👉BOFYA HAPA KUONA MAJINA HAYO👈

RAIS MAGUFULI AAHIDI KUENDELEA KUTOA MIKOPO 2016/2017 KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU NA KUTOA RAI SUALA HILO KUSHUGHULIKIWA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kwa nafsi yake ametoa matumaini kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini kuhusu hatima yao ya mkopo wa Elimu ya Juu alipokuwa akihudhuria sherehe ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Rais Magufuli amebainisha haya, namnukuu; "Tunapopitia katika challenge hii muivumilie serikali kutengeneza utaratibu ulio mzuri, ninafahamu, katika bajeti ya mwaka 2015/2016, fedha iliyotengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi kwa sababu Mh. Waziri umezungumza hapa zilikuwa bilioni 340 ambazo  zilikjuwa zinatosha karibu wanafunzi tisini elfu (90,000)  baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani  ili kutimiza yale tuliyokuwa tumeahidi tuliongeza fedha hizo za mkopo hadi kfikia bilioni 473 bajeti ilikuwa ya bilioni 340 tukaongeza zikafika bilioni 473 kutokana na makusanyo na tukaweza kutoa mikopo kwa wanafunzi 124,358 mwaka huu ameeleza ni zaidi ya bilioni 483 zimepitishwa katika bajeti  k...

MFAHAMU HILLARY CLINTON KWA MAMBO HAYA 15

Image
Jina Kamili: Hillary Diane Rodham Clinton Kuzaliwa: Oktoba 26, 1947 Alikozaliwa: Chicago, Illinois Kwa Ufupi Alipochaguliwa kuwa Seneta mwaka 2001 alikuwa mwanamke wa kwanza First Lady kuwa mtumishi wa serikali. Baadaye alikuwa Katibu Mkuu wa Ikulu ya Marekani mwaka 2009 akitumikia wadhifa huo hadi mwaka 2013 katika utawala wa Rais Barrack Obama. Mwaka huu (2016), amekuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya chama cha The Democratics. Hillary alizaliwa  Oktoba 26, 1947 huko Chicago, Illinois. Alipata Shahada yake ya Sheria kutoka Yale University. Alifunga ndoa na mwanafunzi mwenziye aliyekuwa akisoma sheria Bill Clinton mwaka 1975. Baadaye alitumikia taifa la Marekani kama First lady  mwaka 1993 hadi 2001, na baadaye akiwa Seneta mwaka 2001 hadi 2009. Mapema mwaka 2007 Clinton alitangaza kugombea Urais nchini Marekani. Katika kura za maoni mwaka 2008 alichuana na Barrack Obama lakini kura hazikumruhusu kugombea Urais kwa ticket ya Democratic. R...

VIDEO: TRUMP AKATAA KUJIBU SWALI KUHUSU KUKUBALI MATOKEO KAMA ATASHINDA KWENYE UCHAGUZI

Image
Ni katika Mdahalo wa tatu na wa mwisho ukiofanyika Nevada, Las Vegas. Swali liliulizwa kwa Bwana Trump "utakubali matokeo ya Urais baada ya kushindwa na mpinzania wako Hillary Clinton?" Trump hakujibu moja kwa moja, alisema "nitaliangalia hilo kwa wakati huo". Awali ya hapo Rais Obama alishangazwa na kutokujiamini kwa Trump kuhusu kuwa na mashaka na Uchaguzi hata kabla ya Uchaguzi wenyewe kufanyika. Nitakuandalia makala kamili kutoka kwenye Mdahalo huo. Hii hapa video ikimuonesha Trump alivyokataa kujibu swali aliloulizwa: Video kwa hisani ya France24.

WALIOCHAGULIWA MZUMBE AWAMU YA PILI MAJINA HAYA HAPA

Image
Chuo Kikuu Mzumbe kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa chuoni hapo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada kwa awamu ya pili. >>> BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA <<<

HAYA HAPA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI RUAHA, MWALIMU NYERERE & ECKERNFORDE

Image
Hapa kuna selection za Vyuo vitatu; Ruaha, Mwalimu Nyerere na Eckernforde 1. KWA RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU) 👉BOFYA HAPA👈 2. KWA MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY (MNMA) 👉BOFYA HAPA👈 3. KWA ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY (ETU) 👉BOFYA HAPA👈

ORODHA YA VYUO VILIVYOTOA MAJINA AWAMU YA PILI (SAUT MBEYA, TUDARCo, MWECAU, HKMU, TIA SJUT & MUHIMBILI)

Image
1. KWA MUHIMBILI 👉BOFYA HAPA👈 2. KWA SAUT MBEYA 👉BOFYA HAPA👈 3. KWA TUMAINI DSM (TUDARCo) 👉BOFYA HAPA👈 4. KWA MWECAU 👉BOFYA HAPA👈 5. KWA HURBERT KAIRUKI      ° 👉DOCTOR OF MEDICINE BOFYA HAPA👈      ° 👉BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING BOFYA HAPA👈 6. KWA TIA 👉BOFYA HAPA👈 7. KWA ST. JOHN 👉BOFYA HAPA👈

WALIOCHAGULIWA MZUMBE MAJINA YAO YAKO HAPA (FIRST BATCH/ROUND 1)

Image
Chuo Kikuu Mzzumbe kimetangaza majina ya waliochaguliwa chuoni hapo. 👉BOFYA HAPA KUDOWNLOAD MAJINA👈

WALIOCHAGULIWA UDSM, DUCE, MUCE & IFM AWAMU YA PILI HAWA HAPA

Image
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na matawi yake DUCE na Mkwawa (MUCE) pamoja na Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM) vimetoa majina ya waliochaguliwa awamu ya pili kujiunga na chuo hicho. 1. KWA UDSM, DUCE NA MKWAWA (MUCE) 👉BOFYA HAPA👈 2. KWA IFM 👉BOFYA HAPA👈 3. KWA IFM MWANZA 👉BOFYA HAPA👈

ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MBALIMBALI (AWAMU YA PILI)

Image
Hii ni list ya majina ya vyuo vilivyotoa majina ya waliochaguliwa leo October 5, 2016. 1. KWA CHUO KIKUU SAUT AWAMU YA KWANZA NA PILI ZOTE 👉BOFYA HPA👈 2. KWA TEKU 👉BOFYA HAPA👈 3. KWA ARCHBISHOP JAMES (AJUCO) 👉BOFYA HAPA👈 4. KWA JORDAN ROUND 1 & 2 👉BOFYA HAPA👈 5. KWA BUGANDO (CUHAS) 👉BOFYA HAPA👈 Endelea kufuatilia Blog hii kwa selection za vyuo vingine zaidi kwa round zilizosalia.

WALIOCHAGULIWA JORDAN (AWAMU 1 & 2)

Image
Chuo Kikuu Kishiriki cha Jordan kimetangaza majina ya waliochaguliwa chuoni hapo mwaka wa masomo 2016/2017. 👉BOFYA HAPA KUONA MAJINA👈

SELECTED STUDENTS TO JOIN KAMPALA INTERNATINONAL UNIVERSITY FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017 (FIRST & SECOND BATCHES)

Image
Chuo Kikuu chq Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetoa majina ya awamu ya kwanza na ya pili (first and second batches) za wanafunzi waliochaguliwa chuoni hapo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. 👉BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD NA KUANAGALIA MAJINA HAYO👈

ORODHA YA WALICHAGULIWA AMUCTA (SAUT-TABORA) HII HAPA

Image
Chuo Kikuu Kishiriki Archibishop Mihayo cha Tabora (Tawi la SAUT) kimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na kozi za shahada mwaka wa masomo 2016/2017. 👉MAJINA YAPO HAPA BOFYA👈

SELECTED STUDENTS TO JOIN UNIVERSITY OF ARUSHA (BACHELOR DEGREE PROGRAMMMES)

Image
Chuo Kikuu cha Arusha kimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa kozi mbalimbali za Shahada kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Waliochavuliwa wanatakiwa kuripoti chuoni hapo kuanzia Oktoba 9.   BOFA HAPA KUANGALIA MAJINA

YAFAHAMU HAYA KUTOKA BODI YA MIKOPO (HESLB)

Image
Jana katika kipindi cha Dakika 45 ambacho hurushwa kila Jumatatu saa 3 usiku kupitia ITV/Radio One, Sam Mahela mtangazaji wa kipindi hicho alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Mh. Abdul Razaq Badru ambaye ameteuliwa na Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako kufahamu mambo fulani kuhusu HESLB. Mkurugenzi huyo alianza kwa kubainisha kuwa tangu kuanzishwa kwake HESLB imekopesha watu laki tatu na ishirini na nne (300,024). Aliongeza kuwa makato ya fedha kwa wale ambao walinufaika na mikopo ya elimu ya juu yanaendelea. Pia alibainisha kwamba kumekuwepo na dosari katika kuwakata watu 200 ambao hawakuwahi kunufaika na mikopo ya elimu ya juu na kusisitiza kwamba kama kuna mtu anakatwa na hakukopeshwa na bodi hiyo atoe taarifa katika Ofisi zilizojirani naye. Lakino pia alidai kuwa waliokatwa kimakosa watarudishiwa fedha zao. Mkurugenzi aliongeza kuwa Bodi imekopesha jumla ya Tsh. Trilioni 2.4 (waliowahi kukopeshwa na wanaondelea na masomo kwa mwaka 2015/2...

WALIOCHAGULIWA CHUO CHA MIPANGO MAJINA HAYA HAPA

Image
Chuo cha Mipango ama Institute of Rural Development Planning kimetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali za shahada (Bachelor Degree) chuoni hapo mwa mwaka wa masomo 2016/207. BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA HAYO IMPORTANT NOTICES TO SELECTED STUDENTS The selected candidates must report at the Institute’s main campus Miyuji area on Monday 17 th October, 2016 ready for orientation program. Joining instructions can be downloaded from the website www.irdp.ac.tz and can also be collected from the main campus admission office. Tuition fees for Bachelor Degree courses 850,000/= Registration fee is 50,000/=, Students organization fee 20,000/= sports and games is 10,000/= and NACTE Quality Assurance Fee 20,000/=. Students are required to pay atleast half of the tuition fee and 100,000/= for registration, students organization, sports and games and NACTE Quality Assurance Fee. The payment should be made through CRDB Bank account no. 01J1082678600 before 1...

HAYA HAPA MAJINA 10,027 YA WALIOKOSEA KATIKA UOMBAJI WA MKOPO HESLB 2016

Image
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza majina ya watu elfu kumi na ishirini na saba ambao form zao zimeonekana kuwa na dosari ktk suala zima la upitiaji wa fomu hizo. Bodi inawataka waombaji na wadhamini ambao hawakusaini ktk fom hizo kufika ktk ofisi za bodi hiyo Plot 8, Block 46 Barabara ya Sam Nujoma Mwenge  DSM ili kutia saini ktk fomu hizo kuanzi Jumatatu October 3. Kwa wale ambayo hawakuweka taarifa kama vile picha, picha ya mdhamini, taarifa za mdhamini kama vile kopi ya pasi ya kusafiria ama kitambulisho cha mpiga kura, ama wametima kopi ambazo hazijthibitishwa na kamishna wa vizazi na viapo wanatakiwa kutuma taarifa hizo wakionesha jina kamili la mwombaji mkopo pamoja na taarifa hizo na namba ya Kidato cha 4 na mwaka uliohitimu kwa mfano S3370.0004.2013 kisha watume taarifa hizo kwa njia ya EMS kwenda ktk anwani hii: The Executive Director, Higher Education Students’ Loans Board, P. O. Box 76068, DAR ES SALAAM. Mwisho wa kusahihisha makosa hayo ni Ijumaa...

WALIOCHAGULIWA SUA MAJINA YAO HAYA HAPA

Image
Chuo Kikuu Cha Kilimo Sokoine (SUA) Kimetoa majina yabwaliochaguliwa kujiunga chuoni hapo na kwamba wanatakiwa kuripoti mapema kwani mwaka wa masomo utaanza October 17. BOFYA HAPA KUANGALI MAJINA HAYO