Posts

Showing posts from May, 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA UPYA UFAULU WAONGEZEKA KWA 9%

Image
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru Kawambwa jana ametangaza tena kwa mara ya pili matokeo ya kidato cha nne ambapo amesema ufaulu umeongezeka kwa 9% kutoka 34% mpaka kufikia 43% . Matokeo haya yalifutwa na kupangwa upya baada ya kuwa ule utaratibu uliotumika mwaka jana katika usahihishaji haukutoa taarifa kwa Wanafunzi na Waalimu pamoja na wadau wote wa Elimu, hivyo kufutwa na kupangwa kwa viwango vya mwaka juzi 2011. Matokeo ya shule niliosoma mimi yanapatika kupitia kiungo cha http://196.44.162.33/csee2012/CSEE%202012/s3370.htm NAKOZA SECONDARY SCHOOL iliyopo NANSIO wilayani UKEREWE mkoani MWANZA.

RAIS OBAMA KUTEMBELEA TANZANIA JULAI 1 MWAKA HUU

Image
Kwa mujibu wa kurugenzi ya habari ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Marekani Barack Obama atafanya ziara ya siku moja nchini mnamo tarehe mosi  Julai ikiwa ni moja ya mipango yake ya kulitembelea bara la Afrika. Nchi nyingine ambazo Rais Obama atazulu ni Senegal na Afrika Kusini. Akiwa nchini Rais Obama atapokelewa na mwenyeji wake Rais Kikwete ambapo ataondoka nchini tarehe 2 Juni baada ya ziara yake nchini. KARIBU TANZANIA RAIS OBAMA. WELCOME TANZANIA PRESIDENT OBAMA.

HAPPY FAMILY DAY

Nawatakieni siku njema ya familia duniani zidisheni upendo katika familia zenu na Mungu awabariki mkue katika imani ya kumtegemea yeye. HAPPY FAMILY DAY!

O-LEVEL HISTORY TOPICS

Image
FORM ONE:  1. Introduction and Sources of History  2. Evolution of Man, Technology and Environment  3. Development of Economic acties and their Impacts  4. Development of Social and Political Systems.  FORM TWO:  1. Interactions among the people of Africa  2. Social-Economic Development and Production in Pre-Colonial Africa  3. Africa the External World  4. Transition to Industrial Capitalism.  FORM THREE: 1. Establishment of Colonialism 2. Colonial Administrative system 3. Colonial Economy 4. Colonial Social Services.  FORM FOUR:  1. Crisis to the Capitalist system 2. Nationalism and Decolonisation in Africa 3. Africa after Independence 4. Africa in International Affairs and Co-operation. © VENANCE BLOG 2013

NIKIPOKEA CHETI KAMA MWANAFUNZI BORA WA ART SIKU YA MAHAFALI SEP 28, 2012

Image
VENANCE

HAPO KWELI SERA YA KILIMO KWANZA ITATIMIA KAMA BWANA SHAMBA ANAINGIA SHAMBA NA SUTI??

Image
BWANA SHAMBA

KARIBU VENANCE BLOG

Image
Karibu VENANCE BLOG, hapa utapata habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani, matukio na nukuu za watu maarufu duniani pamoja na mengine mengi bila kusahau nyanja ya elimu. Unachotakiwa kufanya ni kuwa karibu na VENANCE BLOG kila wakati kwa sababu ni haki yako kupata habari kama chakula cha ubongo. Ungana nami kwa njia zifuatazo: 1.  Facebook 2.  Twitter 3.  Instagram   VENANCE BLOG © May 2013.