Posts

Showing posts from May, 2018

FRIENDSHIP QUOTES OF THE DAY MAY 26, 2018

Image
Today I invite you to read these quotes of the day. Enjoy your day. 1.  One of the most beautiful qualities of true friendship is to understand and to be understood. ~Lucius Annaeus Seneca. 2.  Walking with a friend in the dark is better than walking alone in the light. ~Helen Keller. 3.  There is nothing on this earth more to be prized than true friendship. ~Thomas Aquinas. 4.  My best friend is the one who brings out the best in me. ~Henry Ford. 5.  It is one of the blessings of old friends that you can afford to be stupid with them. ~Ralph Waldo Emerson. 6.  The strong bond of friendship is not always a balanced equation; friendship is not always about giving and taking in equal shares. Instead, friendship is grounded in a feeling that you know exactly who will be there for you when you need something, no matter what or when. ~Simon Sinek. 7.  A friend is someone who gives you total freedom to be yourself. ~Jim Mo...

WAFUNGAJI BORA NA WALIOCHEZA MECHI NYINGI KATIKA KOMBE LA DUNIA 1930-2014

Image
WAFUNGAJI 5 WA MUDA WOTE 1. Miroslav Klose - Ujerumani Klose wakati wa droo ya kombe la dunia mwaka jana 2017. Amezaliwa Juni 9, 1978. Ana jumla ya magoli 16 katika michuano ya kombe la dunia na magoli 23 katika mechi za kufuzu, hii inafanya jumla ya magoli kuwa 29.   Aling'aa katika mechi ya awali kufuzu michuano hii ambapo Ujerumani iliichapa Abania 2-1 mwaka 2002.  Amecheza mechi 43; 24 zikiwa za kombe la dunia na 19 zikiwa za kufuzu michuano hiyo. Katika mechi alizocheza na timu yake wameshinda mechi 30 wamesuluhu mechi 8 na kupoteza mechi 5. Ana kadi 1 ya njano katika michuano ya FIFA na kadi 2 za njano katika hatua ya makundi kufuzu kucheza kombe la dunia. Mwaka 2006 alishinda kiatu cha dhahabu cha Adidas na mwaka 2014 alikuwepo katika kikosi cha Ujerumani walipotwaa kombe la dunia katika fainali dhidi ya Ajentina nchina Brazil. Klose wakati wa mechi ya robo fainali kati ya Ujerumani na Ufaransa katika dimba la Marakana Rio de Jeneiro Jula...

UNAYOPASWA KUFAHAMU KUHUSU TEKNOLOJIA YA 5G

Image
Logo rasmi ya teknolojia ya mtandao wa 5G. Katika teknolojia za mitandao ya simu iliyopita kulikua na suluhisho la matumizi ya sauti pekee katika mtandao wa 1G, sauti na jumbe za maneno katika mtandao wa 2G, kuliongezeka kufungua tovuti mbalimbali katika mtandao wa 3G na kuongezeka kwa kasi zaidi ya mtandao na kutazama video za moja kwa moja katika mtandao wa 4G. Mabadiliko kutoka 4G kwenda 5G yatasaidia si watumiaji wa mtandao tu bali pia wamiliki wa viwanda mbalimbali. Mabadiliko katika teknolojia ya simu na mtandao. Kwa teknolojia ya mtandao huu wa simu za mkononi kasi ya mtandao inatarajiwa kuwa mara 8 ya hii ya sasa mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2023 huku kukiwa na uhitaji wa teknolojia imara, viwango vikubwa vya data na wigo mpana wa matumizi ya mtandao huu tofauti na hii iliyopo sasa (4G). Vitumizi vipya kama vile 4K/8K vya kutazamia video mtandaoni moja kwa moja, uwezo wa mtandao ambao umeongezwa karibia na uhalisia pamoja matumizi ya data ambao kwa sasa yanach...

CHANGES QUOTES OF THE DAY MAY 23, 2018

Image
Hello dear reader, welcome once again. Today I have gathered the quotes concerning changes in life. I should not write more since I am not not the speaker in this category, take your time to dive in and become intellectual with full equipped knowledge from the great men of history Remember, someday it might be you. Do not rely on inspiration from friends while you are needy, VENANCE BLOG is here for you. Welcome all the time by searching Quotes. Now proceed. 1. Every great dream begins with a dreamer. Always remember, you have within you the strength, the patience, and the passion to reach for the stars to change the world. ~Harriet Tubman. 2. Change your thoughts and you change your world. ~Norman Vincent Peale. 3.  If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude. ~Maya Angelou 4.  Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that...

INSPIRATIONAL QUOTES OF THE DAY MAY 22, 2018

Image
Welcome to VENANCE BLOG once again. Today I have gathered some of the inspirational quotes for you. Enjoy: 1. We must let go of the life we have planned, so as to accept the one that is waiting for us. ~Joseph Campbell. 2. The best preparation for tomorrow is doing your best today. ~H Jackson Brown, Jr. 3. Your work is going to fill a large part of your life, and the only way to be truly satisfied is to do what you believe is great work. And the only way to do great work is to love what you do. If you haven't found it yet, keep looking. Don't settle. As with all matters of the heart, you'll know when you find it. ~Steve Jobs. 4. No matter what people tell you, words and ideas can change the world. ~Robin Williams. 5. Let us sacrifice our today so that our children can have a better tomorrow. ~A. P. J. Abdul Kalam. 6. As we express our gratitude, we must never forget that the highest appreciation is not to utter words, but to live by them. ~...

TAKWIMU ZA MUDA WOTE ZA KOMBE LA DUNIA LA FIFA: TIMU, MECHI, KADI NA MAGOLI 1930-2022

Image
TIMU, MECHI & IDADI YA MAGOLI 1. Mwaka 1930 jumla ya timu 13 zilicheza jumla ya mechi 18 na yalipatikana jumla ya magoli 70 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.9 katika kila mechi. 2. Mwaka 1934 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 17 na yalipatikana jumla ya magoli 70 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.9  katika  kila mechi. 3. Mwaka 1938 jumla ya timu 15 zilicheza jumla ya mechi 18 na yalipatikana jumla ya magoli 84 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.7  katika  kila mechi. 4. Mwaka 1950 jumla ya timu 13 zilicheza jumla ya mechi 22 na yalipatikana jumla ya magoli 88 hii ikiwa ni wastani wa magoli 4.0  katika  kila mechi. 5. Mwaka 1954 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 26 na yalipatikana jumla ya magoli 140 hii ikiwa ni wastani wa magoli 5.4  katika  kila mechi. 6. Mwaka 1958 jumla ya timu 16 zilicheza jumla ya mechi 35 na yalipatikana jumla ya magoli 126 hii ikiwa ni wastani wa magoli 3.6  katika  kila ...