HAYA HAPA MAJINA 10,027 YA WALIOKOSEA KATIKA UOMBAJI WA MKOPO HESLB 2016
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
(HESLB) imetangaza majina ya watu elfu kumi na ishirini na saba ambao form zao zimeonekana kuwa na dosari ktk suala zima la upitiaji wa fomu hizo.
Bodi inawataka waombaji na wadhamini ambao hawakusaini ktk fom hizo kufika ktk ofisi za bodi hiyo Plot 8, Block 46 Barabara ya Sam Nujoma Mwenge DSM ili kutia saini ktk fomu hizo kuanzi Jumatatu October 3.
Kwa wale ambayo hawakuweka taarifa kama vile picha, picha ya mdhamini, taarifa za mdhamini kama vile kopi ya pasi ya kusafiria ama kitambulisho cha mpiga kura, ama wametima kopi ambazo hazijthibitishwa na kamishna wa vizazi na viapo wanatakiwa kutuma taarifa hizo wakionesha jina kamili la mwombaji mkopo pamoja na taarifa hizo na namba ya Kidato cha 4 na mwaka uliohitimu kwa mfano S3370.0004.2013 kisha watume taarifa hizo kwa njia ya EMS kwenda ktk anwani hii:
The Executive Director,Higher Education Students’ Loans Board,P. O. Box 76068,DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kusahihisha makosa hayo ni Ijumaa Oktoba 7, mwaka huu.
Aidha Bodi inakumbusha kwamba:
°Waombaji wanatakiwa kuwa makini na watu ambao watatumia mwaya huu kutaka kuwatapeli katika zoezi hili kwa kuwaomba fedha.
°Kusahihisha taarifa za mkopo hakaanishi kuwa mwombaji lazima apate mkopo wa Elimu ya Juu.
°Fomu ambazo zitakuwa hazijatimiza taarifa zote za uombaji mkopo hazitashughulikiwa hadi pale taarifa hizo zitakapokamilika kwa muda husika.
°MAJINA YA WAOMBAJI AMBAO FOMU ZAO ZINA MAKOSA HAYA HAPA. BOFYA HAPA KUYAONA
VENANCE BLOG IKO NA WEWE KTK TAARIFA ZOTE ZA KIELIMU.
Comments
Post a Comment