Posts

Showing posts from April, 2014

JUSTIN BIEBER HATORUDISHWA CANADA

Sorry, America — we’ll have to deal with Justin Bieber a bit longer. The White House on Friday finally officially responded to a petition signed by more than 273,000 people to have Bieber deported to Canada after a string of boozy antics and arrests. “Sorry to disappoint, but we won’t be commenting on this one,” read a statement on petitions.whitehouse.gov. “We’ll leave it to others to comment on Mr. Bieber’s case, but we’re glad you care about immigration issues.” The White House argued immigration reform will shrink our deficits by almost $1 trillion in the next 20 years. Handily, it added, “For those of you counting at home, that’s 12.5 billion concert tickets — or 100 billion copies of Mr. Bieber’s debut album.”

MRISHO MPOTO AELEZEA SABABU ZA KUTOVAA VIATU HATA ANAPOKUWA KATIKA ZIARANI KIMATAIFA

Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto amedai kuwa ajisikii vizuri pindi anapo vaa viatu kutokana kudai kuvaa viatu kuna athiri utendaji wa kazi zake. Mpoto alilionga na bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika. “Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa peku ,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa sababu ya kutafuta energy ,unajua energy ya mimi kuendelea kuishi inapatikana kwenye udongo,yani ngozi yangu inapokutana na ardhi nakuwa so (confident) na nakuwa Mpoto, zaidi na nguvu na nakuwa na akili ,sasa sipendi wakati mwingine kuwa fake,najitaidi sana kuwa wakisasa ila nakuwa nasahau,kwamfano naweza nikanunu kiatu cha gharama alafu nikakisahau kwenye ndege au kwenye basi kwasababu siyo kawaida yangu kuvaa viatu, nisha jaribu lakini nimeshapoteza vingi,kwasababu siyo culture yangu kuvaa viatu ,viatu navaaga kwasababu watu wananisema.kwaiyo nikivaa ninakuwa kama inanisumbua, nikaona kama bora ni...

UGOMVI KATI YA PETER NA PAUL 'P SQUARE' KAKA YAO NA MKE WA PETER WAHUSISHWA

Ni siku chache tu zimepita toka Paul Okoye wa kundi la P-Square afanye harusi ya kimila na mke wake Anita Isama huko Nigeria, lakini baada ya wote wawili (Peter & Paul) kukamilisha majukumu ya ndoa zao, kuna habari ambazo zimesambaa wiki hii kuwa umeibuka ugomvi baina ya mapacha hao wa kundi la P-Square ambao inasemekana sasa hawaelewani vizuri. Mtandao wa Naija Gists umeripoti kuwa kwa mujibu wa chanzo, inadaiwa kuwa kumekuwa na kutoelewana baina ya kaka mkubwa wa mapacha hao Jude Okoye na mke wa mdogo wake Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, kitu kilichopelekea Jude kutohudhuria harusi yao mwaka jana. Kama unakumbuka Jude hakuhudhuria harusi ya Peter na Lola mwaka jana, lakini alihudhuria ya Paul na Anita mwaka huu kitu kinachowafanya watu waamini kuwa kuna tatizo kubwa baina yao. Chanzo hicho kimesema inadaiwa kuwa ugomvi huo unaomhusu Lola umesababisha Peter na Paul kugombana wakati wako kwenye rehearsle Jumatano wiki hii, mpaka walipoachanishwa na dancers wao. ...

NUKUU ZA LEO/QUOTES OF THE DAY 19/04/2014

Image
1. Let us dream of tomorrow where we can truly love from the soul, and know love as the ultimate truth at the heart of all creation. - Michael Jackson 2. Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant. -Robert Louis Stevenson 3. Find a place inside where there's joy, and the joy will burn out the pain. -Joseph Campbell 4. Health is the greatest gift, contentment the greatest wealth, faithfulness the best relationship. - Buddha 5. Even if I knew that tomorrow the world would go to pieces, I would still plant my apple tree. -Martin Luther  6. Hope is a waking dream. - Aristotle  7. Happiness is not something you postpone for the future; it is something you design for the present. - Jim Rohn  8. I hated every minute of training, but I said, 'Don't quit. Suffer now and live the rest of your life as a champion.' -Muhammad Ali 9. Thousands of candles can be lighted from a single candle...