Skip to main content

Posts

ORODHA YA WALICHAGULIWA AMUCTA (SAUT-TABORA) HII HAPA

Chuo Kikuu Kishiriki Archibishop Mihayo cha Tabora (Tawi la SAUT) kimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na kozi za shahada mwaka wa masomo 2016/2017. 👉MAJINA YAPO HAPA BOFYA👈

SELECTED STUDENTS TO JOIN UNIVERSITY OF ARUSHA (BACHELOR DEGREE PROGRAMMMES)

Chuo Kikuu cha Arusha kimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa kozi mbalimbali za Shahada kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Waliochavuliwa wanatakiwa kuripoti chuoni hapo kuanzia Oktoba 9.   BOFA HAPA KUANGALIA MAJINA

YAFAHAMU HAYA KUTOKA BODI YA MIKOPO (HESLB)

Jana katika kipindi cha Dakika 45 ambacho hurushwa kila Jumatatu saa 3 usiku kupitia ITV/Radio One, Sam Mahela mtangazaji wa kipindi hicho alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Mh. Abdul Razaq Badru ambaye ameteuliwa na Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako kufahamu mambo fulani kuhusu HESLB. Mkurugenzi huyo alianza kwa kubainisha kuwa tangu kuanzishwa kwake HESLB imekopesha watu laki tatu na ishirini na nne (300,024). Aliongeza kuwa makato ya fedha kwa wale ambao walinufaika na mikopo ya elimu ya juu yanaendelea. Pia alibainisha kwamba kumekuwepo na dosari katika kuwakata watu 200 ambao hawakuwahi kunufaika na mikopo ya elimu ya juu na kusisitiza kwamba kama kuna mtu anakatwa na hakukopeshwa na bodi hiyo atoe taarifa katika Ofisi zilizojirani naye. Lakino pia alidai kuwa waliokatwa kimakosa watarudishiwa fedha zao. Mkurugenzi aliongeza kuwa Bodi imekopesha jumla ya Tsh. Trilioni 2.4 (waliowahi kukopeshwa na wanaondelea na masomo kwa mwaka 2015/2...

WALIOCHAGULIWA CHUO CHA MIPANGO MAJINA HAYA HAPA

Chuo cha Mipango ama Institute of Rural Development Planning kimetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali za shahada (Bachelor Degree) chuoni hapo mwa mwaka wa masomo 2016/207. BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA HAYO IMPORTANT NOTICES TO SELECTED STUDENTS The selected candidates must report at the Institute’s main campus Miyuji area on Monday 17 th October, 2016 ready for orientation program. Joining instructions can be downloaded from the website www.irdp.ac.tz and can also be collected from the main campus admission office. Tuition fees for Bachelor Degree courses 850,000/= Registration fee is 50,000/=, Students organization fee 20,000/= sports and games is 10,000/= and NACTE Quality Assurance Fee 20,000/=. Students are required to pay atleast half of the tuition fee and 100,000/= for registration, students organization, sports and games and NACTE Quality Assurance Fee. The payment should be made through CRDB Bank account no. 01J1082678600 before 1...

HAYA HAPA MAJINA 10,027 YA WALIOKOSEA KATIKA UOMBAJI WA MKOPO HESLB 2016

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza majina ya watu elfu kumi na ishirini na saba ambao form zao zimeonekana kuwa na dosari ktk suala zima la upitiaji wa fomu hizo. Bodi inawataka waombaji na wadhamini ambao hawakusaini ktk fom hizo kufika ktk ofisi za bodi hiyo Plot 8, Block 46 Barabara ya Sam Nujoma Mwenge  DSM ili kutia saini ktk fomu hizo kuanzi Jumatatu October 3. Kwa wale ambayo hawakuweka taarifa kama vile picha, picha ya mdhamini, taarifa za mdhamini kama vile kopi ya pasi ya kusafiria ama kitambulisho cha mpiga kura, ama wametima kopi ambazo hazijthibitishwa na kamishna wa vizazi na viapo wanatakiwa kutuma taarifa hizo wakionesha jina kamili la mwombaji mkopo pamoja na taarifa hizo na namba ya Kidato cha 4 na mwaka uliohitimu kwa mfano S3370.0004.2013 kisha watume taarifa hizo kwa njia ya EMS kwenda ktk anwani hii: The Executive Director, Higher Education Students’ Loans Board, P. O. Box 76068, DAR ES SALAAM. Mwisho wa kusahihisha makosa hayo ni Ijumaa...

WALIOCHAGULIWA SUA MAJINA YAO HAYA HAPA

Chuo Kikuu Cha Kilimo Sokoine (SUA) Kimetoa majina yabwaliochaguliwa kujiunga chuoni hapo na kwamba wanatakiwa kuripoti mapema kwani mwaka wa masomo utaanza October 17. BOFYA HAPA KUANGALI MAJINA HAYO

WALIOCHAGULIWA TEKU MAJINA YAPO HAPA

Chuo Kikuu Theofilo Kisanji (TEKU) kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho ktk mwaka wa masomo 2016/2017. BOFYA HAPA KUANAGALIA MAJINA VENANCE BLOG ITAENDELEA KUSOGEZA SELECTION HIZO ZA VYUO MBALIMBALI KADIRI ZINAVYOTOKA.

SELECTION ZA TUMAINI MAKUMIRA NA UNIVERSITY OF IRINGA ZIPO HAPA

Tumaini Makumira University of Iringa Chuo Kikuu cha Iringa na Chuo Kikuu Tumaini Makumira vimetoa majina ya waliochaguliwa katika vyuo hivyo. KWA TUMAINI MAKUMIRA BOFYA HAPA KWA UNIVERSITY OF IRINGA BOFYA HAPA Uangaliaji wa majina ktk vyuo hivi ni tofauti kwani wao hawatumii Index ya form 4 wala 6 ni majina tu, hivyo kama uliapply na unataka kuona jina tuma jina lako kwenda namba 0753400208. Huduma hii ni bure kabisa.

WALIOCHAGULIWA BUGANDO (CUHAS) MAJINA HAYA HAPA

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Kikatoliki (Bugando) (CUHAS) kimetoa majina ya wanafunzi mbalimbali waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho. BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA Aidha unaweza kutuma jina lako na index ya form four au six bila kusahau kozi uliyoomba chuoni hapo kwenda namba 0753400208 na utaangaliziwa jina bure kabisa.

WALIOCHAGULIWA UDSM, DUCE NA MKWAWA BATCH 1 MAJINA HAYA HAPA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na matawi yake DUCE na MKWAWA (MUCE) kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kozi mbalimbali za shahada chuoni hapo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. BOFYA HAPA KUANGALIA Unaweza kutuma jina lako, pamoja na namba ya kidato ya cha 4 au 6 kwenda namba 0753400208 na utaangaliziwa jina BURE . Kumbuka kutuma jina lako, index ya 4 au 6 na chuo unachotaka kuangalia hata kama ni zaidi ya kimoja. Mfano: Venance Gilbert s2509/0575/2012 (iv) au s0494/0141/2015 (vi) Mzumbe, MUHAS, SUA, UDSM, UDOM, SAUT n.k. kwenda 0753400208. Huduma hii ni BURE .