FAHAMU WATU AU MAMBO YALIYOTAFUTWA SANA GOOGLE MWAKA 2016
Kila mwisho wa mwaka Mtandao wa Google hutoa orodha ya yale yaliyotafutwa kupitia mtandao huo. Tutaangalia katika nyanja za kiujumla, habari za dunia, watu, bidhaa za kiteknolojia, habari za michezo duniani, vifo, muvi/sinema, wasanii na vipindi vya runinga. Katika kila nyanja tutaangalia mambo au watu 10. Tuanze kuangalia trends hizo: KIUJUMLA 1. Pokeman Go 2. iPhone 7 3. Donald Trump 4. Prince 5. Powerball 6. David Bowie 7. Deadpool 8. Olympics 9. Slither.io 10. Sucide Squad HABARI ZA DUNIA 1. Uchaguzi wa Marekani (US Election) 2. Olympics 3. Brexit 4. Mauaji ya Orlando (Orlando Shooting) 5. Virusi vya Zika 6. Panama Papers 7. Nice 8. Brussels 9. Mauaji ya Dallas (Dallas Shooting) 10. Tetemeko la ardhi Kumamoto (Kumamoto Earthquake) WATU 1. Donald Trump 2. Hillary Clinton 3. Michael Phelps 4. Melania Trump 5. Simone Biles 6. Bernie Sanders 7. Steven Avery 8. Celine Dion 9. Ryan Lochte 10. Tom Hiddleston BIDHAA 1. iPhone 7 2. Freedom 251 3. iPhone SE 4. iPhone 6S ...