Posts

Showing posts from January, 2018

HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2017

Image
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na maarifa kwa watahiniwa waliofanya mtihani mwaka 2017. Kuangalia matokeo      BOFYA HAPA

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA: ZAIDI YA TIKETI MILIONI 3 ZIMENUNULIWA MTANDAONI

Image
Zikiwa zimesalia siku takribani 143 kuelekea michuano ya kombe la Dunia la FIFA nchini Uursi mwezi Juni, FIFA imesema tayari kumekuwa na uhitaji wa tiketi za michuano hiyo kwa mashabiki walioko nchini Urusi na wale walioko nje ya Urusi. Takribani tiketi 3,141,163 mpaka kufikia tarehe 31 Desemba mwaka jana zilikuwa tayari zimeombwa na msahabiki kwa nia ya mtandao. Mashabiki wote wa mpira wa miguu wenye uhakika wa kuhurhuria michuano hiyo nchini Uurusi, wanaweza kupata tiketi kwa kutembelea tovuti ya FIFA, FIFA.com/tickets .  Mpaka kufikia sasa, mashabiki wa mpira walioweka oda ya tiketi wanatokea nchi za Uursi, Ujerumani, Ajentina, Mexico, Brazil, Peru, Colombia, Marekani, Hisipania, Poland, na China. Nchi hizi nyingine tofauti na Ur usi zinatengeneza jumla ya asilimia 38 ya waombaji wa tiketi hizi za FIFA kimataifa huku asilimia iliyosalia 62 ni rai a wa nchin I Urusi . Mashabiki wanaweza kununua tiketi kwa mechi zote isipokua mechi ya ufunguzi na finali Aidha FIFA...